Sijui katoa wapi utaratibu huo.Kwa hiyo kama walifanya hivyo ni zamu ya Urusi naye kuua watu? hivi akili huwa mnaziachaga wapi?
Na wewe acha kudanganya wamekubali mazungumzo lakin sio belarusi.Acha kudanganya na kujidanganya. Rais Ukraine alikataa mazungumzo kufanyikia Belarus. Baada mkong'oto kuendelea amekubali. Na anaenda kwa terms za Russia. Na hapo utakuwa ni ushindi kwa Russia, NATO watakuwa wameshindwa rais atalazimishwa ku step down.
Kwahiyo hayo makosa ya mataifa mengine yana uhusiano gan na uvamizi ukraine ? Tusaidie kdg an african expert [emoji3]Putin kakukosea nin mkuu?
EU, Nato, USA, Israel wameleta machafuko ktk nchi za watu kupelekea kuua mamilion ya watu wasio na hatia e.g
Libya
Iraq
Afghanstan
Syria
Yemen
Palestine
Ongezea
Lengo la Putin limetimia na huyo Ukraine ataenda kwa terms za putin.[emoji23][emoji23][emoji23] unachekesha kweli.
Aliyeomba mazungumzo ni Putin wala sio Ukraine.
Putin alipendekeza mazungumzo yafanyikie mji mkuu wa Belarus Minsk ila Ukraine wakakataa ikabidi yafanyikie mpaka wa Ukraine na Belarus upande wa Ukraine.
Hapo mshindi nani?
Al-Sahaf wa Russia JF.Russia lengo lake ni kumfanya Ukraine asiingie NATO. Na wengine walioingia kinyume na makubaliano, siku zao zinahesabika.
NATO sasa hivi hawama pesa za kujiendesha.
Iran hakuna mtu ananufaika sana na mfumo wa uchumi uliojiunga na dunia. Iran haina oligarchies, haina bilionea wa wiziwizi waliobebwa na serikali hivyo haina watu powerful wa kuilaumu serikali yao. Ilivyowekewa vikwazo ni aina fulani za mabenki kwao ndio ziliondolewa 2012 ila zikarudishwa nyingi 2016 kama njia ya mazungumzo ya nyuklia.Lakini vikwazo kama hivi viliwekwa dhidi ya Iran mpaka watu wakaanza kutabili kuanguka kwa utawala wa Ayatullah lakini mwaka wa tano huu Iran inadunda na takwimu za mwaka huu zina onesha uchumi wa Iran umeimalika kwa asilimia 4 licha ya kuwa yuko nje ya mfumo wakifedha wa dunia ,una dhani wanatumia mbinu gani?
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Vinachanja mbuga kuelekea makao makuu, vikifika vinafyekwa. Then over. Nadhani hao RT wao ni warusia Sasa unataka waoneshe wanavyokula kichapo? Russia jeshini hawajui wako Ukraine kufanya Nini, bado wanacheka na nyani wanauawaJaribu kufuatilia RT wako vizuri sana, ila kama Unafuatilia BBC, CNN na FOx pekee utalishwa habari ambazo wanapenda uzipate....pitia sasa kwenye mitandao ya Twitter, YouTube na Meta vinaonyeshwa vifaru na magari ya urusi tu yanavyoungua huonyeshwi hata kidogo shughuli ya Urusi yanavyochanja mbuga kuelekea makao makuu.
Kama siyo Belarus ni wapi. Mbumbumbu wewe π ππ€£Na wewe acha kudanganya wamekubali mazungumzo lakin sio belarusi.
ufanye nini weweAcha utoto subiri tuwafinye mpaka mnye
Kwa vichekesho kama hivi andika Russia kwenda 12522Russia lengo lake ni kumfanya Ukraine asiingie NATO. Na wengine walioingia kinyume na makubaliano, siku zao zinahesabika.
NATO sasa hivi hawama pesa za kujiendesha.
Nimekunyoosha mimi hapa Putin JF. Utaweza kweli kuzungumzia Ukraine!?π€£π€£π€£Al-Sahaf wa Russia JF.
Hii ni ambush ukiitizama hiyo video utawaona na wanajeshi wa Urusi wamefanikiwa kutoka na mwengine ameumia.Hakuna Mji wamefaulu kuchukua licha ya kujitapa,sasa wameanza mikwara ya Saddam eti nukes ya kupiga Dunia nzima,hiyo haipo ila anaweza haribu nchi kadhaa lakini na yeye atafutika kama Hitler na Russia kukamatwa na kuiweka chini ya wababe mazima.
Safi sana wanaume wa Ukraine π
View attachment 2133109
View attachment 2133110
View attachment 2133111
View attachment 2133112
Hiyo sio sabubu ya yeye kuzifanyia vulugu nchi zingine.Embu panga hoja kama great thinkerPutin kakukosea nin mkuu?
EU, Nato, USA, Israel wameleta machafuko ktk nchi za watu kupelekea kuua mamilion ya watu wasio na hatia e.g
Libya
Iraq
Afghanstan
Syria
Yemen
Palestine
Ongezea
Ok. Kwa mfano Urusi akitumia Nyuklia na yeye akapigwa kwa Nyuklia then? What next. Je warusi wameridhia? Nyuklia sio maandazi, Nina uhakika jeshi la Russia watagoma kutumia Nyuklia. Kitakuwa na mgogoro wa ndani ya nchi ya Urusi hapo Ndio watapotea zaidi.Nina nyuklia kwa nini nisiitumie? Eti inatengenezwa kwa ajili gani? Yatumike tu
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Pro Russia wenzako wote wamekula kona kwa kukubali ukweli na hali halisi iliyopo grounds, ila wewe waziri wa habari wa type ya Al-Sahaf wa Iraq unaleta ngonjera.Lengo la Putin limetimia na huyo Ukraine ataenda kwa terms za putin.
Hivi unaichukulia poa Russia siyo!?
π£π£π£ Kitulize sasa. Tunasubiri kutest makombora yetu.Kwa vichekesho kama hivi andika Russia kwenda 12522
ndani ya Iraq kulikuwa na migogoro , wavamiz waliungwa mkono na baadhi ya raia so hiyo scenerio haifanani na hii ya UkraineIla wale walio vamia Iraq kwa kuwaaminisha watu kwamba Sadam Hussein ana biological weapons ndo wa kuwaamini?
Kupata madhara sio kupigana.Iite tu jina lolote ila ni vita ambavyo dunia yote inapata madhara inapotokea.