LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] haya sasa tumerudi, kwa hali ninayoiona, RUSSIA hana cha kupoteza as amekaa na mabomu bila sababu. Katika kujilinda kwake afu atokee Mtu azuie? Nimefuatilia kwenye vyanzo mbalimbali, URUSI hayuko peke yake, na nakuhakikishieni huu ndio mwisho wa UTAWALA wa USA na NATO as a SUPER POWER na EASTERN BLOCK (CHINA & RUSSIA) Wanakuja kucontrol dunia. Kwa nilichoona (mimi binafsi) Russia anaanzisha hii vita, kisha anakuja IRAN na NORTH KOREA wakati USA anaingia full hapo ndipo CHINA anaingia FULL and tunarudi kwenye historia kurekebisha mambo.
I BET RUSSIA to WIN
Hii Ngoma Ni both teams to score....there are no winners in a nuclear war
 
Ukraine ni nchi huru nayo ina haki ya kujilinda na Russia kama anaiona ni tishio kwake.

Yaani ihalalishwe Russia kuivamia Ukraine sababu Russia inajilinda na NATO kwa kuingilia uhuru wa taifa ambalo lenyewe pia linajilinda na Russia?
Ikiwa kama uhuru huo ni wa kuhatarisha usalama wa taifa la jirani yako basi uhuru huo uangaliwe.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Habari za usiku wanajamvi,

Dunia sasa imeingia kwenye taaruki kubwa sana kuhusu Mrusi kumvamia Mukrain wengi wakimuona mrusi ni shetani mshenzi asie faa kuingilia maamuzi ya nchi huru kama Ukrain.

Wengi wenu mnadhani Mrusi anagombana na Mukrain kwasababu tu ya Mukrain anataka kujiunga na Umoja wa Ulaya pamoja na NATO lakini kihalisia sio kweli kuna mambo mazito sana nyuma ya pazia ambayo watu wengi Duniani hawayajui imefika mbali zaidi vyombo vya habari vya Magharibi vimekuwa vikitia chumvi nyingi kuhusu Mrusi kwamba ni mtu mbaya hafai lakini kiukweli Mrusi sio hata mtu mbaya..

Kwa nini nasema hivyo?

Kwasababu Mrusi na MUkrain wanachogombania hasa hapa ni umiliki wa Blacksea makubaliano ya umiliki wa Bahari Nyeusi hapa ndio huo mzozo ulipo na sio sehemu nyingini watakao nielewa hapa ni wachache mno.

Huu ugomvi ili uishi basi Mukrain ampe Mrusi umiliki wa sehemu ya Bahari Nyeusi kiuhalali kipande amiliki Mrusi kipande amiliki Mukrain ikiwa hivyo fasta hii vita itaisha maana Mrusi kiuhalisia hana bahari mana bahari inayomzunguka yote imeganda kasoro upande wa mashariki mwa Korea Kusini kule kidogo lkn uko kwengini ni barafu tupu ndio maana anaigombania Bahari Nyeusi maana ndio kila kitu kwake.

Niwatakie usiku mwema.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ukraine atafanya maajabu amesimama kwenye haki
Anaungwa mkono dhini ya uvamizi wa uonezi

Screenshot_20220227-203804.png
 
Inapoelekea Putin ataichukua Ukraine yote kuwa sehemu ya Urusi-ngoja waendelee-kuimchokoza.
Na watu wengi hawaelewi kuwa nguvu anayoitumia Urusi ni ndogo. Ikiwa mkakati wake hautokamilika kwa muda aliyojiwekea. Suala litakalobaki ni moja tu nalo amalize vita. Akifikia hapo yule Rais anayetaka kuonekana shujaa watu wataanza kumuita mjinga.
 
Sisi tuna watu. Afrika yote isipokuwa SA na kenya tu. Tuna N.Korea,China,Iran na zote zilizopigwa na USA
Africa ipi hiyo? Yaani uache kukaa kwa mahindi ukae kwa wapuuzi na loosers hao maskini wa Russia?

Egypt na South Africa wote wamemzingua huyo Russia.

Pia mimi hapa ntakuwa wa kwanza kutungua wanaounga mkono Russia.
 
Na watu wengi hawaelewi kuwa nguvu anayoitumia Urusi ni ndogo. Ikiwa mkakati wake hautokamilika kwa muda aliyojiwekea. Suala litakalobaki ni moja tu nalo amalize vita. Akifikia hapo yule Rais anayetaka kuonekana shujaa watu wataanza kumuita mjinga.
Porojo za kujifariji.Kama ndivyo mikwara ya nukes inatoka wapi?

Screenshot_20220227-165947.png
 
Back
Top Bottom