Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hata huogopi kusema uongo mwanangu. Naona ngumi zimekuzidi umeanza kuongea uongo
Aurus Motors
Owners
NAMI (63.5%)
Tawazun Holding (36%)
Sollers JSC (0.5%)

 
Ww umesema hakuna bidhaa yeyote ya Urusi isiyo tengenezwa kwa vipuri kutoka Marekani na Ulaya na mm nikakuuliza je na Ak-47 na yenyewe imtengenezwa na vipuri kutoka Marekani?

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Una uhakika bado inatengenzwa Urusi?? Sijui, angalau hizo zinazouzwa kote duniani sidhani. Zinatengenezwa katika nchi makumi.
 
Wewe ni mtoto wa chekechea nikutafunie kila kitu. Mwana Urusi huijui. Jifunze kwanza uifahamu urusi ndio uje tujadiliane. La sivyo utakuwa unaleta issue za watoto wa chekechea.
Kwa hiyo huwezi kuleta mfano, huna data. Sishangai. Basi tuache, ni bure.
 
Wameacha AK 47 ila bado wanatumia AK 74 ambaye ni mtu na dada yake
 
Sijaelewa hapa ulichozungumza au jaribu kuweka vizuri hoja yako mkuu.
 

SV-98 Made in Russia​

 
Hata huogopi kusema uongo mwanangu. Naona ngumi zimekuzidi umeanza kuongea uongo
Aurus Motors
Owners
NAMI (63.5%)
Tawazun Holding (36%)
Sollers JSC (0.5%)

View attachment 2205417
Basi nilikosea, kiwanda cha Ford kwa Aurus iko Elabuga. (Ford-Sollers joint venture; nilivyosema, tuone wataendeleaje baada ya kuondoka kwa Ford. Ona taarifa ya TASS :
ELABUGA, May 31. /TASS/. Production of the luxury Aurus Senat car has been launched at the Ford Sollers plant in Elabuga, Tatarstan, TASS reports on Monday. President Vladimir Putin took part in the opening ceremony by videoconference.
 
Umesema Urusi hawatengenezi vitu wao wenyewe. Naendelea kukupatia dozi.
 

Mpaka uombe msamaha.

Kord machine gun Made in Russia​


 

GM-94 Made in Russia​

 

AGS-40 Balkan made in Russia​



 

9M133 Kornet​


 

9M113 Konkurs​


 

9K115-2 Metis-M​


 

9K111 Fagot​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…