Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
⚡⚡Do you remember, there was such a dollar?
Today, its rate has fallen below 67 rubles.
Ni aibu sana kwa nchi kama US, UK, Germany, France, Italy, Japan nk nk kusumbuliwa na taifa moja ambalo ni maskini halina chakula cha wanajeshi wake.
Ok, dunia sahv imejua kumbe Europe ni tegemezi Russia ndo anawapa maisha. Hapa unajifunza kitu ishi na adui yako kwa akili ila mpende tunaona Russia anauza nishati zake kwa adui zake lakini kwa akili. Hajatumia nishati zake kuwachapia EU ila kawapa sharti la kulipa kwa Ruble.
RUSSIA ni taifa kubwa sio kama tunavoaminishwa, hizo nchi kubwa zinamshindwa Russia?? haimake sense ndugu zangu hivi kweli US wa kuhaha dhidi ya Russia?? Mbona nchi zingine anamaliza chapchap?? Why Russia?? [emoji3][emoji3]
Hivi mliona Guterres wakati anaongea na Putin alivokua anatetemeka??? mmeona afya ya biden inavyotetereka?? Mnamwona Borris yupo sawa???
Acha tuendelee kuamini Russia ni ka nchi kapo ulaya kaskazini hakana mbele wala nyuma.
Communist Propaganda spottedOne of the largest German banking groups DZ Bank Group has resumed operations with Russian banks.
According to the newspaper Handelsblatt, one of the members of the board announced this. The group includes more than 800 local banks.
Ganea Group suspended payment transactions with Russian banks after the start of Russia's special operation in Ukraine.
“However, for about seven weeks now we have been accepting payments from Russia again, but on the condition that companies or persons under sanctions do not participate in them,” the source said.
Tushawazoea kenya wazee wa kupiga magoti ndomana tunapata majina ya ajabu kama coco foolish
The Agreement between NATO and USSR does not apply today since USSR is extinct. At that time USSR included countries like Latvia and Lithuania who are members of NATO today. Do not justify evil actions by using wrong information.
Huu mwaka lazima Urussi pia nayo iingie NATO.
Akikujibu nitagThe Agreement between NATO and USSR does not apply today since USSR is extinct. At that time USSR included countries like Latvia and Lithuania who are members of NATO today. Do not justify evil actions by using wrong information.
Agreement ya 1990 ilikuwa btn Russia and NATO ilikwamba USSR iweze kuvunjika. Ndio maana baada ya makubakiano hayo USSR ikavunjika. Soma vitu. Nitakuletea documentsThe Agreement between NATO and USSR does not apply today since USSR is extinct. At that time USSR included countries like Latvia and Lithuania who are members of NATO today. Do not justify evil actions by using wrong information.
ujinga wa hali ya juuAlipoanza special operation pale Ukraine, west walikuja na measures ambazo walidhani zilikua kali sana kiasi ambacho Russia angeomba poo. Walimbana na vikwazo zaidi ya 5000, na ikumbukwe hata North Korea hajawahi kuwekewa vikwazo vya namna ile. Waliandika kwenye majarida yao, pia walitangaza kwenye media zao kua, Russia atarudi nyuma miaka 100.
Vikwazo vilishindwa kufanya kazi badala yake vikaanza kuwasumbua wao waliowekewa, na Russia akakazia uzi hapo hapo kwa kulazimisha manunuzi ya ges kwa rubles.
West hawakukubali kushindwa, this time around wakaanza kupeleka silaha, mercenaries na msaada wa intelligence pale Ukraine, matokeo yake wote tumeyaona sitaki kurudia.
Baada ya kuona Ukraine anapoteza majimbo, mercenaries wanakamatwa, vikwazo havifanyi kazi, sasa wanataka vita iishe... yaani Russia arudi nyumbani. Kwanza wanemtuma katibu mkuu wa UN, kashindwa. Sasa wanapanga kumtuma Papa wa kanisa katoliki.
Mwanzo, papa na UN walichunia mgogoro wakidhani Russia atapigwa, wamechungulia na kuona mbali, sasa wanabadili mbinu. Waswahili wanasema "usiku wa deni haukawii".
Mpaka sasa naweza kusema operation imetimiza asilimia 85, mji kama mariupol umeshapiga kura kujiunga na nchi za luhansk na Donetsk ambazo kwa sasa ni nchi huru. Sijui ni lini taasisi mfu ya UN itawapitisha, lakini so far ni nchi huru. Sasa chukua mariupol donbase plus cremea na odesa utakuja kuona karibu nusu ya ukraiane imegawanyika
Mpaka sasa Ukraine imepoteza udhibiti wa bandari, hivyo ni landlocked country kama Zambia. Hawataweza kusafirisha ngano wala kupokea mizigo kupitia bandari. Watalazimika kulipa kodi kwa nchi ya luhansk & Donetsk. Sasa Zelensky sijui atamlaumu nani? Kweli unga sio mzuri.
Aya sasa tuje kwa wahisani... hapa natamani kucheka na kulia kwa wakati mmoja. Kwa data za wiki iliyopita, urusi alikua anaongeza mauzo ya gesi maradufu barani ulaya. Yaani waliomuwekea vikwazo wananunua sana gesi kuliko ilivyokua kawaida, je ni unafiki? Hapana, ni ujinga bangi uchwara za Zelensky.
Kwa sasa nchi ya urusi itakua busy na jinsi ya ku deal na Sweden na Finland juu ya kujiunga Nato, nna uhakika watakuja na jibu ambalo litakua kitendawili kizito kwa ulaya. Tusiwe watabiri sana ngoja tuone.
Namalizia kwa kujiuliza ikiwa Nato wote wanasumbuliwa na Russia, itakuaje China, Russia , North Korea na iran wakitengeneza NATO yao?
The irreplaceable
Hii hoja ukiisoma kwa haraka ni kama ina nguvu.The Agreement between NATO and USSR does not apply today since USSR is extinct. At that time USSR included countries like Latvia and Lithuania who are members of NATO today. Do not justify evil actions by using wrong information.
Daaaaah!!!Inasemekana kutokana na matatizo hayo ya kiafya, shoigu alimuintroduce kwa mganga wa kienyeji ambaye huwa anamtibu kwa kumuosha kwa damu ya mnyama anaitwa "antler", japo tiba hii inasemekana kukubalika sana huko rusia.
mahusiano ya huyu shoigu na putin yawezekana (kwa mtazamo wangu) yakawa yanakaribia kufanana na yale ya bashite na mwendazake, huyu shoigu anaakili za kienyeji sana, vifalu vya urusi vilivyoshindwa kuiteka kiev inasemekana vilikuwa vimezungushiwa ma -mbao kama kinga dhidi ya mizinga, yaani style fulani hivi kama ya majimaji war. matokeo yake wote tunayajua.
Unafananisha 2000_ na 2008 man? Mi mwenyewe uso wangu umebadilika Sana mwaka 2000 nilikua na 30 leo nna 50+. Na Bado nabadilika.Putin inaaminika alifanya botox au njia kama hiyo hasa plastic surgery usoni kubadili muonekano. Tafuta picha alizopiga miaka ya 2000 mwanzoni akiwa Rais na lifestyle nzuri tu linganisha na picha za baada ya 2008 anaonekana tofauti badala uso uzeeke uliongezeka ujana. Hiyo operation haina uhusiano na maradhi, kusemekana ana Parkinson's au colon cancer hakuhusiani nayo.
Afya yake nilianza kuishangaa binafsi mwaka mpya wa 2021. Always huwa natazama speech zake za mwaka mpya na baadhi ya hotuba muhimu
We mzee endelea tu na siasa za chadema na ccm, huku kwingine unatupiga sana bwana.[emoji23] karibu tule maembe basi