NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
TECNO hiyo unayotumia.Mkuu umeuliza swari gani hili?
Kwa hiyo hata Ak_47 na yenyewe imetengenezwa na vipuri kutoka Marekani?
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
[emoji122][emoji122][emoji122]View attachment 2208296
Gazprom reveals increase in gas supplies to China
Russian gas supplies to China have increased by almost 60% in the first four months of 2022 compared to the same period last year, Russian energy giant Gazprom announced on Sunday.
The deliveries are made through the Power of Siberia pipeline as part of the contract between Gazprom and China National Petroleum Corporation (CNPC), the company said.
kabisa.MKUU kifinyo tuuuuSheria zinatungwa na wenye nguvu. Huo uvamizi ndio sheria yenyewe kwa kukiuka mikataba ya Minsk sasa unafikiri ukivunja makubaliano mliojiwekea wakuitie polisi!!!
Itawezekana kweli!!? ni kichapo tu kwa kwenda mbele mpaka urudi mezani kuomba msamaha kwa usumbufu ulioleta
Ingawa uzi hauna mahusiano na hii issue, Ngoja nikujuze kwa kifupi tu. Kuna hii kitu Gender na Sex. Hizi term mbili n very complicated na majibu yake kila mtu ana yake yategemea na kile nilichokuuliza kua nini kinakutambulisha kua jinsia ni mbili...Jinsi ya mwili wa mwanadamu ulivyoundwa ni kwa kutumia chromosomes.
Chromosomes zenyewe ni X na Y
XX- Mwanamke na jinsia yake
XY-Mwanaume na jinsia yake
Na nina mashaka sana ka huo umoja wa hap "wazaramo weupe" utakuepo miaka mi5 ijayo [emoji23]Mkuu umesahau fertilizer marekani ni mnafiki sana. Kitu ambacho watu hawajui uchumi wa EU ulikua unakua sana hasa Germany ndomana US kafanya figisu Nord 2 imekwama lengo ni kudidimiza uchumi wa EU aendelee kuwapa misaada.
EU watakuja kushtuka muda umekwenda acha waendelee shikwa MATACORE
Kuna wazungu chenga, hivi Ujerumani haoni hili jambo au?Mkuu umesahau fertilizer marekani ni mnafiki sana. Kitu ambacho watu hawajui uchumi wa EU ulikua unakua sana hasa Germany ndomana US kafanya figisu Nord 2 imekwama lengo ni kudidimiza uchumi wa EU aendelee kuwapa misaada.
EU watakuja kushtuka muda umekwenda acha waendelee shikwa MATACORE
Huyo ni popompo.... Achana nae....Wafe wanajeshi 500 halafu bbc wasitangaze mbona huyu jamaa sijui habari kaitoa wapi
Upo sahihi sana na nakubaliana nawe kwa asilimia 100.Ingawa uzi hauna mahusiano na hii issue, Ngoja nikujuze kwa kifupi tu. Kuna hii kitu Gender na Sex. Hizi term mbili n very complicated na majibu yake kila mtu ana yake yategemea na kile nilichokuuliza kua nini kinakutambulisha kua jinsia ni mbili...
Ukitumia kigezo cha vile vilivyopo katikati ya Miguu miwili kwa wanyama unaweza sema jinsia (Sex) zipo 2 kua ya kiume na kike...
Sasa nje ya vigezo hivo kuna wanawake wana jinsia ya kiume. Ana breast, umbo, sura, sauti na mengineyo ya kike kasoro sex part zake ndio za kiume... Wanawaita Shemale, that's why nikakuuliza unatumia kigezo kipi kutambua na kudeclare kua jinsia zipo mbili...
Na hiyo juu ni katika Jinsia upande wa "Sex"... Ila ukiizungumzia Jinsia in term of gender inakuwa no longer "what it's between legs"... Hapa utakutana na kila aina ya sampuli...
Mfano to mention but few, kuna Agender, Bigender, Androgynous, Cisgender, Cross dresser, Transman, Gender fluid, Genderqueer, Transwoman, Pangender, Transfeminine, Transgender, Transmasculine, na Natal gender....
[emoji23][emoji23][emoji23] Nakumbuka huyu judge wa US aliyetangazwa kua Judge wa kwanza mweusi ndani ya Supreme Court alishindwa kujibu "Mwanamke ni nini" akadai ye sio "Biologist" kueza sema mwanamke ni nini...
Anyway kwa kua sio mahala pake hizi story tuishie apo apo tu.
Mimi niliukiza swali la hivi. Chama cha mashoga duniani kinaitwaje!?.Upo sahihi sana na nakubaliana nawe kwa asilimia 100.
Sex ni tofauti ya kibaolojia kwenye sex organ kati ya me na ke
Ila awe Transgender, Shemale na vikorombwezo vingine vyote,
Wanachofanya ni kualter sex organ ila hawabadilishi chochote kwenye vinasaba vya kwenye mwili wao.
Gender ni jamii inavyoelezea na kutofautisha majukumu ya jinsia ya me au ke.