lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Kwa kweli nimeingiwa na huruma sana kwa Hali hii.Marekani yasikitika kutangaza vifo vya wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 600 waliouawa leo kwa mizinga ya majeshi ya Russia
View attachment 2212927
Check hii video. Hii ni ya jana.Leo ni siku ya 3 Warusi wako ndani ya Azovstal ila kimya sana
Pentagon yasema wanajeshi wa Urusi wanaondolewa Azovstal
Aaah!,hii sio habari bana,Marekani yasikitika kutangaza vifo vya wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 600 waliouawa leo kwa mizinga ya majeshi ya Russia
View attachment 2212927
Hawa watakua Mercenaries. Kuna kuvuja sana kwa info toka ukraine part.Aaah!,hii sio habari bana,
Ingekua habari kama jeshi la Ukraine in lingeua askari 600 wa Urusi hiyo Ingekua habari.
Dunia nzima ingetangaziwa.
Wangekua wanatangaza nyumba kwa nyumba kama kampeni za uchaguzi.
Ila kusema kweli Mimi Lee van Cliff nimeingiwa na huruma sana.
Inaonekana Silaha za US na EU zimemalizwa,maana sijaiona Ile paragraph yangu.🇬🇧🇺🇦 Briefing of the Russian Ministry of Defense (05.05.2022)
◽️ The Armed Forces of the Russian Federation continue a special military operation in Ukraine.
💥 High-precision air-based missiles of the Russian Aerospace Forces hit the command post of the 24th separate mechanized brigade of the Armed Forces of Ukraine near the village of Loskutovka, two nationalist ammunition depots in the Seversk region, as well as 28 areas of concentration of manpower and military equipment.
💥 Operational-tactical and army aviation of the Russian Aerospace Forces hit forty-five military facilities of Ukraine during the day. Among them: two command posts, 41 areas of concentration of manpower and Ukrainian military equipment, as well as a warehouse of rocket and artillery weapons in the Voevodka region of the Luhansk People's Republic.
💥 Missile troops hit an artillery battery at firing positions in the area of the settlement of Zarozhnoye, a battery of multiple rocket launchers "Hurricane" in the Nikolaev region and four areas of concentration of manpower and military equipment.
💥 Artillery units hit 6 command posts, two ammunition depots, 152 strongholds, areas of concentration of manpower and military equipment, as well as 38 artillery units of the Armed Forces of Ukraine in firing positions. Up to 190 personnel, 43 units of weapons and military equipment were destroyed.
💥 During the day, Russian air defense systems shot down three unmanned aerial vehicles: over the settlements of Malaya Kamyshevakha, Kharkiv region, Seversk, Luhansk People's Republic, and also near the Zmeiny Island, the Bayraktar TB-2 unmanned aerial vehicle.
📊 In total, since the beginning of the special military operation, 149 aircraft, 112 helicopters, 729 unmanned aerial vehicles, 288 anti-aircraft missile systems, 2846 tanks and other armored combat vehicles, 327 multiple rocket launchers, 1323 field artillery guns and mortars, as well as 2662 units of special military vehicles.
#Ministry of Defense #Russia #Ukraine @mod_russia
Iran kama asingekuwa na Vikwazo na akili zao wangezitumia kuunda vitu vingine tofauti na silaha tu wangekuwa mbali sana.Mwanzo nilikuwa nikisikia Iron dome nikawa naifananisha na Movie flan hivi inaitwa Under the Dome Ka ulishawahi kuiona... nikawa nawaza waliwezaje kutengeneza dude ka hilo.
Kumbe sasa Iron dome ni mfumo kama mifumo mingine tu ipo active mda wote kwa ajili ya ku-intercept makombora yanayoelekezwa Israel.
Na hauko 100% capable, ingawa ndivo ilivyo mwanadam hajawah tengeneza kitu to the perfection. Mfano May mwaka jana kama sikosei walitangaza kueza ku'intercept 1000 out of 2300... View attachment 2213527 Sasa hao ni Hamas, Iran mwenyewe akiingia rasm sijui itakuaje.
Nilimskia tu yule mwakilishi wao hao Iran huko UN akiwasilisha point watakazopiga hapo Israel endapo Israel itajarib ku'mess with them.
😃😃 Dah Tumwish good luck kwa suicide anavyotaka kuifanyia."Hawa jamaa sura tu zatia wasi wasi as "yaliyomo yamo"... Anadai kafika Krakow next stop n Lyviv so tum'wish goodluck kwenye hii "Suicide Mission" aliyoamua kuifanya. View attachment 2213389[emoji636][emoji1255] "I landed in Krakow. The next stop is Lviv" - says a British sniper who is in a hurry to help the Armed Forces of Ukraine... yes, he is a sniper. [emoji23]
Ila kumbe wazungu ni wajinga aisee.Britain believes that Ukraine remains a candidate for NATO membership, said the British Deputy Minister of Defense.
View attachment 2213429
Yani ukitaka kujua namna unafiki ulivyo duniani.Iran kama asingekuwa na Vikwazo na akili zao wangezitumia kuunda vitu vingine tofauti na silaha tu wangekuwa mbali sana.
Yule mwakilishi wao jina limenitoka ila nilisikia pia hizo habari. Nashindwa kuelewa Russia itakuwa upande gani kati yao 😂 maana wote ana uhusiano nao mzuri. Ila kuna unafki mwingi sana kwenye mataifa haya
Duh hatari...Tukisoma historia kabisa ya kuhusu Israel.
Ngoja niweze declare interest. MIMI NI MKRISTO.
Asili ya Ibrahim ni nchi za Mesopotamia. Ambayo kwa sasa ni part ya Iraq, Iran nk. Kwanza hapa tunaona kabisa Waisrael kwenye DNA zao wanauhusiano na Waajemi.
Ukisoma zaidi utakuta mtoto wa Ibrahim alioa mwanamke kutoka Mesopotamia.
Isac alizaa mapacha mwanzilishi wa jina la Israel ambaye ni Jacob. Alikimbia na akaenda kwa mjomba wake Laban huko huko uajem akaenda kuoa wake wawili wa kabila lake.
Hapo tumeona kabisa uhusiano wa Iran na Israel kuwa ni wa damu. Tunatakiwa kujua Waisrael siyo waarab.
Wakati wa Roman empire Waisrael wengi walielekea kaskazini na kwenda kukutana Rus. Kwahiyo huko wamekaa sana.
Kuna immigrants wengi sana kutoka Russia kwenda USA na asilimia kubwa ni Waisrael. Mmoja wa waanzilishi wa Google ni mrussia.
Tukiendelea kuchimba tunaweza kuziunganisha dots tukajua which is which.
Offcourse hata mimi nimejaribu kufuatilia DNA yangu nimejikuta ni Muajemi wa Kiafrika, ninauhusiano na Israel. 10% ya DNA imesema mimi ni Muisrael. 50% ni Muafrica, 4% Mturuki nk.
Na kwenye hii complex world toka enzi na enzi hadi leo hii... Zama juu ya Zama yaonesha binadam tutaja acha struggle of power tukiwa kaburini tu.Kwa kuongezea. Wakati Rus's wanajitanua walikuja kukutana na Mongols ambao walikuja wakaitawala mpaka Moscow. But tunatakiwa kuwajua who are Rus!?
A people made up of Scandinavian warrior merchants who travelled Eastern European river-roads from the eighth century, and whose settlements around Kiev and the Dnieper gave rise to the Russian principalities. Wengine wataweza kuwita Vikings.
Lakini miaka ilivyozidi kwenda Mongols walikuja wakaitawala na kukawa na mixture ya tamaduni.
This is a complex world. To deal with ni ngumu sana.
Haaa Rusia ikiwa taifa teule nahama JF .Taifa teule moja tu IsraelWatu wamewasanukia hao MBWA wanawatia spana zakutosha
RUSSIA taifa TEULE
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha [emoji23][emoji2][emoji2] Dah Tumwish good luck kwa suicide anavyotaka kuifanyia."
Enhe jamaa anaenda kucheza Game la nyoka huyu bwana Cha Urembo...[emoji2][emoji2] Dah Tumwish good luck kwa suicide anavyotaka kuifanyia."
Mimi kinachonichaganya zaidi ni hao mamluki wa kiizraeli kuungana na hao Nazism....haya mambo yanachanganya sana.[emoji23]
Ila hawa viumbe huwa tunawashibikia tu siku ziende bt ukizubaa unaweza kujikuta unarithishwa chuki huku ukweli wakiujua wao. Kumwamini mwanasiasa yahitaji courage ya maana.
Sasa em nambie mazingira haya.
Jews ni rafiki wa kufa kufaana na US, kwa maelezo yako hapa yanadai Israel na Russia ni marafiki wa kufaana sana. Lakini US na Russia ni maadui.
Now Russia anapigana na Ukraine akidai anafanya denazification nchini humo, Jews wana historia mbaya na hawa Nazis kama vitabu vinavyodai, ila ajab kuna mercenaries kutoka Israel lukuki ndani ya Ukraine wakiwa pamoja na hawa Nazis wakifight agaisnt Russia Armed Forces.
Na sio hilo tu kuna Nazis mmoja sema picha yake imefutika alikuwa Israel aki'perfom ibada kwenye ule ukuta wanaofanyia Israel Ibada.
Irani wana mahusiano mazuri na Russia, na wako katika hali mbovu kimahusiano na Israel na nduguye US. Then Russia ni Rafiki wa Israel [emoji23][emoji23]
Sio siri ukichora Set chini ukaanza kumueka mmoja baada ya mwingine kuna Intersection utaziona na unaweza kujikuta ukijisemea tu tunachezewa mchezo wa kijinga sana ila hawa wanajuana.