simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,792
- 9,724
With great power comes great responsibility- Putin hajaelewa hili ndio maana siku zake kwenye madaraka zinahesabika.Kwa maneno haya huyu jamaa hafai kuwa kiongozi wa Taifa kubwa kama Urusi - Dunia lazima ihakikishe Madikteta kama hawa wanakuwa fixed haraka kabla hajaleta majanga kwa Dunia.. angalia maneno kama haya ya kutishia watu kisa tu ana nuclear weapons.
Sasa US inamsaidia vifaa Ukraine, haya kapige sasa pale Pentagon kama wewe kidume.
Any country trying to intervene in the Ukraine war will face a "lightning-fast" response, Russian President Vladimir Putin has warned.
"We have all the tools no-one can boast of... we will use them if necessary", he said, in what is seen as a reference to ballistic missiles and nuclear arms.
Ukraine's allies have stepped up the supply of weapons, with the US vowing to make sure Ukraine defeats Russia.
Itafika tuu hiyo hatuaHalafu aliekijenga anaogopa kukitumia kupambana na Russia. Anatumia mgongo wa wengine
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Mkuu acha kuhalalisha maovu mungu haijawahi kuumba mtu akiwa shoga bali ni tabia za kujifunza za kishetani tu kama watu wavyo jifunza Uchawi, wizi ,uzinzi.Utampenda kama baba, mjomba, shangazi au mtoto yeyote mwingine? Maana hivyo ndivyo Mungu alivyomumba kwa namna ya pekee.
DahWewe ndo kiazi kabisa...Kila ukifungua jf upo online unachangia ujinga humu jf mkuu hunaga shughuli ya kufanya?
Hii hapa Minsk agreement,ukisoma,kipengele cha 10,ndo kimeleta haya yote,sasa sijui watu wanamlaumu nini Urusi wakati hawa mashoga walisaini.Mkuu sovereignty naielewa vyema sana pamoja na Liberty!
Ila kwa alichokuwa anataka kufanya Ukraine haikuwa sawa. Marekani na Warudi ni mahasimu na Ukraine inapakana directly na Urusi!
Baada ya vita ya pili ya dunia waliwekeana mikataba kuwa hakuna ambaye hakuna mtu ambaye anaruhusiwa kuweka majeshi ama barracks zake kwenye eneo lililopakana na mwenzie.
Mwanzoni Urusi aliweka Cuba marekani akamfurusha akaondoka hakukuwa na mvutano wowote. Ila sasa Marekani nae anataka kufanya kile kile ambacho yeye hakukikubali Cuba. Anataka aweke majeshi yake Ukraine
Babu wamemtoea uvivu,hakuna nchi za ku-support upumbavu wake zaidi za zile nchi za mashoga wenzake.Putin will attend the G20 summit, which will be held in Bali in November.
This was stated by Indonesian President Joko Widodo, according to Bloomberg.
Earlier, Biden spoke at a press conference in Brussels in favor of excluding Russia from the G20. Other countries did not support him.View attachment 2204793