Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hawa jamaa wanatangaza total war soon
 
Hizi habari za huu mgogoro hata kina cnn bbc fox and alike washaanza kuzipotezea. Vita sasa inapiganwa tweeter.
Aljazeera walikuwa wanaanza na hii habari lakini kwa sasa wanajiangaisha na habari za kawaida.
Propaganda zimefeli.
Zamani nilikuwa naamini hivi vyombo sana kwenye habari lakini wote wamekuwa kama gazeti la Uhuru tu hawana jipya, kama CNN walianza wakati wa Trump ikawa one side stories na hivi vita ndio kabisa imekuwa propaganda tu hujui lipi la ukweli lipi sio kweli. Ile kauli uhuru wa kuongea hakuna tena akitokea mtu tu aje na mawazo tofauti kuhusu hii vita basi hataachwa salama na media zao wala nchi. Kina Lampard ikabidi wakae kimyaa tu maana hata kumsema vizuri Abrahimović dhambi. Sasa ukirudi kwenye vita yenyewe unajiuliza wanagombania nini? kweli kuijunga na NATO tu ndio mlete majanga haya kupoteza maisha ya watu? nilikuwa nadhani haya mambo yamebaki Africa tu lakini hii vita imeonesha rangi halisi ya hawa watu, wana ubaguzi kupita kiasi misaada yote Ukraine utasema nchi zingine sio watu wakimbizi wa Ukraine mpaka USA free kuingia tu nchi zote waingie tu hakuna issue process haraka sasa itokee Africa au nchi zingine kama M.east basi wataishia kukaa kwenye mahema border tu. Wazungu ni wabaguzi kupitiliza na hii vita tumejifunza sana rangi halisi ya hawa watu.
 

Ndo ujue west ni takataka toka lini siasa na mpira??. Ndomana tunataka multipolar system sio boya flan anajiamulia anachotaka
 

Ni aibu sana kwa nchi kama US, UK, Germany, France, Italy, Japan nk nk kusumbuliwa na taifa moja ambalo ni maskini halina chakula cha wanajeshi wake.

Ok, dunia sahv imejua kumbe Europe ni tegemezi Russia ndo anawapa maisha. Hapa unajifunza kitu ishi na adui yako kwa akili ila mpende tunaona Russia anauza nishati zake kwa adui zake lakini kwa akili. Hajatumia nishati zake kuwachapia EU ila kawapa sharti la kulipa kwa Ruble.

RUSSIA ni taifa kubwa sio kama tunavoaminishwa, hizo nchi kubwa zinamshindwa Russia?? haimake sense ndugu zangu hivi kweli US wa kuhaha dhidi ya Russia?? Mbona nchi zingine anamaliza chapchap?? Why Russia?? [emoji3][emoji3]

Hivi mliona Guterres wakati anaongea na Putin alivokua anatetemeka??? mmeona afya ya biden inavyotetereka?? Mnamwona Borris yupo sawa???

Acha tuendelee kuamini Russia ni ka nchi kapo ulaya kaskazini hakana mbele wala nyuma.
 







❗️Vladimir Putin signed a decree on retaliatory measures "in connection with the unfriendly actions of certain foreign states and international organizations."

The government was instructed to determine, within 10 days, a list of persons who fell under the retaliatory sanctions of the Russian Federation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…