Hapana sinaga kazi ya kufanya bali huwa namgonga mkeo ananihonga hela za matumizi unazo muachia ndizo zinanifanya niishi mjini.Wewe ndo kiazi kabisa...Kila ukifungua jf upo online unachangia ujinga humu jf mkuu hunaga shughuli ya kufanya?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kwani kiongozi unasubir zikifika zifanyiwe Parade? Mbona Javelin na NLAW mnazionaa. Zitaonekana pale ambapo wenyewe wataamua kuzionesha
72 hrs alisema lini?weka source yako hapa, Ukishindwa kuweka source then toka hapo nje ya nyumba kisha angalia juu na ujipige pige kifua huku ukisema kwa sauti hakika Mimi nilipewa kichwa kwa ajili ya kufugia nywele.Shida Putin hajaamini 72hrs imechukua more than 60days hajaweza ku achieve chochote ikiwepo kuindoa serikali madarakani.Sasa anataka sehemu ya nchi which you can not get it by war kuna sheria za kimataifa za kugawa nchi sio kwa vita na mashinikizo.Yaani sikujua Putin mjinga hivyo kwa kweli mpaka nime mdharau kabisa bogus
Urusi yenye uchumi kama California yoka lini ikawa kubwa. Si kesho tu itaishiwa kila kiyu kwa vikwazoKwa maneno haya huyu jamaa hafai kuwa kiongozi wa Taifa kubwa kama Urusi - Dunia lazima ihakikishe Madikteta kama hawa wanakuwa fixed haraka kabla hajaleta majanga kwa Dunia.. angalia maneno kama haya ya kutishia watu kisa tu ana nuclear weapons.
Sasa US inamsaidia vifaa Ukraine, haya kapige sasa pale Pentagon kama wewe kidume.
Any country trying to intervene in the Ukraine war will face a "lightning-fast" response, Russian President Vladimir Putin has warned.
"We have all the tools no-one can boast of... we will use them if necessary", he said, in what is seen as a reference to ballistic missiles and nuclear arms.
Ukraine's allies have stepped up the supply of weapons, with the US vowing to make sure Ukraine defeats Russia.
Jinga sna ZelenskyEuropean partners are outraged by the scale of imports to Ukraine of luxury cars for the "needs of the Armed Forces of Ukraine."
The Deputy Minister of Infrastructure of the country, Mustafa Nayem, told Ukrainian media about this.
According to him, hundreds of BMW X5 and Mercedes-Benz S-Class are being imported for the Armed Forces of Ukraine. In total, there are already about 14.3 thousand. And this is done without customs duties.
“Our partners in Poland, Slovakia and Romania are a little surprised by such an active renewal of the vehicle fleet of a warring country for which the whole world is raising funds for humanitarian aid,” Nayem said.View attachment 2203144
WARUSI wa humu wakikusikia hutalala.Urusi yenye uchumi kama California yoka lini ikawa kubwa. Si kesho tu itaishiwa kila kiyu kwa vikwazo
PiShida Putin hajaamini 72hrs imechukua more than 60days hajaweza ku achieve chochote ikiwepo kuindoa serikali madarakani.Sasa anataka sehemu ya nchi which you can not get it by war kuna sheria za kimataifa za kugawa nchi sio kwa vita na mashinikizo.Yaani sikujua Putin mjinga hivyo kwa kweli mpaka nime mdharau kabisa bogus
NiKawasaidie wavaa pedo wenzako syria, iraq,
Kawasaidie wavaa pedo wenzako syria, iraq,
SawaKawasaidie wavaa pedo wenzako syria, iraq, yemen
Wewe hujielewi.Kwa maneno haya huyu jamaa hafai kuwa kiongozi wa Taifa kubwa kama Urusi - Dunia lazima ihakikishe Madikteta kama hawa wanakuwa fixed haraka kabla hajaleta majanga kwa Dunia.. angalia maneno kama haya ya kutishia watu kisa tu ana nuclear weapons.
Sasa US inamsaidia vifaa Ukraine, haya kapige sasa pale Pentagon kama wewe kidume.
Any country trying to intervene in the Ukraine war will face a "lightning-fast" response, Russian President Vladimir Putin has warned.
"We have all the tools no-one can boast of... we will use them if necessary", he said, in what is seen as a reference to ballistic missiles and nuclear arms.
Ukraine's allies have stepped up the supply of weapons, with the US vowing to make sure Ukraine defeats Russia.
Acha kushabikia vifo vya watu mwambaHamna kitu kama hicho mzee .......ukrain huwaoni humu kwa sababu wanabondwa kila uchwao ndo maana wapo kimya ....wanasuburi tukio ndo utaona wanachungulia huku ndani ....imagine ingekuwa ndo russia inapigwa......aiseee tusingekunywa maji humu
Kuna Pronato nimemujibu. Anadai Urusi taifa kubwa Halifai kuwa na dikiteta Putin.WARUSI wa humu wakikusikia hutalala.
Huenda tunawazidi kabisa viazi mbatata tu hawa... sema hatujiamini tunaugulia inferiority complex....Wazungu wenye akili walikuwepo Karne ya 17 Hadi 19 TU.
Hawa wa Sasa wako sawa na sisi TU.
Moldova ndio ya kuhurumia,yaani Rais wake ameongea mpaka machozi yamenilenga lenga 😆😆Italy huko kuna tetesi yuko tayari kulipa kwa ruble. No ruble no Gas.
Malizia na "tu"72 hrs alisema lini?weka source yako hapa, Ukishindwa kuweka source then toka hapo nje ya nyumba kisha angalia juu na ujipige pige kifua huku ukisema kwa sauti hakika Mimi nilipewa kichwa kwa ajili ya kufugia nywele.
Umeandika pumba kama Russia sio kitu kwanini NATO(USA)wanaexpand kuelekea mipaka ya urusi?urusi ni taifa kubwa Sana wamarekani wanataka kutawala dunia Kwa Raha lakini Russia nchi kubwa inazuia wamarekani kufanya hivyo na warusi wanauwezo kijeshi wa kuipiga wamarekani.Kuna Pronato nimemujibu. Anadai Urusi taifa kubwa Halifai kuwa na dikiteta Putin.
Namkumbushq udogo wa Urusi kwa hiyo Putin si kitu mbele ya USA. Huu ni Kama mgogoro wa Tigray tu.
Moldova ndio ya kuhurumia,yaani Rais wake ameongea mpaka machozi yamenilenga lenga [emoji38][emoji38]