NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Akiba za gesi hawaweki kwenye tangi (au sehemu ndogo tu). Wanatumia mapango chini ya ardhi. Mfano maeneo ambako waliwahi kuzalisha gesi asilia; au matabaka chini ya chumvi, au pia ndani ya migodi ya chumvi. Nafasi hizo wanatumia kama tangi , wanasukuma gesi mle kwa shinikizo kubwa.Akiba ya kununua nayo unaita akiba,nilidhani unazungumzia akiba kutoka kwenye ardhi yake.Hata angekuwa na tank zenye ujazo wa maelf na maelf issue ni kuwa Nchi take haina reserve ya kutosheleza mahitaji yao,hivyo hana option yoyote zaidi ya kununua kutoka kwenye mataifa yenye gas nyingi kama Russia.
Kabisa mkuu toka zaman muumba mbingu na nchi aliweka balance POWER ........kwa mfano dola la rumi lisingeanguka sijui ingekuwaje na yale mateso yao .....adolph hitler ........greece .......egypt ...na marekni leo ......yaani tungeonewa sana aisee ...........Kwahakika tunapaswa kumshukuru Santa Mungu. Hawa mashetani wangekuwa na rasilimali za kujitosheleza kama Russia amini leo tungekuwa dunia nzima ni watumwa wao. Wangeaumua nani aishi na nani afe(kwakumzuia bidhaa muhimu)
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Huku na kipigo kikiendelea....[emoji23][emoji23][emoji23]Tunaendelea kujikusanyia weapons
I DEAL WITH FACTS ONLYNikiwa kidato Cha pili seminari nilichukuliwa kwenda jeshini miez sita ..baadae nikaenda zenji ..then nikarud shule ile kidato Cha tatu na nikiwa na wastan was 75 kwenye mtihan was form two ambao hata sikuufanya...Kama haya yaliwezekana Tanzania Hapa kwa Mimi ..Huko kwa Putin yanashidikanaje!?....dunia sio Kama unavyoiona...usikariri ..karibu tell aviv
Kaka ukijaribu kujibu, soma kwanza nilichoandika ukajaribu kuelewa. Nimetaja matumizi ya gesi katika nchi ile (mΒ³ bilioni 87 kwa mwaka 2021), kiasi walichopata kutoka Urusi (nusu), na nafasi zao za ghala za gesi (mΒ³ bilioni 27). Nchi zote kubwa zinaweka gesi kwenye ghala, maana bei ya gesi inabadilika katika mwendo wa mwaka kwa hiyo ni faida kuwa na akiba nzuri ili uweze kudhibiti gharama na kuhakikisha bei kwa wateja wako.Umeongea MAKUSANYO tu ya gesi... Matumizi ya ujerumani ni kiasi Gani Kwa gesi hiyo wanayoagiza!!? Wanabaki na reserve kiasi Gani !!? Storage cost hujaicount katika maelezo yako !!? Gesi sio renewable Kwa importers hata exporters unajua gharama yake!!? Nani anaingia gharama Zaidi!!? Mbona mnajitoa ufahamu Kwa vitu vidogo... Katika (international trade na international economics) Kuna vitu vinaitwa Comperative advantages na Absolute Advantages... Mrusi yupo kwenye Comperative ... Hana upungufu wa hivyo wa mahitaji..hivi shule mnaenda kuuza barafu au kusoma....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] karib tena jomba...Mtoto wa Nzi nimerudi... Wamenifanyia fitina akaunti yangu.....na wakiripoti hii nafungua ingine..(mbitiyapi-fisi mweupe)
Masikini jenerali, Jumapili iliyopita wananchi wa Ufaransa walimkataa Marine Le Pen (aliyetaka kuondoa nchi katika NATO) wakamchagua rais anayetaka kuimarisha umoja huu.Ukraine is not worth a nuclear holocaust, so don't corner the Russian bear too much."
This is how retired French General Jacques Guilleman assessed how the West is fueling the conflict in Ukraine in an article for Entre La Plume et l'Enclume.
According to him, if the US and NATO immediately accepted Russia's security requirements, the crisis would not have happened. The general added that it would be better for the French to leave the military alliance and not help the States in their wars "for dominance."
Giyman called the return of Crimea to the Russian Federation βa fair boomerang for Kosovo, whose independence was imposed on Serbia in violation of international law and without regard to Russia, which at that time was still too weak to resist this infamy.β
Yeye hajui kuwa watakaolipa hiyo Kodi ni watumiaji ambao ni NATO membersPoland inataka kuwakomoa other EU members ambao wamekubali kununua Gas kwa Rubles.
Sidhani Kama hii proposal wataikubali.
Kaka ukijaribu kujibu, soma kwanza nilichoandika ukajaribu kuelewa. Nimetaja matumizi ya gesi katika nchi ile (mΒ³ bilioni 87 kwa mwaka 2021), kiasi walichopata kutoka Urusi (nusu), na nafasi zao za ghala za gesi (mΒ³ bilioni 27). Nchi zote kubwa zinaweka gesi kwenye ghala, maana bei ya gesi inabadilika katika mwendo wa mwaka kwa hiyo ni faida kuwa na akiba nzuri ili uweze kudhibiti gharama na kuhakikisha bei kwa wateja wako.
Sina kazi ya kukadiria gharama za kuendesha ghala, hii ni kazi ya makampuni yanayofanya biashara hii. Wanajua kwa nini wanatunza nafasi hizo za ghala (kwa kawaida kwenye nafasi asilia chini ya ardhi) kwa sababu zinaruhusu kununua gesi wakati bei yake ni nafuu na kupunguza ununuzi wa gesi wakati bei yake inapanda.
Ushauri: tafadhali usijaribu kujipamba na maneno ya kigeni kama hujui kuyaandika (hakuna "comperative")
Kuna nn tena mkuu? πWe jamaa ni kama Tsh ..mnajielewa ila mnajitoa ufahamu... Ulichoandika chote ... Umekwama Hapo kwenye UTOFAUTI WA COMPERATIVE NA ABSOLUTE ADVANTAGE.... ukivielewa hivi ..utaona Kwa Nini hata US BADO ANAAGIZA URUSI.. NA ULAYA INAAGIZA URUSI... makonzi machache yatarudisha uelewa wako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]MKUU Tsh mbona unashanga shangaa tena...unataka kusema hujamwelewa jamaa ...anamaanisha kuwa ukweli mnauelewa sema tu mnajifungia MEDULA zenu ndani ya box ila mkiachia OBULONGATA zenu zikawa huru asee nyie ni MA GREAT THINKERS ..[emoji3][emoji3][emoji3] mfano hakunaKuna nn tena mkuu? [emoji2]
Lete data na chanzo: Marekani inaagiza nini kutoka Urusi?We jamaa ni kama Tsh ..mnajielewa ila mnajitoa ufahamu... Ulichoandika chote ... Umekwama Hapo kwenye UTOFAUTI WA COMPERATIVE NA ABSOLUTE ADVANTAGE.... ukivielewa hivi ..utaona Kwa Nini hata US BADO ANAAGIZA URUSI.. NA ULAYA INAAGIZA URUSI... makonzi machache yatarudisha uelewa wako.
Vyanzo vya Wikipedia?!?!!ππKaka kama huna habari jinsi gani gesi inavyotumiwa na jinsi gani soko la gesi linavyofanya kazi, labda utafakari kidogo kabla ya kutukana??
Ndiyo, Ujerumani wanazo ghala kubwa za gesi. Ona chini maelezo (yenye namba za siku kabla ya vita):
Soma: "The total capacity for injection and withdrawal from German gas storage facilities is around 23 billion cubic meters of gas. Germany ranks fourth among the worldβs largest storage countries. Only in the US, Ukraine and Russia there are even greater capacities." Chanzo: Gas Storage Capacities - INES Initiative Energien Speichern
Soma "About half of German imports of gas.., and about one third of its oil imports originate from Russia." Chanzo: What if Germany is cut off from Russian oil and gas?
Kwa hiyo wanahitaji kupata mbadala kwa nusu ya mahitaji yao ya gesi (sehemu inayotoka Urusi).
Matumizi ya gesi ya Ujerumani mwaka 2021 yalikuwa mita za ujazo bilioni 87; nusu yake (=gesi kutoka Urusi) ni takriban bilioni 45; hivyo serikali yao inaona kwamba gesi kutoka nchi nyingine pamoja na akiba inaleta kiasi cha kutosha ili kudumu mwaka 1.
Kuhusu mafuta wametanagza kwamba wameshapunguza matumizi ya mafuta ya Urusi kutoka asilimia 34 hadi asilimia 12.
Kusoma unashindwa, sivyo?Vyanzo vya Wikipedia?!?!!ππ