Duu hzi siraha wanazozipeleka hawa jamaa Ni Kama vile hazina msaada kwao Zaid anawapa warusi tu kwa mgongo wa ukrain,ukute nyuma ys panzia Zelensky anawasiliana tu na putin kila mzigo mpya ukiiingiaView attachment 2211880View attachment 2211881View attachment 2211882View attachment 2211883
[emoji845] [emoji635] The special forces of the "O" with numerous trophies obtained in battle in the Limansky direction
[emoji471]NEW TROPHIES[emoji471]
Charity from the WEST for DPR and LPR.
DPR and LPR are thankful to NATO and the West for supporting their war effort and liberation of Donbass[emoji120][emoji120][emoji120]
Super power anaogopa NATO.Ukraine siku ya 74 plus bado anacheza makida tu ndani ya Ukraine. Putin akafie huku super power siku au wiki tu angekuwa aneshachukua Ukraine kumbe na yeye mbuzi tuMafuta yamefika 3.2K point something, ndugu zangu Russia ni super power wa dunia ukimtoa USA na China, acheni kudanganywa na media za maghribi, Kwa hii hali utakuwa mjinga kama vyanzo vya habari toka USA na EU vitakuaminisha Russia ni taifa masikini. Wenye macho mmeona, wenye masikio mmesikia.
Yule kanali mstaafu wa jeshi la US(McGregor) amesema hizo silaha Russia atayapa Yale magenge ya wauza madawa ya kulevya Kule Mexico then Marekani Cha Moto atakiona.Duu hzi siraha wanazozipeleka hawa jamaa Ni Kama vile hazina msaada kwao Zaid anawapa warusi tu kwa mgongo wa ukrain,ukute nyuma ys panzia Zelensky anawasiliana tu na putin kila mzigo mpya ukiiingia
hata marekani ilivyovamia iraq libya yemeni afaghanistani sirya huko kote haikuungwa mkono na wananchi wake, kwahiyo siweze kushangaa kwa urusi piaPutin haungwi mkono na nchi yake , nimeshangaa sana Putin kushindwa kulijua hili mapema
mpka sasa nato ndiyo wamedharirikaNi swala la muda tu,binafsi kipindi kile nimeona Russia wamesogea karibu na Kyiv nikajua Ukraine ndiyo basi tena,nilipokuja kuona wamekimbia wenyewe tena ndiyo niliamini hapa hii Vita kuna mtu mzima anakwenda kudharirika.
Ndugu naomba tuishie hapa,isije kuwa una makasiriko yako unatafuta pa kuyatolea, unakoelekea sasa ni kama unataka kunizoea.Ukweli siku zote huuma sidhani kama huyo mtu wakiroho uliemweka dp.alifurahia Vita ? Jichunge Sana na huo ukatoliki wako usije ukawa mshenga wa shetani .#ACHA KUFURAHIA UMWAGAJI WA DAMU MUNGU HAPENDI NA KANISA KATOLIKI LA ROMA HALIFUNDISHI HIVYOView attachment 2211875
Sawampka sasa nato ndiyo wamedharirika
Lula da Silva ndiyo authority ya busaraZelensky wanted a war with Russia, otherwise he would have negotiated, said the ex-president of Brazil and a candidate in the new elections, Lula da Silva.
According to him, Zelensky is like "part of the performance."
"He's on TV morning, afternoon and night. He's in the British Parliament, in the German Parliament, in the French Parliament, in the Italian Parliament, like he's on a political campaign. He should be at the negotiating table."
Japo inachekesha ila ni ukweli mchungu. Zelensky is a psychopathZelensky wanted a war with Russia, otherwise he would have negotiated, said the ex-president of Brazil and a candidate in the new elections, Lula da Silva.
According to him, Zelensky is like "part of the performance."
"He's on TV morning, afternoon and night. He's in the British Parliament, in the German Parliament, in the French Parliament, in the Italian Parliament, like he's on a political campaign. He should be at the negotiating table."
Mwanaume m1 dhidi ya mashoga 40Super power anaogopa NATO.Ukraine siku ya 74 plus bado anacheza makida tu ndani ya Ukraine. Putin akafie huku super power siku au wiki tu angekuwa aneshachukua Ukraine kumbe na yeye mbuzi tu
Zelensky ni myaudi sizani Kama Kuna myaudi dunia hii at support kuanguka kwa urusi. Maana hii white race imejuruhi Sana wayaudi ukiangalia vitu Holocaust na anti- sementicDuu hzi siraha wanazozipeleka hawa jamaa Ni Kama vile hazina msaada kwao Zaid anawapa warusi tu kwa mgongo wa ukrain,ukute nyuma ys panzia Zelensky anawasiliana tu na putin kila mzigo mpya ukiiingia
Yeah hao ndio wakubwa ukigombana nao hutoboiWayahudi wakubwa wa Dunia?
Asilimia kubwa ya Ukraine ipo chini ya Russia hizi taarifa ww huna!Super power anaogopa NATO.Ukraine siku ya 74 plus bado anacheza makida tu ndani ya Ukraine. Putin akafie huku super power siku au wiki tu angekuwa aneshachukua Ukraine kumbe na yeye mbuzi tu
Super power anaogopa NATO.Ukraine siku ya 74 plus bado anacheza makida tu ndani ya Ukraine. Putin akafie huku super power siku au wiki tu angekuwa aneshachukua Ukraine kumbe na yeye mbuzi tu
Unadhani wanamdanganya nani hao USA?Hata Marekani amepiga marufuku uagizaji wa mafuta ya Urusi lakini bado ana yanunua, marufuku iko kwenye makatatasi tu.
Kwa hiyo hata kwa Ulaya itakuwa hivyo hivyo.View attachment 2211805
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app