LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
NATO hawana ballistic missiles katafiti vizuri ninahakika Marekani ndo anaendelea kuziendeleza lakini bado hawajafanikiwa.no research no right to talk.
Usichanganye balistiki missile na hypersonic missile mkuu.balisti Marekan anazo hypersonic zipo kwenye majaribio.
 
Haya mambo hayajitaji mahaba au utimu bali yanahitaji wachambuzi wa masuala ya kimataifa na jana nilibahatika kuwasikiliza na miongoni mwa waliyoyazungumza ni haya: Hakuna ambaye anayekataa kuwa Russia ni nchi yenye nguvu kijeshi. Kwenye hii vita ameingia na zana za kawaida za silaha.

Wachambuzi wanachohofia ni kuwa: kinachopiganwa sasa hivi ni urban warfare ambayo hii haiangalii nguvu za kijeshi wala teknolojia, ni vita ngumu mno. Ikiwa Urusi malengo yake ya kimkakati akiona hayatimii kwa muda aliyojiwekea itamlazimu atumie nguvu kubwa aliyokuwa nayo! ikiwa akifanya hivi itakuwa ni maafa kwa sababu itakuwa ni maafa kwa miundombinu, raia wa Ukraine na kwa wanajeshi pia na mji unageuzwa unakuwa gofu.

Tunachotakiwa ni kuomba malengo yake ya kimkakati yatimie Ukraine ijapokuwa kwa sasa sehemu kubwa ya miji ameshaiteka na amefanikiwa kuteketeza kambi na ghala za kuhifadhia silaha za Ukraine 200+ na hii imesaidia kuwapunguza Ukraine nguvu.
 
Akili za kijamaa shida sana, Putin bado anawaza kijamaa sana...miguvu miingi akili kidogo, wenzie wamewekeza kwenye teknolojia na intelenjia...Kaanchi kama Ukraine ambako unaborder nako mpaka ukavamia na mivifaru na midege?..

Angekuwa na akili za kibeberu aka kibepari hiyo Ulaya mashariki yooote ingekuwa na umoja wao na yeye ndiye angekuwa baba lao with full power angekuwepo mpaka kule Yugoslavia, Bosnia, Albania, Moldova, Uzbeg, Tajigi kwa wanangu, nk sasa amebaki mwenyewe na ubabe mavi anatumia miguvu...
 
Kwani kuna watu wamezuia kuzitoa kama wanazo,unadhani hizo slaa za nyukria zilitengenezwa ziwe mapambo??.,zilitengenezwa zitumike na ipo Sikh zitatumika iwe Leo au kesho.
 
Naacho omba ni Uncle Sam aingilie kati
 
We unaongea nini kuna nchi yenye technologia na inteligencia kama Russia?
 
Bado hoja ni dhaifu mkuu kwamba Russia ndo amewatoa kafala wanajeshi wake?huo ndio uwezo wake afu Russia ndo ya kutishia Ukraine Nuklia?
 
[emoji769]NATO wangemuwai wakamgonya nyuklia bihashara ikaisha. Kwa nn? Putin asumbue watu
 
Bro ivi naweza pata angalau notification Kila unapo koment maana unachuja habari Kwa usawa bila mahaba .
 
Wabongo mnavobishana sasa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]km vita ya waanchari na waanchoka!
 

Putin hakujiandaa na hii vita, amekurupuka tu, sidhani kama wamefanya tathmini sahihi kwenye muda na kila stage ya vita..

Binafsi toka mwanzo wa vita nilijua kuna urban warfare inakuja kwenye mitaa ya miji ya ukraine huku Urusi akiwa hana uzoefu wa vita hizi... na hili urban warfare naamini ni ushauri wa Nato kwa Ukraine kumdhoofisha Urusi maana wanajua hatakuwa na budget hiyo, muda unavyodhidi kwenda na vikwazo walivyomuwekea lazima anyong'onyee na aishiwe nguvu kabisa..

Russia akiwa anaendelea na vita Ukraine ambayo itakuwa Urban kila mahala Ukraine, Huku nako NATO wakipandikiza masceneries na askali wao kuingia na kutoka Ukraine kwa ajili ya kutrain na kutoa backup na kupeleka supply.. Ndani ya Russia kutakuwa na njaa na raia watakuwa barabarani kulalamikia ugumu wa maisha wakichochewa na mamluki ndani ya Russia...

Tuombe Putin apewe busara na Mwenyezi Mungu, tukumbuke ana miaka 70 na kadhaa, hana cha kupoteza, akikosa busara na kupanic anaweza kusababisha maafa makubwa duniani...na huko Russia bahati Mbaya yeye ndio kila kitu..
 
Wewe ambaruti huna unachojua
 
Mzee sote tunaona. Hakuna upinzani wowote. Na lengo la Putin limetimia. Na amewaonya hao NATO atakayesogeza pua ataanza naye.
Si wamepeleka siraha
Si UK kapeleka wanajeshi wame
So unataka kusemaje hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…