Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Balance ya issues zinabadilika kulingana na mazingira,kama EU wameweza kupunguza utegemezi kwa Russia,Urusi naye anaweza kutafuta masoko mapya kwa products zao.
 
Tunapiga mule mule kwenye mshono!
 
Balance ya issues zinabadilika kulingana na mazingira,kama EU wameweza kupunguza utegemezi kwa Russia,Urusi naye anaweza kutafuta masoko mapya kwa products zao.
Did you know why Russia hakutafuta Makoloni Africa?

Unadhani Tanzania itafanya jambo la maana kununua Mafuta ya Russia na kuacha Mafuta ya Middle East na Uganda?

Unafahamu kuwa by 2030 (Just 8 year from now) Mataifa Yote ya ulaya kwa 80% yatakuwa hayatumii Magali ya Mafuta na Gesi, au umekwisha fatilia kuhusu Research za Matumizi ya Hidrogen kama Fuel?
 
US anapeleka vifaa kwa Ndege yake ya C17 Globe trotter, maana reli zimeharibiwa, sasa Urusi alipue ndege tuone kama hakija waka.

Putin anapenda tishia
Ndege hiyo itatua wapi wakati viwanja vyote vimebomolewa...na hata reli nazo katibu zote zimemalizwa...silaha hupishiwa Poland na halafu kwenda huko Ukraine kwa magari na kwa kuvizia
 
Russia population n 145
USA population n 330
Kama let say n biashara ya mikate china ndio supply wap patakua ndio soko lake kuu maana mwisho wa siku watu wanatafuta faida.
Hivyo basii kutokua trading partner wao haimaanishi kuwa Russia n wachovu.
 
Mmmmh
 

Ngojq waje shoga zake wa humu ndani
 
Nilichogundua taarifa za Ukraine Kama hizi na nyingne za nchi ambazo ziko against Russia kwenye huu uzi watu wanapita Kama hawaoni[emoji3]

Najua mwisho wa hii vita warusi wa buza wataumia sana... Dunia ya sasa hivi ukipigwa mtungo huwezi toboa plus wewe ndie mkorofi.. hata kwa ugonjwa tu utakufa ila kushinda asahau
 
In 2021, Gazprom received a record net profit of 2.093 trillion rubles. (almost $29 billion) against 135.3 billion rubles. a year earlier

Gazprom's investment income is also on a record. In 2022, their profit could reach 2.285 trillion rubles. ($31.1 billion) against 2.004 trillion rubles. in 2021.
 
Ndege hiyo itatua wapi wakati viwanja vyote vimebomolewa...na hata reli nazo katibu zote zimemalizwa...silaha hupishiwa Poland na halafu kwenda huko Ukraine kwa magari na kwa kuvizia
Hizo siraha, wanapitishia Poland, USA hawezi peleka ndege Ukraine Russia wako macho wanaziwinda sana kwa makombora yaliyoangusha ndege ya abiria miaka michache ya nyuma, pia uko Poland Russia Wana spy wa kutosha mzigo ukingia tu tayari Russia wanapata habari zote. Makombora yako stand by kuteketeza hizo silaha za USA, UK, German etc. Ukraine wanajimaliza tu kwa ujinga wao. Itachukuwa miaka mingi Sana kuijenga hiyo nchi
 
Shida kila siku wanatuonyesha wanapakia mara vifaru,mara mizinga ila cha kushangaza hazifiki.bora hata japan tuliona ametuma ndege ila ikazuiwa na India
US anapeleka vifaa kwa Ndege yake ya C17 Globe trotter, maana reli zimeharibiwa, sasa Urusi alipue ndege tuone kama hakija waka.

Putin anapenda tishia
 

Mke wako au demu wako akilala na kisu pembeni utakubali ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…