Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Mkuu nimekueleza kuwa Putin amelitolea ufafanuzi mzuri hilo swala,ambapo kuna sababu nyingi ikiwemo za kihistoria.Kwani we we ujiulizi kwa nini Miaka na Miaka USA+NATO wanataka ukaribu zaidi na Ukraine na sio Nchi nyingine yoyote iliyopo karibu na Urusi-sababu hizo ndio hizo hizo zinazoifanya Urusi nayo ipinge kwa nguvu zote.Sawa mm kichwa boga.
Ila swali ni hili naomba nijibu.
Suala la uhusiano wa nchi na nchi ni kwanini ni sawa China kuwa na ukaribu na Russia kujilinda na NATO ila si sawa kwa Ukraine kuwa na ukaribu na USA kujilinda na Russia? Usiseme mambo ya ukaribu wa mipaka.
Zile ni nchi mbili tofauti kila nchi inalinda mipaka yake na kuheshimu mipaka ya mwingine.
Mbona unajistukia, kwani wewe ndiye Victor Njogu au Abdirahim Hange? Ambao wamesema Putin aendelee kufanya anachofanya Ukraine kwa sababu wa Ukraine wamezuiz waafrika wasitoke nchini humo?Duu!!! ni stress au ndio ule unyani aliousema mtikila..
Huo uraia wangu umeujulia wapi?
Ni sawa Na mko mtu mbili mnarushiana makonde mara ghafra unamtandika upper cut moja unamuona anaanza kaokota mawe hahahaha.Anayekimbilia nyuklia ndio kachakazwa bwashee!
Intel hawana maana ingewasaidia kuimaliza Ukraine bila risasi.We unaongea nini kuna nchi yenye technologia na inteligencia kama Russia?
Marekani na washirika wake hawakuwa sahihi kwenye suala la CUBA. Walitumia ubabe.Wakati ule Urusi (USSR) yailiyokuwa SOVIET ilipopeleka Mabomu ya kinyuklia kule CUBA kwa Fidel Castro, Marekani ikapeleka manowari, za kivita na nyambizi kutishia kuivamia CUBA kijeshi kama Urusi (SOVIET) haitatoa mabomu yake ya kiatomic pale Cuba kwani Cuba haikuwa nchi huru "sovereignty" kama Ukraine?!
Wakati Marekani na vibarake wake wanaivamia Iraq tena bila idhini ya umoja wa mataifa , kwa kuidanganya dunia kuwa Saddam Hussein anamiliki silaha za maangamizi ya halaiki, kwani Iraq haikuwa nchi huru "sovereignty"?!
Vipi kuhusu marekani na washirika wake kuivamia Libya na Syria?! Kwani hazikuwa nchi huru?! Nani aliwawekea vikwazo vya kiuchumi?!
Usiwe bias...!!
Kwasisi tusio fungamana na upande wowote, tunapenda kukwambia kua. Baada ya mazungumzo ya hao waheshimiwa wawili/wajumbe wao. Wasipo afikiana ni Ww3 ndicho kitu kinafuata. Maana ndio Vita rasmi itaanza Sasa.Si ilipigwa mkwara juzi na Russia,nadhani hii ni wake up kwa Sweden,Finland na Nordic countries zingine wakiwemo akina Kazakhstan,hazitakubali kupangiwa maisha tena na Russia.
Hii ni technical error Russia imefanya.
Urusi ikitumia mbinu za kushambulia [ovyo] maeneo yoyote ambayo itaona yana msaada kwa majeshi ya Ukraine na nchi ya Ukraine kwa ujumla mfano, scorched earth policy, itaharibu kabisa mikakati yao yote iliyojiwekea hasa ya kisiasa hapo baadaye kuhusu Ukraine. Tangu mwanzo, Urusi imeonesha mpango wa kutaka kuung'oa utawala uliopo madarakani kwa njia ya kulisalimisha jeshi.Lakini mm mkuu naona hatua ya Ujerumani kupeleka silaha Ukraine ni mbaya maana ninahofia wenda Urusi ika lazimika kuanza kutumia nguvu kubwa sana kitu ambacho kitasababisha maafa makubwa kwa Ukraine ikageuka Siyria ya Ulaya.
Maana nikikumbuka yale mashambulizi ya anga yaliyo fanywa na Urusi kule Allepo na pata hofu.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Rubbish 🚮🚮Kwasisi tusio fungamana na upande wowote, tunapenda kukwambia kua. Baada ya mazungumzo ya hao waheshimiwa wawili/wajumbe wao. Wasipo afikiana ni Ww3 ndicho kitu kinafuata. Maana ndio Vita rasmi itaanza Sasa.
NATO kusogeza vifaa, Russia kuvipiga alafu wanaingia na styre ya dog it another 🐕. North Korea anatuma wanajeshi 300,000 huku wengine laki 4 wakisogea mpakani na south. Ila south Korea anamuwahi mchinaamsihi kiduku wao hawafungamani na upande wowote. Kisha Iran inaanza kuzitarget base za NATO middle east. Israel anajiweka 100%military readiness. Hizbullah,Hamas nao wanakaa mguu nje mguu ndani Saudia anakataa kujiunga na Vita pamoja na Sunn country. Ila Egypt inaanza kumlia timing Uturuki Algeria inapewa jukumu la kuingia ulaya kutokea Mediterania akiwa na Tunisia na wanamgambo toka Libya, Mali, west Sahara na nchi za west africa wanaingia morroco mudahuo urusi yupo Berlin.
Finland, Switzerland,luxenburg,wao hawafungamani na yeyote hivyo watabakia Kama Tanzania tu. Wakati marekani inaamua kwenda kuisaidia ulaya China inaivamia Japan ikisaidiana na urusi na North korea. Marekani inakaribia kutia nanga inapewa Habari Saudia,Use,Qatar,Iraq, Afghanistan, Kuwait, Yemen, Lebanon na india, Jordan, Egypt, na Uturuki zimeigeuka na wanaipiga Israel kutokea kote kote, Israel inaona ngoja nife nao inaipiga mecca,tehlan na Cairo atomic bomb. Wakati huo huo manuali za North korea,China na Russia zinaichakaza america. Ndipo hapo unapitishwa uamuzi wa mwisho wa dunia awamu ya kwanza kwa kubofya vitufe vyekundu
Basi mchezo unaishia hapo dunia ikiwa imebaki na Super Powe south africa, Nigeria Tanzania alafu mpinzani Brazil.
Haya wakati yanatokea akina Thailand, south Korea na Australia mungu yupo pata jivujivu.
Boss ni sawa. Issue yangu ni kwamba katika mataifa mawili yenye nguvu mataifa madogo yanachagua kuwa na ushirika na mwenye nguvu zaidi. Russia hawezi kuweka vikwazo kwa NATO na USA wakifanya uvamizi. Kwanini Ukraine awe na ushirika na nchi isiyo na ushawishi iache nchi ambayo ikitaka kumchapa hakuna wa kuiwekea vikwazo?Pengine labda ukifahamu wanchofanya Moscow ni nini!
Kipindi ambacho USSR walipoweka base ya kijeshi Cuba na kuweka makombora ya nyuklia USA ilihangaika sana kwa sababu USSR ni hasimu wao hivyo ni mazingira hatari kwa usalama wa nchi. Walitumia njia tofauti tofauti kukabiliana na hilo. Waliwawekea vikwazo Cuba. Walianzisha vita kwa kuwafadhili wana Cuba wengine ili kufanya jaribio la mapinduzi ambalo lilifeli.
Na haya ndiyo mazingira yale yale kwa Urusi. NATO ni hasimu wake. Ukraine ni nchi huru. Ila uhuru wa kuhatarisha usalama wa jirani yako huo uhuru inabidi uangaliwe. Ikiwa Ukraine akijiunga na NATO ni hatari kwa Usalama wa Urusi. Ukraine alikuwa na mabomu ya nyuklia. Vipi akirudi kwenye mpango wa kuyazalisha ukijumlisha akiwa kwenye umoja wa NATO itakuwa ni hatari zaidi kwa usalama wa Urusi.
Serikali ya Ukraine imekataa makubaliano na Moscow ya kuwa wawe neutral. Njia ambayo Moscow inaiona itailinda nchi yake ni kuiondoa serikli ya Ukraine na kufanya hivi itakuwa ni tishio kwa Ukraine na kumfanya abadili sera yake.
Hivyo unavyosema ni vita ya Putin kwa manufaa ya kijeshi kuna angle haujaiangalia vizuri. Putin na wakubwa wengine wa Urusi wanalinda maslahi ya usalama wa muda mrefu wa Taifa lao. Ukraine ipo vizuri kijeshi lakini imezidiwa na Urusi. Njia pekee ambayo ni salama kwa Ukraine ni kufanya mazungumzo na Urusi na wakubaliane ili amani irudi tena Ukraine. Rais wao anataka aonekane shujaa lakini hili litamgharimu kwa sababu hatumii akili.
Na usihofia kuhusumaandamano nchini Urusi. Sehemu ya raia wanaoandamana ni ndogo tofauti na wanaokubaliana na maamuzi ya serikali. Ila yote juu ya yote vita si jambo zuri.
Ndo maana Kuna watu wanamlaumu Sana nyerere kwenye Ile Vita ya kagera,jasiri huwa anatakiwa kutumia akili. hakuna faida yeyote kusifiwa kuwa ni jasiri wakati hautumii akili. na unasababisha collateral damage to your own country ambayo umeijenga kwa muda mrefu. hebu jaribu kufikiria mfano Tz tulivyoijenga kwa miaka mingi kwa kodi zetu hivi, halafu anatokea rais mmoja anataka kututia kwenye hasara ambayo ingeepukika ili asifiwe kwamba aliipigania nchi, ikisambaratishwa tuanze tena kuijenga upya. hiyo akili au matope? tena kwa maslahi ya wamagharibi sio ya watu wako.
Usalama wa nchi jirani isiyo na ushawishi kwa majirani zake una maana gani? Russia nae anatakiwa ajiunge tu NATO. Hana ushawishi zaidi ya kuwa na hayo mabomu ya nuclear anayotishia tishia nayo. Leo USA akiamua kuivamia nchi ndogo humuoni akitoka akasema nazima SWiFT ila ona yeye anavyotandikwa vikwazo. Sasa ana tofauti gani na Zimbabwe alivyolimwa vikwazo? Amwache Ukraine akawe na ushirika anapotaka.Ikiwa kama uhuru huo ni wa kuhatarisha usalama wa taifa la jirani yako basi uhuru huo uangaliwe.
kahawa hii sasa,tuletee na kashata kabisaUnataka Russia aanze kuua raia!? Tayari rais ya Ukraine ameanza kufuata maelekezo ya Russia. Sasa hivi lazima aende Belarus. Na sharti alilopewa namba moja ni askari wake wajisalimishe.
Hakuna mjadala hapo. Kama hataki basi Russia atatoa mkong'oto wa kweli.
😀😀😀😀Ukianza nao taratibu hawaji tena,maana wanajua fika unakotaka kumpeleka hawezi chomoka,hawa ndiyo pro Russia sasa,wakati mwingine unaamua kwenda nao kwa style yao ya story za vijiweni tu
Kahawa ya baridi sana hii MkuuRussia lengo lake ni kumfanya Ukraine asiingie NATO. Na wengine walioingia kinyume na makubaliano, siku zao zinahesabika.
NATO sasa hivi hawama pesa za kujiendesha.
Ukraine kwanini hawatakaki ukaribu na Urusi wanawachagua NATO+USA?Mkuu nimekueleza kuwa Putin amelitolea ufafanuzi mzuri hilo swala,ambapo kuna sababu nyingi ikiwemo za kihistoria.Kwani we we ujiulizi kwa nini Miaka na Miaka USA+NATO wanataka ukaribu zaidi na Ukraine na sio Nchi nyingine yoyote iliyopo karibu na Urusi-sababu hizo ndio hizo hizo zinazoifanya Urusi nayo ipinge kwa nguvu zote.
ghahawa ya wapi hii uliokunywa maaalim 😂😂😂😂Kwasisi tusio fungamana na upande wowote, tunapenda kukwambia kua. Baada ya mazungumzo ya hao waheshimiwa wawili/wajumbe wao. Wasipo afikiana ni Ww3 ndicho kitu kinafuata. Maana ndio Vita rasmi itaanza Sasa.
NATO kusogeza vifaa, Russia kuvipiga alafu wanaingia na styre ya dog it another 🐕. North Korea anatuma wanajeshi 300,000 huku wengine laki 4 wakisogea mpakani na south. Ila south Korea anamuwahi mchinaamsihi kiduku wao hawafungamani na upande wowote. Kisha Iran inaanza kuzitarget base za NATO middle east. Israel anajiweka 100%military readiness. Hizbullah,Hamas nao wanakaa mguu nje mguu ndani Saudia anakataa kujiunga na Vita pamoja na Sunn country. Ila Egypt inaanza kumlia timing Uturuki Algeria inapewa jukumu la kuingia ulaya kutokea Mediterania akiwa na Tunisia na wanamgambo toka Libya, Mali, west Sahara na nchi za west africa wanaingia morroco mudahuo urusi yupo Berlin.
Finland, Switzerland,luxenburg,wao hawafungamani na yeyote hivyo watabakia Kama Tanzania tu. Wakati marekani inaamua kwenda kuisaidia ulaya China inaivamia Japan ikisaidiana na urusi na North korea. Marekani inakaribia kutia nanga inapewa Habari Saudia,Use,Qatar,Iraq, Afghanistan, Kuwait, Yemen, Lebanon na india, Jordan, Egypt, na Uturuki zimeigeuka na wanaipiga Israel kutokea kote kote, Israel inaona ngoja nife nao inaipiga mecca,tehlan na Cairo atomic bomb. Wakati huo huo manuali za North korea,China na Russia zinaichakaza america. Ndipo hapo unapitishwa uamuzi wa mwisho wa dunia awamu ya kwanza kwa kubofya vitufe vyekundu
Basi mchezo unaishia hapo dunia ikiwa imebaki na Super Powe south africa, Nigeria Tanzania alafu mpinzani Brazil.
Haya wakati yanatokea akina Thailand, south Korea na Australia mungu yupo pata jivujivu.