Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Umezungumza kwa uchungu sana Mzee wangu... I can feel you [emoji25]...

Ila bahati mbaya ukweli wa namna hii most katika sie hatutaki kuusikia wala kuujua...
 
Aisee kichuguu nilidhani najadiliana na mtu makini na knowledgeable kumbe najadiliana na sworn propagandist!!!
 
Bado hujaleta facts za kujitosheleza kupinga alichokileta,naona hapa unatoa hisia zako zaidi.Tunasubiri facts sasa ili tupime hoja za pande mbili.
 
Urusi kwa sasa malengo yake yamehamia huko Ukraine mashariki (Putin alibadili gia angani), ila hata huko akikaa vibaya ataangukia pua.
dudus Frank Wanjiru
Mwamaleki
Bwana Utam
Paula Paul
wa kupuliza
T14 Armata
STRUGGLE MAN
lee van cliff
Mwanzoni tulikuwa tunapima Op kwa objective za demilitarization, de-nazify na suala zima la Ukraine kuwa neutral, yaani asiegemee NATO .

Sasa hizi objective zimebadilika? Kama hapana yupo % ngapi kuzitimiza? Kama zimebadilika objective zake mpya ni zipi?

Kama objective hazijulikani hata akisitisha vita sasa hivi akasema tumefanikiwa hatutaweza kukubali au kupinga maana hatuna kipimio yaani objectives.

Sasa kila nikisoma hoja humu nipate majibu naona yale mambo ya wale mabwana wenye jambo lao ndo yamejaa sioni hoja zinazopelekea kutoa majibu.
 

Katika taarifa ya MOD ya Urusi juu ya op hii,Mimi furaha yangu hua hapa TU.

KRASNY LIMAN, KRAMATORSK and KAMYSHEVAKHA, four radar stations for detecting air targets, six warehouses of ammunition and missile and artillery weapons, as well as a US-made counter-battery radar station were destroyed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…