MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Anajulikana kama jenerali Aleksandr Vladirmovich Dvornikov ndio mkuu wa special operation huko Ukraine.Tayar huko.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aliyeapishwa na putin kufanya operesheni Ukraine wamemfanyia yeye operesheni
Safi sana mkuu [emoji3], njia nzuri ya kukomesha upuuzi.Hilo la LGBTO unalijua mwenyewe binafsi sikubaliani na wewe kumwita mwenzetu hivyo....ila ni kweli huyo jamaa hajui kitu amekurupuka tu...hawajui makamanda wa Russia na muundo wa jeshi la Russia....
Alipo rais wa Ukraine umeona kumepigwa! Ama washafanikiwa kuingia?[emoji16]Ukraine wamepigwa mno mnoo!
na Russia akitaka kichwa cha Zelensky is a matter of minute ni vile tu hawajaamua.Manake wanamuacha kwa ajili ya kufanya nae mazungumzo ya kusitisha vita na si vinginevyo
Anamkosoa mwenzie kumbe yeye ndo mwehu.kila topic na jukwaa lake ukitaka topic za nchini kwako nenda jukwaa la siasa kaka kule utakutana na kila kitu kuhusuana na kuupiga mwingi.
you comment in a wrong forum
Sema mwamba kuna kitu hakipo sawa kwako, so unapenda kuona habari za Ukraine akipigwa tu et! Ndio utaiona sio habari ya kishabiki[emoji2][emoji2][emoji2] Huwa nafurahi mno nikiona mtu anachangia mada hii kishabiki kama wa mpira. Kwa jinsi ulivyo mjinga sasa, unaokota habari za mipasho kutwa nzima.
Hii vita inajulikana wazi kuwa UKRAINE amepigwa vibaya, sijui hizi nguvu za kusema Urusi anapigwa huwa mnatoa au zinakusaidieni nini.
Alipo rais wa Ukraine umeona kumepigwa! Ama washafanikiwa kuingia?[emoji16]
Raisi anaishi kwenye mashimo kama panya jamaa washa-mdetect ni vile hawajaamua kumshughulikia....Alipo rais wa Ukraine umeona kumepigwa! Ama washafanikiwa kuingia?[emoji16]
Wali reduce, but unaweza kusema walishindwa hvyo wakarudi nyuma na kufanya reposition,Mkuu unajitoa ufaham kuwa walikubaliana Russia aache mashambulizi kiev?? Au mwenzetu hufuatilii habar
Nilisoma nae huyo aliye-comment hivyoNimeifata hiyo link nimekutana na hii comment ya mdau mmoja hivii... Nimecheka tu View attachment 2207810Eti now I know why alien land only in US [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akiwa na maana Russia hakuna mdudu wa kutua kwenye anga hiyo.
Waambie wawe wanatumia akili
Vizuri mkuu, maswali mazuri.Nakuuliza wewe unayepingana na russia.
Ni sababu zipi za msingi zinazokufanya uwapinge?
Na kama mnadai kavamia nchi huru kwanini aivamie Ukraine na si nchi nyingine?
Na kama mnadai anaua hovyo raia na kupiga majengo na sio kambi za jeshi au wanajeshi wapo wapi? Human shield ikitokea ni action ipi inapaswa kufuatwa?
Je kama wapinga vita wanataka amani hizo silaha mnapeleka za nini ?
Hayo matwakwa ya mrusi wakiyafata wanapungukiwa nini?
Mrusi angeweka silaha zake Cuba reaction ya US ingekuwaje?
Vipi urusi akubali nato aweke silaha Ukraine ila na yeye akaweke Cuba marekani angekubali?
Mwisho, mnaodai urusi kashindwa vita kuimaliza kwanini akishambulia mnalalamika na akitulia mnabeza, shida nini?
Hujajibu maswaliVizuri mkuu, maswali mazuri.
Ila kabla ya yote, turudi mwanzo kabisa
Je Sheria ipi ina ruhusu nchi moja kuivamia nchi nyingine?
Je Russia ame obey international law/agreements ama ameviolate?
Pia soma hapa.[emoji116] Utajua kwanini mataifa mengi yanajielewa yako against russiaView attachment 2208552
Umelazimishwa kusoma thread zake.Kumbe unatumia bundle,unapaswa ku upgrade uende kwenye non limited Wi fi,vinginevyo ukiwa na bundle za mawazo utaishia kuwa na makasiriko na topic za wenzio[emoji846]Wewe jamaa unalazimisha sana kuwa unaufahamu huo mgogoro lakini kiukweli hujui chochote.Subiria vita iishe ndio utajua Urusi alikuwa anataka nini na kwa nini anapiga kiev na kuondoka.unatumalizia bando tu.
Waoga kinoma kuna mmoja amesikia ambulance Kumbe inapeleka mgonjwa akatoka mbio! Ila tuna maisha ya wasiwasi kuzidi nyumasasa walevi majasiri uliwaona nchi gani bwana britanicca