LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Ukraine ni nchi huru nayo ina haki ya kujilinda na Russia kama anaiona ni tishio kwake.

Yaani ihalalishwe Russia kuivamia Ukraine sababu Russia inajilinda na NATO kwa kuingilia uhuru wa taifa ambalo lenyewe pia linajilinda na Russia?
 
Uwongo mkubwaa huu nao
 
UK imekiri kuwa imeisaidia Ukraine Silaha, Ujerumani imempatia Rockets lakini hawawezi kupeleka Troops zao kwasababu NATO wataingia na itasababisha vita kuu ya 3 ya dunia (WWIII)

Kwahiyo kwasasa Urusi haipigani na Ukraine peke yake.
Ila Mwanzo wa Vita Ukraine alikuwa anapigana na Russia pamoja Beralus
 
Kitu ambacho ni tishio kwa dunia na sikulifahamu ni kuwa Russia ndio nchi yenye stock kubwa zaidi ya Nuclear
View attachment 2133274
Mabomu ya Nuclear sio sawa na risasi eti useme uwe nazo nyingi ndio uweze kufanya total destruction, ukiwa na mabomu 15 tuu yanatosha kuangamiza Dunia. Na kwa akili yako wakati anatumia hayo mabomu yake yote hao wenzake watakuwa wapi?
 
Inapoelekea Putin ataichukua Ukraine yote kuwa sehemu ya Urusi-ngoja waendelee-kuimchokoza.
 
Kuna mchangiaji na mdau mkubwa humu alinishambulia utafikiri US Chief of Staff
Nilipoandika mwanzo kabisa kuwa China ni rafiki mkubwa wa Russia
Aisee alirukia kama mwewe
[emoji23][emoji23][emoji23] pole sana...kuna wajuaji wengi sana humu
 
Ukraine ni nchi huru nayo ina haki ya kujilinda na Russia kama anaiona ni tishio kwake.

Yaani ihalalishwe Russia kuivamia Ukraine sababu Russia inajilinda na NATO kwa kuingilia uhuru wa taifa ambalo lenyewe pia linajilinda na Russia?
Babu,mbona unakuwa na kichwa boga kama mashabiki wa CCM tafuta hotuba za putin-amelielezea hilo swala vizuri.kwa hiyo we we unaona ni sawa USA awekw base Ukraine na Ukraine ilimiko nuclear kwa mgongo wa USA??
 
Mabomu ya Nuclear sio sawa na risasi eti useme uwe nazo nyingi ndio uweze kufanya total destruction, ukiwa na mabomu 15 tuu yanatosha kuangamiza Dunia. Na kwa akili yako wakati anatumia hayo mabomu yake yote hao wenzake watakuwa wapi?
Sasa kwa mfano Putin akawahi akatupia hilo Bomu katika Makao Makuu ya jeshi lako huo muda wa wewe kuanza kuji organize utautoa wapi?
 
[emoji16][emoji16][emoji16]warusi wa kwenye media platforms hataree
Wanatu copia na kupaste kutoka kwa sources za google na twitter ambazo USA ana access nazo kwa asilimia 100,hawa Warusi wa kwa Mtogole wanachekesha sana 😂
 
Jipeni nadasi kidogo saa hizi kina game ya fainal carqbao kati ya Chelsea na Majogoo wa Liverpool.

Second half ndio imeanza. Ngoma bado mbichi. 0-0.
 
Kama hii vita ni ya URUSI na UKRAINE vikwazo vya NATO vinahusikaje?? Hii ni vita ya NATO + UKRAINE vs URUSI. Na RUSSIA ameshinda mapema, vikwazo kibao na mwanaume ameingia UKRAINE na ametembeza kichapo
Vikwazo vinauma baada ya muda
 
Putin anza na wale vihele hele Germany & UK,shusha kabomu ka nuclear nasi tushuhudie ni miaka mingi imepita hatajashuhudia mabomu hayo.
 
Urusi imetangaza kutumia nyulia kupiga ujerumani,uingereza,marekani na nchi nyingine yoyote inayoisaidia ukreni,pia mpaka kufika j5 kievu itageuka majivu maana urusi itatumika silaa nzito zaidi ili kushinda vita,pia Raisi wa ukreni atatekwa au atauwawa vitani.
 
Putin anza na wale vihele hele Germany & UK,shusha kabomu ka nuclear nasi tushuhudie ni miaka mingi imepita hatajashuhudia mabomu hayo.
Unaamrisha ukiwa pale savulachole,nenda frontline kama kweli wewe ni mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…