Hahaha, nimemwelewa ila sasa kaniita halafu anataka kumtia mtu makwenzi ikabidi niulize kuna nn? 😀😀.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]MKUU Tsh mbona unashanga shangaa tena...unataka kusema hujamwelewa jamaa ...anamaanisha kuwa ukweli mnauelewa sema tu mnajifungia MEDULA zenu ndani ya box ila mkiachia OBULONGATA zenu zikawa huru asee nyie ni MA GREAT THINKERS ..[emoji3][emoji3][emoji3] mfano hakuna
sema tu unatakaga kumfurahisha NYAMIZ.....lakini ukweli unajua kabisa kuwa RUSSIA ndo mwamuzi wa ulaya na us ....
Amka ndugu kumekucha bado umelala tu angalia usije kata gogo hapo hapo kitandani ..........[emoji23][emoji23][emoji23]...dunia ya leo sio ile ya enzi za kina bush baba na bush mtoto na kina billi clinton ...wanaamua wakaipige nchi gani nyumbu walePutin anatakiwa awekwe kwenye kundi la magaidi wanaotishia usalama wa dunia kisha adhibitiwe kivovote.
Haijalishi itacost maisha ya watu kiasi gani potelea mbali,ila wakimnyenyekea atakua anafanya anachojisikia kwa nchi yeyote anayohisi anaweza kupata anachotaka.
Dunia ilipofika sio ya mtu tu akijisikia sehemu fulani iwe yake anaichukua kisa tu anajiona ana nguvu ya kufanya hivo.
Hii ni kuondoa uhuru wa taifa husika na kutoheshimu tawala za wenzie.
Nchi zenye nguvu amueni tu moja kama dunia kuisha iishe tu kuliko kufuata matakwa ya huyo limbukeni wa maisha.
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Msaidie huyo kati Resources.... Comperative na Absolute Advantages...maana ntampiga konzi nyingi ...Kuna nn tena mkuu? 😃
Yaani ni kipigo kwa kwenda mbele....majeshi ya Ukraine yalijichimbia kwenye mahandaki huko Donbass...Sasa missiles zinarindima humo humo mwenye mahandaki...duh...Huku na kipigo kikiendelea....[emoji23][emoji23][emoji23]
N [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2202704
hapa kichapo tu....ni kichapo mwanzo mwisho[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaani NON STOP .......Russian Army BOMBS Airport Hangar Storing West-Supplied Weapons for Ukraine
Russian missiles have struck an arms depot housing weapons from the United States and European countries donated to Ukraine.
The Russian defense ministry said its Kaliber missiles destroyed hangars in the Zaporizhzhia region of Ukraine which contained "a large batch of foreign weapons and ammunition supplied to Ukrainian troops by the United States and European countries".
Yesterday, Russia accused the West of "pouring oil on the fire" with weapons deliveries fueling the nine-week-old conflict. They have also repeatedly warned that such weapons donations are legitimate military targets. The U.S. and European countries simply ignored such warnings and continued shipping weapons. Those weapons have now been destroyed.
The United States and NATO have ruled out sending their own forces to Ukraine, but Washington and its European allies have supplied large quantities of weapons to Kyiv, including drones and anti-aircraft and anti-tank missiles.
😃😃. Mtaafikiana tu boss bila makwenzi.Msaidie huyo kati Resources.... Comperative na Absolute Advantages...maana ntampiga konzi nyingi ...
Waache tu mkuu waendelee kukaza MAFUVU yao si wanajifanya wao wana pesa na silaha wanazoMabeberu yabaini kuwa kuzidi kupeleka silaha Ukraine kunazidi kuiharibu na kuiangamiza Ukraine yenyewe, maana kichapo ndio kinaendelea zaidi na zaidi kila kukicha
View attachment 2202811
Ww jamaa nimesha kwambia acha uongo humu hauongei na watoto wako unaongea na watu wazima wenye uelewa kuliko hata ww unaye jifanya unazijua nchi za magharibi kuliko hata wenye nchi wenyewe.Lete data na chanzo: Marekani inaagiza nini kutoka Urusi?
Haikupata gesi asilia kutoka huko tangu mwaka 2019; mafuta yalikuwa kiasi kidogo, yamepigwa marufuku mwezi wa Machi.
Ulaya ni tofauti hadi sasa, maana hasa Ujerumani na Italia zilifanya mikataba na Urusi na kuagiza gesi kutoka huko.
Ujerumani imeshapunguza sana manunuzi ya mafuta kutoka Urusi (kutoka 34% hadi sasa 12%), kwa gesi wanapanga kupunguza katika miwili inayokuja hadi kuiacha kabisa. Italia wanataka pia lakini sina data zao.
Watapata gharama kubwa zaidi za nishati, lakini wanasema wataweza. Wanaharakisha mipango iliyoandaliwa kabla ya vita ya kupunguza mafuta na gesi na kuhamia nishati mbadala (upepo, sola, jotoardhi).
Aisee.The Polish prime minister said that Warsaw would ask the European Commission to impose duties on gas and oil imports from Russia in the amount of 25-35%.
View attachment 2202542
Mawazo ya kishogaPutin anatakiwa awekwe kwenye kundi la magaidi wanaotishia usalama wa dunia kisha adhibitiwe kivovote.
Haijalishi itacost maisha ya watu kiasi gani potelea mbali,ila wakimnyenyekea atakua anafanya anachojisikia kwa nchi yeyote anayohisi anaweza kupata anachotaka.
Dunia ilipofika sio ya mtu tu akijisikia sehemu fulani iwe yake anaichukua kisa tu anajiona ana nguvu ya kufanya hivo.
Hii ni kuondoa uhuru wa taifa husika na kutoheshimu tawala za wenzie.
Nchi zenye nguvu amueni tu moja kama dunia kuisha iishe tu kuliko kufuata matakwa ya huyo limbukeni wa maisha.
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Tukipata[emoji3][emoji3] pro nato 15 tu humu ndani kama wewe aisee[emoji2][emoji2]. Mtaafikiana tu boss bila makwenzi.
Absolute Advantage: uwezo wa kuzalisha kuliko mshindani.
Comparative Advantage: uwezo wa kuzalisha kuliko mshindani kwa kuzingatia gharama ndogo ya utakachopoteza iwapo ungechagua uzalishaji mwingine ulio ndani ya uwezo wako.(Opportunity cost)
We nae una hangaika na huyo huo ubongo wake unakasoro emu jaribu kusoma ARTICLES zake ndo utaona ninachokwambiaWw jamaa nimesha kwambia acha uongo humu hauongei na watoto wako unaongea na watu wazima wenye uelewa kuliko hata ww unaye jifanya unazijua nchi za magharibi kuliko hata wenye nchi wenyewe.
Nime kwambia marufuku ya mafuta ya Urusi nchini Marekani iko kwenye makaratasi tu lakini kiutekelezaji imeshindikana mpaka sasa Marekani anaagiza mafuta nchini Urusi tena takwimu zinaonesha kiwango kimezidi hata kile cha kabla ya vita, viongozi wa Marekani walipo ulizwa wakasema wataagiza kwa kipindi Cha mpito tu maana marufuku ilikuwa ya ghafla lakini hawakutaja huo muda wampito utaisha lini
Ujerumani imesha sema mara kibao tu na kila mtu amesikia ya kwamba Uchumi wao hauwezi kuhimili marufuku ya nishati kutoka Urusi kwahiyo kati yako na viongozi wa Ujerumani tumsikilize nani?
Hata wiki jana raisi wa Ukraine amesha lalamika ya kuwa nchi za magharibi zinanunua kiwango kikubwa cha nishati kutoka Urusi kuliko hata kabla ya vita jambo linalo sababisha Urusi kuendeza vita kwenye nchi yake.
Punguza ujuaji hizo chuki zako kwa Urusi haziwezi kukuletea ugali nyumbani kwako na hata Urusi ikisambaratika nchi yako haitakuwa na manufaa yeyote.
We jamaa wewe huna lolote umesikia kimlipuko huko ndio gia yako ya kujisogeza taratibu hebu kuwa na misimamo alaahNiliamua kukaa kando na huu Uzi lakini kuna propaganda imeenezwa ambayo siwezi vumilia, hakuna ushahidi wowote kuhusu Putin, aliezaliwa 1952, kuzuru bara Africa miaka ya 1970s.
Rekodi za Putin katika mtandao wa Kremlin zinaonyesha wakati huo alikua akisoma katika chuo kikuu cha Leningrad mpaka 1975 alipomaliza.
Alafu pia mafunzo ya kijeshi yaliotolewa tanzania kwa wa Mozambique yalipeanwa kwa asilimia kubwa na wachina sio wasovieti.
Na Mnangagwa hangeweza kua Tanzania 1973 kwa sababu alishikwa 1965 na kufungwa kwa miaka 10 na Wakoloni.View attachment 2202130hebu
Wanatunza huko mkuu inaenda kuzaa au kutunzwa? Ujue kwenye mapango hayo Kuna upotevu mkubwa wa gesi utatokea kwa nature ya gesi ilivyo. Usijifariji kwa kitu Cha mwenzio, Cha mtu mavi mkuu.Akiba za gesi hawaweki kwenye tangi (au sehemu ndogo tu). Wanatumia mapango chini ya ardhi. Mfano maeneo ambako waliwahi kuzalisha gesi asilia; au matabaka chini ya chumvi, au pia ndani ya migodi ya chumvi. Nafasi hizo wanatumia kama tangi , wanasukuma gesi mle kwa shinikizo kubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23]We jamaa wewe huna lolote umesikia kimlipuko huko ndio gia yako ya kujisogeza taratibu hebu kuwa na misimamo alaah
Nyie mmekuwa bully. Mnapiga tu. Mmeshindwa hata ktuma majasusi wakamwondoa raisi kisha mkaweka pandikizi la raisi mkawaacha raia waendelee na maisha yao mnalipua nchi ya wakulima wa watu wasiojua hata tafsiri halisi ya NATO ni nn😀.Tukipata[emoji3][emoji3] pro nato 15 tu humu ndani kama wewe aisee
Tatizo pro nato waliopo ni fuata upepo mpaka wanataka kukubeba na wewe....usikubali njoo kwa huku kwetu tunapanga plani na plani zinaenda kama zilivyopangwa .....[emoji18][emoji18][emoji18]