Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Rumours are swirling in Moscow that former generals / KGB officials are preparing to oust Russia’s president Vladimir Putin to end the war in Ukraine, which is increasingly seen across Russia as a strategic mistake / an economic disaster.
 
Urusi siyo mzalishaji pekee wa gesi na mafuta. Mchafuko wa bei mpito kutokana na uvamizi/vita yva kipuuzi. Hadi mwakani dunia ya waastarabu itakuza vyanzo mbadala yva gesi na mafuta hivyo kutotegemea Urusi ambaye haminiki tena kibiashara.
You are a simple mind indeed.Kwanza hizo alternative sources hazitatosha,halafu it will be very expensive kwa Wazungu wengi kumudu.

And than watch this👇,unataka kuniambia hawa Wazungu wanaokoromea viongozi wao,tena ndani ya Bunge la Ulaya ni wajinga wewe ndiye mjuaji?Jitafakari.


 
Yaani nimeshangaa watu wanavyomshabikia Putin na Zelensky huku kumbe nyasi zinaumia.Wenzenu wana mpaka mabasi ,treni ,magari ya umeme.Sisi huku tunaona Putin mwanaume sasa nenda petrol station na suruali yako bado bidhaa nyingine duu tutanyooka tu

Taratibu mmeanza kukiri Russia sio Zimbabwe. Russia ni Superpower tumeshuhudia vita nyingi hazijawai leta impact kama hii tunayoona kwenye uchumi duniani kutetereka

Vita ikipigwa mwaka si petrol itakua 10k?
 
Atawachinja hao waliomgeuka...
 
Putin au Zelensky mmoja wao akifika November yuko madarakani kwa kweli dunia itakuwa haitendi haki.Naona Putin mpaka Nov mwaka huu out. Mimi naangalia kwa mapana lazima wamwondoe maana analeta simtofahamu duniani na anachotaka akieleweki
 
Yaani nimeshangaa watu wanavyomshabikia Putin na Zelensky huku kumbe nyasi zinaumia.Wenzenu wana mpaka mabasi ,treni ,magari ya umeme.Sisi huku tunaona Putin mwanaume sasa nenda petrol station na suruali yako bado bidhaa nyingine duu tutanyooka tu
Unataka tubaki kushabikia timu za mpira tu!
 
Putin haungwi mkono na nchi yake , nimeshangaa sana Putin kushindwa kulijua hili mapema

Putin ana tatizo la Dementia maanake siyo mzima, pia ana ugonjwa wa satatani(cancer) ya tumbo, tatu ni ‘LUNATIC’ yaani kila mwezi uandamanapo anakuwa na ukichaa wa aina yake! Just imagine, kiongozi wa super power anawezaje kuvamia nchi huru popote pale dunia na kufanya ni sehemu ya nchi yake?!
 
Putin au Zelensky mmoja wao akifika November yuko madarakani kwa kweli dunia itakuwa haitendi haki.Naona Putin mpaka Nov mwaka huu out. Mimi naangalia kwa mapana lazima wamwondoe maana analeta simtofahamu duniani na anachotaka akieleweki

Hao NATO wanaogopa nini kwenda mtoa?? Dada unafikiri Russia ni Libya?? Usione NATO wanaufyata kwa Russia wanajua mziki wake, Putin sio gadaffi.
 
Zelensky ni muimba taarabu, hivyo ni hob yake ndio maana na western wanamtumia kama Manala vile wakati Putin ni commando, refer picha la Arnold schwatzniger la Predator.
Hapa kazi tu.
 
Rumours are swirling in Moscow that former generals / KGB officials are preparing to oust Russia’s president Vladimir Putin to end the war in Ukraine, which is increasingly seen across Russia as a strategic mistake / an economic disaster.
Hahaha 😂😂
 

Jamiiforums Great thinker from this Post
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…