Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii article nimeisoma Leo asubuhi Twitter nimeshangaa namna Putin anavyopata upinzani kutoka ndani ya serikali yake hasa usalama WA taifa.
Niwaambie Tu watu wasiojua Mambo ya kimataifa kuwa wakati huu westerners wameungana Sana kupeleleza Russia anafanyaje pia zinatumika kila mbinu ili kidhoofisha nguvu zake kwasababu muda huu ambao Russia yupo vitani ndiyo muda muafaka WA kuibomoa nchi.

kuna watu wanasema may 9 atatangaza vita kamili bila kujua kuwa waliopo field hawana molari ya kupigana..

alafu ukiona raisi anaanza kugombana na watu wake hapo usitegemee ushindi zaidi ya sabotage tu
 
Please watch this👇.Si kwamba Wazungu wote ni wajinga,not at all.Wengine wana akili zao,na wanajua wanayofanya viongozi wao sio sahihi na ni hatari kwa mustakabali mzima wa maisha yao,na kwamba hatimaye yatawaingiza kwenye matatizo makubwa.Very courageous and impressive indeed.This occured right inside the European Parliament.

 

Good news, EU muungano wao ni wa kihuni sana ukiona humo ndani hawakubaliani ni habar nzuri sana kwa Russia.
 
Wakati unakaza fuvu kuleta ndoto za kufikirika Russia anakusanya mapato makubwa ya mafuta na gas toka Nchi za Ulaya hasa Germany. Ungeelekeza nguvu zako kutathimini namna ya kuikomboa familia kutoka kwenye dimbwi la umaskini na kuongeza kipato chako.
Mkuu uko nje ya mada,ukiachana na mafuta na gas,unazungumziaje jamaa yenu kukataliwa na watu wake muhimu?
 
Ndo uwe unaelewa sasa ukiambiwa Urusi siyo Lesotho.

Kujaribu kuikomoa Urusi ni kujaribu kuikomoa Dunia nzima, na hapo bado mrusi anawaonea huruma kwa kuendelea kuwapa mafuta na gesi yake, Je akiamua kufunga koki zake zote, si mtarudi maisha yenu miaka 40 nyuma kutembea kwa baiskeli Dar to Arusha.
 
🇬🇧🇺🇦 Briefing of the Russian Ministry of Defense (04.05.2022)

◽️The Armed Forces of the Russian Federation continue a special military operation in Ukraine.

💥 High-precision long-range air and sea-based weapons destroyed six traction electrical substations in the areas of the railway stations of Podbortsy, Lviv, Volonets, Timkovo and Pyatikhatka, through which the Ukrainian group of troops in the Donbas was supplied with weapons and ammunition made in the United States and European countries.

💥 High-precision air-based missiles of the Russian Aerospace Forces destroyed: the launcher of the Tochka-U tactical missile system in the Novaya Dmitrovka area, in the areas of the settlements of Sanzheika, Krysino and Volnyansk, three locators for illumination and guidance of the S-300 air defense system, as well as in the Novoaleksandrovka area, an ammunition depot and nine areas of concentration of manpower and military equipment.
💥 During the night, operational-tactical and army aviation of the Russian Aerospace Forces hit: forty military facilities of Ukraine. Among them: a pontoon crossing near the village of Protopopovka, four warehouses of ammunition and rocket and artillery weapons, as well as 34 areas of concentration of manpower and Ukrainian military equipment.

💥 The missile forces hit two command posts of the Armed Forces of Ukraine, a battery of multiple launch rocket systems BM-21 Grad, a battery of self-propelled artillery mounts 2S1 Gvozdika, a battery of D-30 howitzers, as well as four areas of concentration of manpower and military equipment.

💥 Artillery units hit 16 command posts, two depots of fuel and lubricants, as well as 476 strongholds of nationalist units, areas of concentration of manpower and military equipment. Up to 310 personnel and 53 units of military equipment were destroyed.
💥 Russian air defense systems destroyed nine Ukrainian unmanned aerial vehicles in the areas of the settlements of Izyum, Topolnoye, Malaya Kamyshevakha, Russian Tishki, Brazhkovka, Kharkiv region, Zeleny Gay, Nikolaev region, and Novokrasnyanka, Lugansk People's Republic, including an unmanned aerial vehicle in the area of Aleksandrovka, Kharkiv region "Bayraktar-TB2". In addition, four rockets of the Smerch multiple launch rocket system were shot down in the air near the settlement of Velikaya Kamyshevakha.

📊 In total, since the beginning of the special military operation, the following have been destroyed: 146 aircraft, 112 helicopters, 706 unmanned aerial vehicles, 287 anti-aircraft missile systems, 2807 tanks and other armored combat vehicles, 321 installations of multiple launch rocket systems, 1279 field artillery guns and mortars, as well as 2609 units of special military vehicles.

#Ministry of Defense #Russia #Ukraine @mod_russia
 

Yule faller alokua anang’ang’ania yuko wapi?
 
Hii inaweza kuifanya JF yetu kushitakiwa kimataifa...Google tayari wana kesi ya Aina hi kwa kuweka contents za Aina hii...
Kosa liko wapi hapo kwa mzee wa denazification ? 😂😂
 
Urusi siyo mzalishaji pekee wa gesi na mafuta. Mchafuko wa bei mpito kutokana na uvamizi/vita yva kipuuzi. Hadi mwakani dunia ya waastarabu itakuza vyanzo mbadala yva gesi na mafuta hivyo kutotegemea Urusi ambaye haminiki tena kibiashara.
 
Myahudi shoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…