lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Pro Russia Kuna hazina ya analyst aisee.Kidokezo cha asubuh [emoji847]
Mtizamo wangu mwingine kuhusu hii operation ya Russia. Kama Russia angeipeleka speed na kuimaliza mapema (Na huu uwezo anao) basi isingeleta hata ile walau a fraction of harm kwenye uchumi wa hili kundi la Western wakiongozwa na kiranja wao US...
Ukiwaangalia wale "International Community" kila uchao ni majanga kwao, wanapoteza ushawishi na gharama nyingi za vifaa wanazo'jaza ukraine zikiishia kuharibiwa.
Nchi karib zote za Ulaya sasa zinakumbwa na janga la Inflation, Viwanda vingi vinafungwa, Idadi kubwa ya watu wakipoteza ajira kupitia "reactions" zinazofanywa na Viongozi wao wenyewe.
Ukirejea nyuma kwenye Annexation of Crimea, ilikuwa Military Operation ambayo ilifanyika kwa kasi mno, ndani ya siku 7 za mwanzo teari walikuwa wameshabadili uongozi uliokuepo... mwezi mmoja na siku 6 tu. Crimea ilikuwa rasmi ndani ya Russia OFFICIALLY..
Aftermath ni Russia kuondolewa G8 na Mfulululizo wa International Sanctions kuanza kuandamwa... Ndani ya vile vikwazo upande wa EU na Western kwa ujumla hawakua na cha kupoteza...
Hivi kama hii OP ingeisha haraka tungejuaje madudu yaliyojaa kwenye vichwa vya hawa viumbe ase?
Round hii mambo yamekuwa tofauti, look like Russia imeingia imejipanga kikamilifu ikijua nini kitatokea kwa uingiaji wao ndani ya Ukraine. Inaonesha kabisa wazi kua mbali na Denazification waliyoitamka ni kama vile wako na harakati za kuibomoa hii Empire of Lies.
Kwasababu uwezo wa kuisambaratisha Ukraine wanao, tena mkubwa mno but they choose to be soft dhidi yao. Hawa Western wanairefusha wakihisi wanamkomoa Russia ila uhalisia ni kua wanajimaliza wenyewe huku wakizidi kumnufaisha Russia.
Em tuangalie upande mmoja tu wa nishati... tuambizane nani anayefaidika sana kwa bei ya Nishati kua juu? Mnunuzi au Muuzaji? Kama ni Muuzaji je atataka bei iwahi kushuka chini? Je hii haileti majibu ya kwanini Russia anafanya makusudi kuipeleka Operation Polepole [emoji23]?
EU na US imekua ikitolewa taarifa karib kila siku kuhusu kuporomoka kwa uchumi kwenye nchi hizo. Wote twajua uchumi ni shughuli za kibinadam. Ambazo msingi wake mkuu ni nishati. Matumizi ya nishati yanapoathiriwa basi shughuli zote zinaathirika. Na hili wanafanya kujikaanga wenyewe kwa "sufuria" walilopewa na Russia bila kuambiwa kazi ya sufuria n nn [emoji847]
Nasema hivyo kwasababu na nyie ni mashahidi, Russia alikuwa na uwezo wa kuziharibu all doors upande wa west Ukraine wanakopitishia Silaha. But ajab akaziacha ziendelee kuingia...
Anao uwezo wa kuharibu mifumo yote ya mawasiliano ndani ya Ukraine ili kupoteza connection kwa frontline kutoka kwenye Command Post zao... Anao uwezo wa kuharib Supply chain ya jeshi zima ila kayaacha kama yalivyo huku akienda veeeery slow na naendelea kusema ni makusudi sio kwamba hawezi kuharakisha.
Hapa Russia Vs Ukraine is actually a front in the greater proxy war between China and US, na hii z what few people understand. THE NEW WORLD vs THE OLD WORLD... no wonder Biden alikuwa anadai kua vitu vinaenda badilika.. kua tunaenda kwenye NEW WORLD ORDER ambayo wao wanataka kutake the Lead...
Na ni maoni yangu kua Russia asingeifanya hii Operation kama asingekuwa na Full back up, full support kutoka kwa China na wenzie hasa kwenye Issue za kiuchumi.
Urusi kawavua NATO boxer,Wale mlikokua mnasifia hzi takataka mpo?? Hizo takataka pelekeni libya huko ila sio kwa Russia , zile drone za mturuki ndo zimefeli sana mbele ya Russia zinadunguliwa kama maembe mtini. Tunasubiri US apeleke ndege zake tuone mbele ya Russia kama zitafurukuta bila sahau zile airdefense system zake[emoji28][emoji28]View attachment 2215119
Achana nae jomba, kujibizana na akili ndogo ni kujichoresha tu... Fanya kama vile humuoni hivi [emoji847]Jina lako linaakisi ulivyo ww binuka tu huna namna
Bora umeamua kuongea maana wengi Tume-appreciate kimya kimya tu.Pro Russia Kuna hazina ya analyst aisee.
Wewe jamaa hizi akili sio zako aisee.
Kwa kifupi Mimi vita hii ikiisha kwa nmna yoyote ntakua profesa kabisa ,maana sio kwa darasa hili.
Wewe jamaa hujaandika maoni Yako Bali unatufundisha bana.
Hizi ndo facts ninazozisema ambazo watu tunatakiwa tuwe nazo katika mijadala kama hii.
Haya ni maoni mazito sana.kwa kifupi Putin sio mtu Mzuri,kaamua TU kwa makusudi na ukorofi wake kuwavua Boxer Marais takrinan 40 wa "jumuiya ya kimataifa".
Dunia inashuhudia mambo ambayo haikutegemea kushuhudia.
Operation TU hivi,
Vipi Ingekua full scale war?
Rais wa taifa kubwa kabisa duniani anashauri watu wake wapande baiskeli kweli ili kupunguza gharama za mafuta.
Putin baba,acha "kuidhalilisha jumuiya ya kimataifa"
Hakuna alosema kama RUSSIA haumii KIUCHUMI nakama yupo atakua anamatatizo ya akiliHana uwo uwezo wewe hata yeye uchumi anapigika my son yuko anasoma Urusi wanakosa mkate sasa madukani mpaka mline up na hela uwezi kumtumia na kutoa bank ni kama 10,000 ya Tz tu kwa siku unaruhusiwa so what is the point ya yeye kupigana muda mrefu so rubbish
Sawa na hata alishindwa tutafanya analysis.hakika ila wanajitoa ufahamu hata urusi akishindwa ukweli ndio huu
Kwa kujificha ndio mafanikio yao!!!!Mbona hii ngoma bado NATO hawajaingia miguu miwili, wakiingia mazima Russia hapatakalika.
Urusi wakosebmkate,wakati wanalima ngano,na wanauza Dunia nzima.Hana uwo uwezo wewe hata yeye uchumi anapigika my son yuko anasoma Urusi wanakosa mkate sasa madukani mpaka mline up na hela uwezi kumtumia na kutoa bank ni kama 10,000 ya Tz tu kwa siku unaruhusiwa so what is the point ya yeye kupigana muda mrefu so rubbish
Hiii,hata wewe Sasa nimekuona kua ni kichwa aisee,yaani nawe ni genius.Bora umeamua kuongea maana wengi Tume-appreciate kimya kimya tu.
Huyu jamaa ni genious sana Hata maono yake ni first class kabisa Hongera sana Galip Vrl broo. halafu kuna pro nato mmoja elimu hana anakwambia eti Westerners hawajui Haya wakati yeye ndo hajui, Alfred Tulia usomeshwe mzee maana wewe ni mvivu wa kusoma.
Russia unaongoza kwa kilimo Cha ngano duniani,na product kubwa ya ngano ni mkate.halafu wakose mkate.Hakuna alosema kama RUSSIA haumii KIUCHUMI nakama yupo atakua anamatatizo ya akili
Hilo lakutoweza kumtumia kiasi nakubali ndio athari zavikwazo
Kuhusiana na kukosa mkate hizo PROPAGANDA inatakiwa zipuuzwe labda useme hawezi nunua mkate kwakukosa kiasi sababu acces yakutuma nakutoa kiasi pale RUSSIA imeathiriwa na VIKWAZO
BIDEN juzi anawaambia wa US kupanda baiskel ili kuavoid athari za VIKWAZO wewe nani mpaka ubishe
Hapo jirani ya US hapo CANADA nina mama angu mdogo kabisa wanaisoma kimya kimya
Kule GERMAN nina swahiba wang week jana kaingia MOMBASA hapa wamepunguzwa kazi huko berlin jamaa anaendesha UBER sasa hv kawa job less kwakua sio mzawa karudi kwao
Kawaacha wazawa majobless pia wanateseka nilimuuliza kwamba koronya imesababisha yote haya akanambia hapana OP ya RUSSO dhidi ya UKRAINE yaani gharama zamaisha zipo juu mnooo mnooo mnoooo
Endeleeni kukaza shingo ila mara hii PUT IN kawakamata
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh abdulqadirj shukran kwa hiyo compliment... Thank you mucho ase, I do really appreciate you taking the time to express that.Bora umeamua kuongea maana wengi Tume-appreciate kimya kimya tu.
Huyu jamaa ni genious sana Hata maono yake ni first class kabisa Hongera sana Galip Vrl broo. halafu kuna pro nato mmoja elimu hana anakwambia eti Westerners hawajui Haya wakati yeye ndo hajui, Alfred Tulia usomeshwe mzee maana wewe ni mvivu wa kusoma.
IHana uwo uwezo wewe hata yeye uchumi anapigika my son yuko anasoma Urusi wanakosa mkate sasa madukani mpaka mline up na hela uwezi kumtumia na kutoa bank ni kama 10,000 ya Tz tu kwa siku unaruhusiwa so what is the point ya yeye kupigana muda mrefu so rubbish
[emoji106] Tupo Pamoja Mzee [emoji123].Teh abdulqadirj shukran kwa hiyo compliment... Thank you mucho ase, I do really appreciate you taking the time to express that.
The same shukran kwako Mr lee van cliff, It makes my day to hear that, thank you for noticing... it's my pleasure to hear you feel that way...
Tuko pamoja [emoji847]
[emoji28] kimya kimya.Hiii,hata wewe Sasa nimekua kua ni kichwa aisee,yaani nawe ni genius.
Kwa sababu umeweza kuona na kuelewa madini hayo ya Jamaa huyo.
Nakuhakikishia vilaza hawawezi kumuelewa alichoandika.
Ndio maana humu jf Kuna majukwa ambayo baadhi ya memba vilaza hayawahusu.
Kwa kumuelewa TU nawe ni kichwa sana mazee.
Labda huko ndio maana nikamwambia mkate hauwezi kukosekana MOSCOW kwanza kwahoja yake hio tu nimemtilia shaka kama hata huko MOSCOW kwenyewe kua anamtu anaemjuaRussia unaongoza kwa kilimo Cha ngano duniani,na product kubwa ya ngano ni mkate.halafu wakose mkate.
Aisee Kuna Urusi nyingine huyo mwanae anaishi.
Nahisi labda anamaanisha kinondoni Moscow.
Kuliwa na mwanamke mwenzie ni kawaida sio?Mwanamke kuliwa ni kawaida sheikh