Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

japokuwa nipo upande wa russia.
Kiukweli hakuna law inayoruhusu kuvamia nchi nyingine.
Pia, russia hajafata na kutii.
Kivingine naweza sema nchi ikishaona inauwezo sana basi inaona sheria si kitu kwake. Tumeona US alichofanya na washirika wake Hawa ndio hawazingatii kabsa law kuliko urusi.
Ni hayo tu.
 
Umelazimishwa kusoma thread zake.Kumbe unatumia bundle,unapaswa ku upgrade uende kwenye non limited Wi fi,vinginevyo ukiwa na bundle za mawazo utaishia kuwa na makasiriko na topic za wenzio[emoji846]
Hahaha
 
Inavyoonekana NATO wana taarifa zote za walipo warusi Ukraine na wakuu wao. Wanaamua tu kuchakata mmoja baada ya mwingine.

Haiwezekanj msafara wa vigogo wa jeshi uwe exposed na kulipuliwa kama MTU anachoma siafi.

Hata Osama mwenyewe alikuwa mjanjamjanja. General Millar mtalebani ndio hawakumuona kabisa.

Hawa warusi wanafeli wapi.
 
Sheria zinatungwa na wenye nguvu. Huo uvamizi ndio sheria yenyewe kwa kukiuka mikataba ya Minsk sasa unafikiri ukivunja makubaliano mliojiwekea wakuitie polisi!!!
Itawezekana kweli!!? ni kichapo tu kwa kwenda mbele mpaka urudi mezani kuomba msamaha kwa usumbufu ulioleta
 
ndio kweli sheria ipo ili ivunjwe.
Upande wa makubaliano Ukraine kakosea na nato pia kakosea ila urusi yupo sahihi kabisa.
 
Ganja bana.
 
Wanachonifurahisha warusi hizi silaha wakizikamata hawazitumii wao, wanazipeleka kwa wanamgambo wa luhansk na Donetsk. Yaani wao hawazihitaji, dharau iliyoje!?
Wakati Nato wanawapa ukraine silaha wajue kuwa wanawapa na waluhansk na wadonetsk pia.

Wanaume wanazidi kusogea. Muda sio muda na Odessa itakwapuliwa nchi ibaki land locked. Wakati huo na Moldova ikikaribiwa. Mwezi mmoja baadae nchi inagawanywa vipande viwili komedian anaachiwa kakipande katakachobakia. Avune alichopanda [emoji1787]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…