Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Kwani kuna RAIA wa USA walikuwa wanataka USA avamie Iraq,ukweli ni kuwa western ndio wanamiliki vyombo vya habari na wanatumia kila aina ya propaganda kumchafua Russia.Raia wengi wa urusi wangekuwa wanakubaliana na alichofanya Putin, wasingefungiwa mitandao kma facebook nk
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Roketi la Mabegani kifaru Majivu
Wanaona mtandaoni na kwenye tv tu hawajui mazingila ya battle fieldMkuu hapa hatuko kwenye mipasho bali tuko kwenye uhalisia.
Kwenye hivi vita Urusi hautumii nguvu nyingi na ndio maana unaona mauaji ya raia ni kidogo na uharibifu wa miundo mbinu sio mkubwa sana.
Hivi unaya kumbuka mashambulizi yaliyo fanywa na Urusi kwenye mji wa Allepo nchini Syria?
Hivi unadhani Urusi ingekuwa inatumia nguvu kubwa hayo majengo unayo ona kwenye miji ya Ukraine yange kuwepo ?
Hata Idadi ya walio uawa sasa hivi ingekuwa maelfu tofauti na sasa.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Mbona we naye ni wale waleUSA+NATO wanajua uwezo wa Urusi kijeshi na kutumia kila aina ya propaganda kumrudisha nyuma-lakini MTANZANIA aliyoko Tandale anakuwambia Russia sio chochote.
Wanachotaka kiwe ni Ukraine iwe uwanja wa vita kwaajili ya kumdhoofisha Urusi... Sasa Ukraine yenyewe wanakaza fuvu wakijua wanasaidiwa kwa nia njemaWazungu akili hawana kwahiyo wanataka vita iendelee mana sio kwakutuma silaha hatar
Kama ambavyo MRUSI aliyeko Mchambawima atakwambia Marekani na NATO hawana silaha za nyuklia.USA+NATO wanajua uwezo wa Urusi kijeshi na kutumia kila aina ya propaganda kumrudisha nyuma-lakini MTANZANIA aliyoko Tandale anakuwambia Russia sio chochote.
Urusi hawezi shinda kirahisi maana Wananchi wa Ukraine wako pamoja na Serikali yaoUnaambiwa kipigo alichokipata huko Khakiv ndio kimemfanya asogeze briefcase ya Nuclear mapajani mwake.
mdude wa nani huo ?
Kila mtu kambinya UrusiVishaanza kuumanaView attachment 2133225View attachment 2133226
Wakati wa dola ya Ottoman ya Kiislamu na dola nyengine kubwa ya Kikristo ilifika pahala pakuwa na mtafaruku mkubwa baina ya pande hizi mbili. Kuna jamii moja ya wazungu inaitwa Khazarian. Mfalme wao alichagua kama Taifa wawe na dini ipi itakayowaongoza katika Taifa. Dini iliyochaguliwa baada ya kukaa na baraza lake la Mawaziri ni dini ya kiyahudi.Boss ni sawa. Issue yangu ni kwamba katika mataifa mawili yenye nguvu mataifa madogo yanachagua kuwa na ushirika na mwenye nguvu zaidi. Russia hawezi kuweka vikwazo kwa NATO na USA wakifanya uvamizi. Kwanini Ukraine awe na ushirika na nchi isiyo na ushawishi?
Urusi atajua hajui, Syria nchi nyingi hazikuingilia sababu hapakuwa na Interest Ukraine kuna Interest kibao za WestLeo Russia analia eti U.S anawasaidia Ukraine kwa sophisticated drones za majini ambazo zimeleta maafa kwa Wanamaji wa Russia.
Pole sanaRussia lengo lake ni kumfanya Ukraine asiingie NATO. Na wengine walioingia kinyume na makubaliano, siku zao zinahesabika.
NATO sasa hivi hawama pesa za kujiendesha.
Mimi mwenyewe Putin amenishangaza sana nimemchukia mno GhaflaNatamani kusikia habari kama hizi tu namchukia sana putini
Ukrainemdude wa nani huo ?
Kwani ukrain amekua supported na nchi ngapi?Belarus Katangaza kuingia Ukraine kumsapot Putini.
My opinion:, Putin kavuliwa nguo na Ukraine mbele ya wakwe zake.
ameanza kutag washirika wake.. soon tutasikia Rocket Man nae kaingia mzigoni.
Tupe mrejesho mkuu. Uliyasema juzi na leo usiku tunaamka asubuhi inakuwa siku ya tatumuda huu kiev inaenda kuchukuliwa. wanajeshi wa ukraine wameanza kusarenda
Jamaa anaona Kama wanachelewesha mambo
Subiria vikwazo vianze kuuma ndo utaaminiMzee NATO wapo wapi!? Nawasikia tu wanaongea kwenye TV hakuna hata mmoja aliyesogeza pua.
Tangu miaka 60s Russia anawekewa vikwazo.Subiria vikwazo vianze kuuma ndo utaamini