Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Hilo taifa teule nani aliliteua!?Baada ya vita vya 'siku 3'Ukraine kupoteza muelekeo ,hatimaye Urusi imevamia taifa teule kwa maneno/tuhuma za kuuudhi eti Hitler ni Myahudi kauli ambayo imezua mtafaruku wa kishindo kati ya Urusi na taifa teule.
Israel on Monday lashed out at Russia over “unforgivable” comments by its foreign minister about Nazism and antisemitism - including claims that Adolf Hitler was Jewish. Israel, which summoned the Russian ambassador in response, said the remarks blamed Jews for their own murder in the Holocaust.
It was a steep decline in the ties between the two countries at a time when Israel has sought to stake out a cautious position between Russia and Ukraine and remain in Russia's good stead for its security needs in the Middle East.
Asked in an interview with an Italian news channel about Russian claims that it invaded Ukraine to “denazify” the country, Sergey Lavrov said that Ukraine could still have Nazi elements even if some figures, including the country's president, were Jewish.
Huyu boya badala akimbie Nchi anakaza fuvu na SMG yake ngoja Wasoviet wamtawanye mwiliMayor wa mji wa Mykolayiv [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2208999
NATO haigopi kupigana vita na urusi ila baadhi ya nchi wanachama wanao unda hilo jeshi la NATO ndo hawataki kabisa kusikia vita na mrusi kwa masilahi ya uchimi na maisha yao ya baadae, nchi kama ujeruman, Hungary na zingine zinaulewa vizuri moto wa wasoviet enzi za vita ya pili ya dunia. Na pia nchi kama ufaransa na UK wanahofia kupotezwa kabisa kwenye ulimwengu wa dunia kama nukes zikianza kutua kwenye ardhi zao.Watu wa Dunia nzima wanajua kua Ukraine inapigwa vibaya sana licha ya kusaidiwa Silaha na NATO.
Watu wa Dunia nzima wanajua kuwa NATO si lolote si chochote kwa Urusi.
Watu wa Dunia nzima wanajua kua Urusi haiwaogopi NATO na inawadharai sana,Iko tayari kupigana nao lakini NATO haiko tayari kupigana na Urusi.
Ndugu yangu 1954,binadamu Wana akili sana ,kwa asili ni viumbe pekee wadadisi sana.
Hivyo bila kuambiwa na mtu yoyote kwa vita hii,huangalia,husilikiza au kusoma vyombo vya habari vya west Kisha hufanya udadisi kwa kuangalia au kisoma au kusikiliza vyanzo vingine vya habari,na hapo ndipo hujua ukweli na kuwaacha wanaofanya propaganda waendelee na propaganda zao.
Kilichowafanya watu wa Dunia hii kuifuatilia kwa undani vita hii,ni tabia za west walizoonesha.
Kwa mfano watu walishuhudia vita ya USA na Allies wake dhidi ya Iraq mara mbili,USA dhidi ya watalaban na Alqaida huko Afghanistan,NATO na Yugoslavia,Kosovo na serbia na hata Syria.hapa watu wa Dunia hii wanajiuliza kwa Nini west wamehamaki namna hii kwa Ukraine na Urusi?
Mbona vita hizo nilizozitaja walipeleka vikosi vya NATO ama USA na Allies lkn kwa Russia wanaishiabkutoa silaha TU?
Kwa machache hayo ndio Sasa watu wa duniani wameamua kuifuatilia mwenendo wa vita hii kwa vyanzo tofauti tofauti
Leta Ya Ukweli MKUU ili Upinge uongo huuWe jamaa habari zako za kitapeli sijui unazitoa wapi na unapata faida gani mtu mzima kuwa unaongea mambo ya uongo uongo?
Alisikika mwanaapolo mmoja tokea Simanjiro baada ya kutoka mgodini bila kuambulia chochote zaidi ya vumbiPutin aondoe majeshi yake kwenye ardhi ya Ukraine, alipie gharama zote za vita, afikishwe kwenye mahakama ya uhalifu wa kivita yeye pamoja na wapambe wake kisha Russia iweke sahihi kwamba kamwe hatavamia tena nchi nyingine.
Leta Ya Ukweli MKUU ili Upinge uongo huu
Nahisi tatizo la jiwe alikuwa anakuja Kwa speed sana na kiwaziwazi. Hakuwa akimfukiza mwizi kimyakimyaNchi za afrika nazo zishaanza kuamuka kutoka usingizini juu ya unyonyaji wa western countries,
Ndo maana nchi za Afrika magharibi zipo kwenye operation kali sana za kufanya revolution ya neo colonization kwa kuwafurusha madarakani mamluki wa Westerners, tena mfaransa ndo kashikwa pabaya sana na wajeda wa nchi hizo, hapumui ashaanza kuwa underdog tu.
Ukija Algeria [emoji1026] hawa huwambii kitu kuhusu urusi na juzi kati wameanza mikakati ya pamoja ya kupambana na ugaidi, na tayari vikosi vya urusi na Algeria vipo standby kwajili ya kuwafurusha vibaraka wa ulaya waliojificha kwa mgongo wa waasi. Hivo basi EU hawawezi kusogeza hata pua Algeria.
Kiufupi, Mataifa mengi ya afrika yamechoshwa na propaganda za mabeberu, Russia ndo wanaiona kama mkombozi wa kupambana na hao watesi wao waliogawana bara la Afrika kama mishikaki ya kimasai pale Berlin ujeruman.
Rais wa zimbambwe tayari ashaanza kujifunza techniques za mrusi namna ya kudeal na vikwazo vya mabeberu, kidogo kidogo tu hao ulaya watajikuta wamekuwa underdog hapa duniani maana tayari tushajua uchumi wao wanapotegemea.
Kama jiwe angekuwepo nahisi angekuwa ashatoa kauli za kibabe sana juu ya ukombozi wa afrika dhidi ya mabeberu na angekuwa ashaongea na putin ili tu kuwakela watu wa magharibi.
Ungesikia akiunguruma kutoka magogoni:
"Waziri wa madini nakuagiza, kuanzia leo kama mtu hana Shilingi ya Tanzania hakuna kumuuzia almasi na tanzanite, sisi ni dona kantiri hatuwezi kupangiwa pesa za kuuzia rasilimali zetu na mabeberu kama vyakwao wanatuuzia kwa dollar basi nawao wanunue vyakwetu wa Tsh." Jiwe the great JPM's voice.
Ndio maana wameagiza za Contena 100 za 40 fit mzigo wa Babycare sasa kazi inaenda kufanyikatunakumbushana wanajeshi wa chechniya wameshamaliza mfungo wa ramadhan.
Warusi ninyi warusi weusi mnamtetea huyo dictatorWe jamaa habari zako za kitapeli sijui unazitoa wapi na unapata faida gani mtu mzima kuwa unaongea mambo ya uongo uongo?
Ukweli MTUPUUUUWatu wa Dunia nzima wanajua kua Ukraine inapigwa vibaya sana licha ya kusaidiwa Silaha na NATO.
Watu wa Dunia nzima wanajua kuwa NATO si lolote si chochote kwa Urusi.
Watu wa Dunia nzima wanajua kua Urusi haiwaogopi NATO na inawadharai sana,Iko tayari kupigana nao lakini NATO haiko tayari kupigana na Urusi.
Ndugu yangu 1954,binadamu Wana akili sana ,kwa asili ni viumbe pekee wadadisi sana.
Hivyo bila kuambiwa na mtu yoyote kwa vita hii,huangalia,husilikiza au kusoma vyombo vya habari vya west Kisha hufanya udadisi kwa kuangalia au kisoma au kusikiliza vyanzo vingine vya habari,na hapo ndipo hujua ukweli na kuwaacha wanaofanya propaganda waendelee na propaganda zao.
Kilichowafanya watu wa Dunia hii kuifuatilia kwa undani vita hii,ni tabia za west walizoonesha.
Kwa mfano watu walishuhudia vita ya USA na Allies wake dhidi ya Iraq mara mbili,USA dhidi ya watalaban na Alqaida huko Afghanistan,NATO na Yugoslavia,Kosovo na serbia na hata Syria.hapa watu wa Dunia hii wanajiuliza kwa Nini west wamehamaki namna hii kwa Ukraine na Urusi?
Mbona vita hizo nilizozitaja walipeleka vikosi vya NATO ama USA na Allies lkn kwa Russia wanaishiabkutoa silaha TU?
Kwa machache hayo ndio Sasa watu wa duniani wameamua kuifuatilia mwenendo wa vita hii kwa vyanzo tofauti tofauti
Mkuu tulisha kubaliana watuweki picha za maiti wa Ukraine sisi tunachinja wao watakuja na ma camera na mifuko ya kuifadhia maiti baadae tutaona CNN na BBCJamani mimi nipo battle field kabisa. Jeshi la Ukraine linapukutika jamani. Si mchezo. Naogopa kuziweka picha hapa.
[emoji779]WARNING 18+
[emoji725] Corpses and burned equipment: Russian troops destroy the Armed Forces of Ukraine on the way to Kramatorsk [emoji725]
Amealikwa na nani Ukraine.Endeleeni kuota
Sasa aondoeje wakat mnayaondoa wenyewe UKRAINE kwaushirikiano na NATO
Mana kila siku munampa hasara PUT IN munawaua majeshi ya RUSSIA munapiga mpaka ndani ya RUSSIA munashambulia misafara yao halaf mnamtakaje aondoke wakati munampiga
Kwakua munampiga ataondoka mwenyewe kaeni kwakutulia
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi, Putin ali- ' under estimate' uwezo wa Ukraine na hakupima athari ya uvamizi wake.1. Putin alikiri kupoteza askari 1500.
2. Alikiri hivyo kipindi alishaonja joto la kyiv.
3. Kama alikuwa na askari 150,000 ukraine, askari 1,500 ni asilimia 1 tu ya kikosi chake. Hapa naomba nieleweke kuwa kadri alivyokuwa anasonga mbele, alikuwa anaongeza wengine ili kulinda alipokamata.
4. kitu gani kikapelekea atoke kyiv na kurudi nyuma? Ofkoz namba za vifo zilikuwa ni kubwa mno ndo maana haraka saaaana akarudi nyuma kuachia kyiv.
Hapo mimi ndo nakubali kuwa ni kweli Russia amefeli pakubwa, hiyo askari 1,500 hakuwa sahihi. Na naamini alisema hivi ili kutovunja moyo askari waliopo vitani pamoja na wananchi wake.
KabisaaaWanaanzisha migogoro af wanakuja wanajifanya wanaleta amani... ilhali wanaiba, na kabla ya kuondoka wanampachika wanaemtaka kukamilisha mambo yao. Waende na huko Ukraine basi [emoji23]
Nyongeza kidogo, Pale Equatorial Guinea ambayo ni nchi ya hovyo sana barani Afrika, Teodoro Obiang anatawala kimabavu mno. Na ndie the second-longest consecutively serving current non-royal national leader in the world baada ya Cameroon's Paul Biya. Piga hesab toka 1979 hadi leo, ni miaka 43 ka sikosei.
Wananchi wa wa EG wana maisha ya hovyo ajab, ila familia ya bwana mkubwa wanafanya anasa kupindukia na wametawanya mali zao kwenye mataifa hayo hasa France na US...
Mwanae ambae hivi sasa ni makamu wake na yasemekana ana mpango wa kumrithisha URAISI huko Instagram anajulikana kama "Insta Play boy"...
EG wana utajiri wa mafuta na ukifatilia ni nani anayechimba hayo mafuta utakuta ni "United State" kupitia ExxonMobil, Marathon Oil, Kosmos Energy na Noble Energy that's why huezi sikia hiyo nchi ikitajwa tajwa hovyo coz teari iko ndani ya Interest za Mmarekani...
Sasa wajiuliza if truly US ni muumini wa democracy wanayoidai kuitetea kwa nguvu zote hapo Equatorial Guinea wanakovuna mafuta kuna nini?
Utarudi pale pale, kwao the real meaning of Democracy ni kutii matakwa and not otherwise...
Nawasilisha kwa jina la United "Shit" of Ameee... Kwa hisani ya No Action Talk Only.
Urusi haipo vitani na Nchi yoyote Mkuu Urusi inafanya Oparation Maalum sio vitaHii vita ni grinding war ( vita usiyo na mshindi ) soma paper mbalimbali zinazoelezea uzoefu na ujuzi we medani. Urusi imekili kupoteza askari 1500 lakini inawezekana kapoteza zaidi ya hawa. Kupoteza battalion moja na nusu kwenye vita ya kisasa huu ni uzembe ndugu zenu russia wamefanya. Tafuta hata open source intelligence angalau ujifunze na kujua kuwa mataifa makubwa pia nawao wanaweza kukosea katika mipango yao. Russia has achieved nothing than creating fear and destruction. Huu ndio ukweli mchungu wewe kama Pro Russia leta evidence hapa kuwa Russia amefanikiwa lipi kwenye uwanja wa medani. Alichofanikiwa Sana russia nikuharibu miundombinu na kuleta woga wa kutumia nuclear. Russia with its superior army ameshindwa kukata supply chain ili vikosi vya ukraine vikose msaada kisha avitwange bila kupoteza askari wengi. Haya ni maoni yangu tu.