The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kulikuwa na justification kwenye hizo Nchi maana zinasapoti na kutoa hifadhi kwa magaidi.Ila LIBYA, MALI, SYRIA, AFIGHSTAN wakivamia inakuwa haki? Mkuu ngoja niishie hapa..
Hii Ngoma Ni both teams to score....there are no winners in a nuclear war[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] haya sasa tumerudi, kwa hali ninayoiona, RUSSIA hana cha kupoteza as amekaa na mabomu bila sababu. Katika kujilinda kwake afu atokee Mtu azuie? Nimefuatilia kwenye vyanzo mbalimbali, URUSI hayuko peke yake, na nakuhakikishieni huu ndio mwisho wa UTAWALA wa USA na NATO as a SUPER POWER na EASTERN BLOCK (CHINA & RUSSIA) Wanakuja kucontrol dunia. Kwa nilichoona (mimi binafsi) Russia anaanzisha hii vita, kisha anakuja IRAN na NORTH KOREA wakati USA anaingia full hapo ndipo CHINA anaingia FULL and tunarudi kwenye historia kurekebisha mambo.
I BET RUSSIA to WIN
Ikiwa kama uhuru huo ni wa kuhatarisha usalama wa taifa la jirani yako basi uhuru huo uangaliwe.Ukraine ni nchi huru nayo ina haki ya kujilinda na Russia kama anaiona ni tishio kwake.
Yaani ihalalishwe Russia kuivamia Ukraine sababu Russia inajilinda na NATO kwa kuingilia uhuru wa taifa ambalo lenyewe pia linajilinda na Russia?
Mnawashirika wepi wa kuunga nao?Sisi Urusi hatukubali tukishindwa kabisa basi tunaileta ww3,Mpo nyie timu shoga?
Una hatarisha vipi mkuu? Kwani alliance ina shida gani? Maana ni kujilinda.Ikiwa kama uhuru huo ni wa kuhatarisha usalama wa taifa la jirani yako basi uhuru huo uangaliwe.
Sisi tuna watu. Afrika yote isipokuwa SA na kenya tu. Tuna N.Korea,China,Iran na zote zilizopigwa na USAMnawashirika wepi wa kuunga nao?
Anaungwa mkono dhini ya uvamizi wa uoneziUkraine atafanya maajabu amesimama kwenye haki
Hapana wa kwanza kupiga ndio mshindi mzee baba.Hii Ngoma Ni both teams to score....there are no winners in a nuclear war
Na watu wengi hawaelewi kuwa nguvu anayoitumia Urusi ni ndogo. Ikiwa mkakati wake hautokamilika kwa muda aliyojiwekea. Suala litakalobaki ni moja tu nalo amalize vita. Akifikia hapo yule Rais anayetaka kuonekana shujaa watu wataanza kumuita mjinga.Inapoelekea Putin ataichukua Ukraine yote kuwa sehemu ya Urusi-ngoja waendelee-kuimchokoza.
[emoji848] ila we jamaa kavu sanaKwa vichekesho kama hivi andika Russia kwenda 12522
Africa ipi hiyo? Yaani uache kukaa kwa mahindi ukae kwa wapuuzi na loosers hao maskini wa Russia?Sisi tuna watu. Afrika yote isipokuwa SA na kenya tu. Tuna N.Korea,China,Iran na zote zilizopigwa na USA
[emoji848] ila we jamaa kavu sanaKwa vichekesho kama hivi andika Russia kwenda 12522
Sawa!
Porojo za kujifariji.Kama ndivyo mikwara ya nukes inatoka wapi?Na watu wengi hawaelewi kuwa nguvu anayoitumia Urusi ni ndogo. Ikiwa mkakati wake hautokamilika kwa muda aliyojiwekea. Suala litakalobaki ni moja tu nalo amalize vita. Akifikia hapo yule Rais anayetaka kuonekana shujaa watu wataanza kumuita mjinga.
amewaombea albadiri wa ukraine woteKiongozi wa kidini uko iraq ameombea waukraine