Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine unapata support za kutosha kutoka Kwa nchi zote za NATO kuanzia ujajusi,silaha,mafunzo ya kijeshi pamoja na wapiganaji wazoefu..
Tutegemee vita hii kuendelea Kwa muda mrefu zaidi hii Ngoma bado mbichi na Russia ataendelea kupata shida pia
 
Ila najiuliza inamaana tangu waingie huko simu zao haziishi charge!!? Na kama huko ndani kuna umeme inamaana walikuwa na charge zao. Maana naona wanajirikodi na hata kamanda wao anajirusha selfie
 
Ili ushindi usheherekewe siku hiyo Putin anaweza kutoa agizo la kusisimua Sana la kusambaratisha kiwanda hicho. Yetu macho lakini Putin akiwa na Jambo lake lazima litimie.
Warusi wa igurusi toka kitambo mnatamani na mlitegemea urusi atatumia nukrea. Hicho sio kitu cha mchezo kukitumia mtakavyo. Akitumia ujue yeye hawezi kubakia salama. Mngekuwa nyie tu wa igudumbi mngekuwa mmeshatumia. Utafurahiije wengine kuuawa?
 
Huu unaweza kuwa mtego kwa Warusi, waangalie wasijemalizwa kama siafu ndani ya tanuru
 
Chai
 
Hapo mwishoni kwakweli Warussi wa Bonyokwa wanataka kupasuka kwa gadhabu kila wakisoma nyuzi zako[emoji1787][emoji1787]
 
Ukreine wanachakaa huku propaganda zao zinatapakaa.
[emoji23][emoji16][emoji16]cha kusikitisha baada ya Urusi kujua kuwa mama na watoto wote tumeshawaokoa magaidi ya Nazi huko wanapigwa kitu kinaitwa Carpet bm yaani inasbaratisha mtaa mzima hatoki mtu, jana wamepigwa hio kitu 630 magaidi ya kinazist yamefekewa mbali, halafu leo humu kuna mgojwa wa stress anakuja na propaganda zake
 
Propaganda ni uongo kwa hivyo mi Marekani ni miongo mikubwa sana
 
Umejishushia heshima sana kwenye hii vita.
 
Mkuu comments zako zinareflect ID yako kabisa [emoji1][emoji1]
 
Nadhani hilo wanalijua ndiyo maana wamebaki juu kuwasubiria,jeuri ya kuwafuata kule ndani hawana.Kile kichapo cha Kyiv bado wana kumbukumbu nacho vizuri sana[emoji846]
Ww kama husumbuliwi na ugonjwa wa akili uliosababishwa na stress za hii vita basi nenda kamuone doctor aliepo karibu na ww umuelezee shida iko wapi maana si kwa ndoto hizo[emoji23]
 

Wanawauaje sasa kama wameishia vitendea kazi? Hili ndio tatizo lenu pro ukraine.
 
Usifanye mzaha na ugonjwa wa akili na stress [emoji119][emoji23][emoji16], usije kushaa hata wakafunga ndoa hukohuko, kichapo sio kitu kizuri nyie timu magaidi ya kiNazi [emoji16]
Kumbe wako poa kabisa.Hivi ni nini kinawafanya Warusi wabaki kule juu,si wawafuate kule ndani wakamalize kazi ili May 9 tusherehekee vizuri [emoji846]
 
Ww kama husumbuliwi na ugonjwa wa akili uliosababishwa na stress za hii vita basi nenda kamuone doctor aliepo karibu na ww umuelezee shida iko wapi maana si kwa ndoto hizo[emoji23]
Struggle Man [emoji846]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…