Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

We kweli unajielewa.yani unaleta gari ya mashindano baada ya gari zinazotumiwa na warusi.kamaz wana truck kibao za kubebea mizigo.niambie ni track gani iliyowekewa engine ya switzerland
 
Leta ushahidi
Sio alete ushahidi... Nakupa kidogo maelezo Kwa Nini Marekani wanazalisha sana nje ya nchi yao ... Katika Environmental Economics wanakwepa kitu kinaitwa Environmental Impact Assessment sisi huku hizi kenge zetu hazijali kabisa... Ndio yale matokeo kama ya Mto Mara..inafika na wakati basi unaacha tu .... Ila Marekani ni mjinga sana katika huu ulimwengu. Kwa nini alikataa mkataba wa kupunguza hewa ukaa !!? Bahati nzuri nimeishi ulaya west na east... Marekani sio anawachezesha shere sana west ..
 
wacha watumue silaha ila mwisho wa siku Russia atateka miji yote kisha hizo silaha atazipokea na kuzitumia kuwafumua nazo hao hao akina NATO! RUSSIA sio Zimbabwe πŸ˜…
 
kumbe mtoto wa nzi sio mtu wa mchezo mchezo eeee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
kulipa deni ni uungwana tu
 
Nataka Russia adondoshe huu mzigo kwa nchi kiherehere kama Poland hapo iwe kama mfano
 
Wewe ni boya kweli, Putin hapigani Ukraine. Ile ni operation ya kuilegeza Ukraine kijeshi japo NATO wanaingiza mamluki ila hajaamua kuwamwagia moto zaidi anaharibu silaha zao tu wanazoingiza na akiwakamata mamluki anawapaka GV tu na kuwapa misosi wale.

Ni sawa na wewe ukipigana na mdogo wako ni kuwa unamtia discpline tu ila lengo sio kumuangamiza. Ngoja aingie kwenye full scale war uone kipigo atachokuwa anatembeza.

We uliona wapi vita ukikamata maadui unaanza kuwapeti peti badala ya kuwachinja kabisa?
 
πŸ€—
Kama yumo basi na uandishi wake umebadilika maana najua uwasilishaji wake unavyokuwa.
Au la atakuwa huyu bwana Galip Vrl maana kwa namna fulani wanafanana kiuandashi.
Utanisahihisha mkuu.
Hapana jomba sio mie, kipindi cha nyuma nilikuwa napenda tu kua msomaji huku JF, hadi march mwaka huu ndipo nilipoamua kujiunga Rasm.

Huyo Malcom nilikuwa nasoma post zake tu enzi hizo,

Naweza sema mie nae nipo kama wewe miongoni mwa wanaotamani kusikia neno kutoka kwake vile vile na GT wengineo tuliowazoea.
 
During the day, 18,849 people were evacuated to Russia from dangerous areas of the Donetsk and Lugansk People's Republics, Ukraine, including 2,359 children, in total, 1,062,692 people, including 192,688 children, have already been evacuated since the start of the special operation, the Russian Defense Ministry said
 
πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡·The Prime Minister of Greece said that the EU economy will not be able to find a replacement for Russian gas.

Europe should be careful about sanctions against Russia so as not to harm itself further, Kyriakos Mitsotakis added.

By the way, Russian gas accounts for more than half of the total consumption of "blue fuel" in Greece.

β–ͺ️Not so long ago, Athens also refused to supply weapons to Kyiv, explaining this by "a negative impact on the country's defense capability."
 
Hii vita urusi imenaswa, nina hofu Sana inaweza kuishiwa pumzi kwani inapigana na wengi
πŸ“Š In total, since the beginning of the special military operation, 143 aircraft, 112 helicopters, 660 unmanned aerial vehicles, 279 anti-aircraft missile systems, 2678 tanks and other armored combat vehicles, 308 installations of multiple launch rocket systems, 1196 field artillery guns and mortars, as well as 2503 units of special military vehicles.
 
The ruble zone began to work today in the Kherson region liberated from Ukrainian nationalists.

The transition period will take up to 4 months. During this time, the ruble and hryvnia will circulate in the region. After the calculations will be only in rubles.
 
Law Makers wanachungulia Porn wakati wa kikao cha maamuzi... [emoji23] Hayo maamuzi yanayotolewa yatakuwa na sura gani [emoji847]Ukiangalia matendo ya hawa watu yanafanana kabisa na ya wafuasi wao... Nimemkumbuka yule mpiga nye** mchambuzi konki wa kivita...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…