Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Resistance ipi unayoisemea. Hii ya watu kujificha kwenye mashimo kama panya na wengine kuvaa kama wanawake ili wakimbie vita!? Miji na majiji kutekwa na maelfu ya wanajeshi pamoja na mamluki kujisalimisha!?

Hakuna resistance yoyote ya maana. Resistance ilikuwepo kule cuba kwenye bay of pigs invasion maana kule ndio mvamiaji alikimbia kwa aibu bila kufikia hata robo ya lengo lake.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Daaah 🤣🤣🤣🤣🤣 sasa hiyo fance si inapigwa kombora tu
 
Hii vita ni grinding war ( vita usiyo na mshindi ) soma paper mbalimbali zinazoelezea uzoefu na ujuzi we medani. Urusi imekili kupoteza askari 1500 lakini inawezekana kapoteza zaidi ya hawa. Kupoteza battalion moja na nusu kwenye vita ya kisasa huu ni uzembe ndugu zenu russia wamefanya. Tafuta hata open source intelligence angalau ujifunze na kujua kuwa mataifa makubwa pia nawao wanaweza kukosea katika mipango yao. Russia has achieved nothing than creating fear and destruction. Huu ndio ukweli mchungu wewe kama Pro Russia leta evidence hapa kuwa Russia amefanikiwa lipi kwenye uwanja wa medani. Alichofanikiwa Sana russia nikuharibu miundombinu na kuleta woga wa kutumia nuclear. Russia with its superior army ameshindwa kukata supply chain ili vikosi vya ukraine vikose msaada kisha avitwange bila kupoteza askari wengi. Haya ni maoni yangu tu.
 
Sasa kama vifaru 230 vimetoka Poland hadi kuanza frontline mtu hajajua....
Kama TB2 zinaingia kila siku na hajui zatokea wapi

GRU,FSB hawana intel kali kuzidi CIA, MI6 na wengine wa 5 Eyes combined
Neno lako sio sheria sanasana linaonesha jinsi usivyomjuzi kwenye unachokisema.

Russia military ni ya pili kwa uwezo duniani niambie unafikiaje hapo kwa kuwa na military intelligence isiyona makali!?

Tusiongee sana, jionee mwenyewe

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Unapata tabu sana. It seems hata kula huli
 

Canadian Army Lt. General Allegedly Captured in Mariupol Ukraine​



Unconfirmed reports, from various sources in Ukraine and Russia, claim that Canadian Forces Lt. General Trevor Cadieu has been captured by Russian Forces in Mariupol.
His capture allegedly occurred while he was attempting to escape the encircled Azovstal steel mill facility, through a sewer pipe.
If this report is confirmed, readers should be aware this guy is no average grunt going on an adventure. He was a Brigadier General and “retired” days before being promoted to the highest role in the Army.

UPDATE 9:43 AM EDT --
Additional unconfirmed CLAIMS have now surfaced which allege Lt. General Trevor Cadieu has been taken to Moscow to stand trial. He was also ALLEGEDLY in charge of Biolab No. 1, where 18 people worked with deadly viruses
 
Hujui lolote kuhusu vita, kama Russia angekosa resistance asingepata casualties hata kombania moja. Unaongea kwa hisia mishipa inakusimama as if uko front line. Kuna data zinatumwa direct from frontline kuwa vikosi vya ni under motivated, na pia kuna slow progress unafikili ni mchezo. Unaweza kuwa na jeshi kubwa ila uka lack morale victory kitu ambacho ndio silaha ya kwanza kwenye uwanja wa vita. Mind you, Russia hapigani na jeshi la ukraine ila anapigana na taifa zima. Kwa mazingira haya hata mabeberu wangepata chamoto. Raia wengi kumbuka wana silaha, unafikili vikosi vya russia havipati changamoto ya kuviziwa kwa counter attack. Vikosi vya russia vingekuwa credited kama vingeteka miji kama vilivyofanya cremea.
 
Njaa mbaya vikwazo vimepelekea haya yote[emoji848]
Vukwazo vimepelekeaje hayo hebu fafanua!?

Jaribu kutumia kichwa chako walau kidogo mkuu, just kidogo tu. Utakuwa umetusaidia sana!!!

Sekta ya kilimo kati ya urusi na ukraine kwa urusi ni kubwa sana.
Pitia hapa "Agricultural Productivity and
Efficiency in Russia and Ukraine:
Building on a Decade of Reform"

Haiingii akilini kwa urusi ambaye anasekta kubwa zaidi ya kilimo akaibe mashine kutoka kwa nchi aliyoizidi kila kitu ikiwemo na uwepo na matumizi ya mashine kama hizo.

Alafu kwenye vita wanaoshinda wanachukua hawaibi na wanaoshindwa wananyang'anywa hawaibiwi. Inatakiwa ulijue hilo kbl hujaanzisha vita. Ukishindwa sio tu mali zako zitachukuliwa bali na ardhi yako itachukuliwa, Na wewe mwenyewe utachukuliwa mateka. Ni kawaida

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Jaman tuongeze akili tunavyoanzisha mada hapa jukwaani. Sasa hapa watu wachangie nn
Pamoja na vita inayoendelea nimepita sehemu moja jana usiku watu wanapiga ULABU kawaida !!

Japo wamekaa kimkao wa mbio kwamba kikinuka wasepe!!!!

Alafu mtu yuko Tandahimba anabishana na mimi
 


“Russia does not abandon its plans to seize not only the geographical borders of the Donetsk and Luhansk regions, they are now trying to do this in the Kharkiv region, Kherson. Their goal is to cut Ukraine off from the seas,” the Ukrainian Deputy Defense Minister said.

I really don't see any problem with this. After all, everyone knows that Ukrainians dig a new sea - just spit😉
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…