Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Alisikika mkulima mmoja wa Giligilani toka Kazuramimba
 
Sidhanii kama atakuelewa licha yakwamba umempa ukweli mtupuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 


‼️ 🇷🇺 The special forces of the "O" are studying the trophies after demilitarising the reconnaissance and sabotage group of the 🇺🇦 in the Izyum direction

▪️ Yuneec H520 industrial drone
▪️ new U🇺🇦 sniper rifle AR-10 of the company "Ukrop"
▪️ 2 American Javelin ATGM
 
Watibiwe wakati wameumia vitani wataponea front line [emoji635][emoji635][emoji635][emoji123]
 
Hili nakubali keazaidi ya 70% GERMAN wapo na hali mbaya mno KIUCHUMI hili sio kupitia media tuuu
Hili watu wanaofanya kazi huko wanathibitisha mpaka kupigwa kalamu nyekundu maofisini
Kwapale EU wahanga wapo wengi ila wahanga wakubwa nihawa GER FRANCE nandio maana hawaishi simu simu kwa PUT IN
Jamaa wamekamatika vibaya sana sana sanaa nandio maana licha yavikwazo zaifi ya 7000 bado wanataka waongeze kuona athari hasi zaidi
Kiufupi RUSSIA anaumia sana ila EU nashost zake wanaumia zaidi maana hawakutegemea kama vikwazo hv walivyoeka kwamba RUSSIA angekuepo mpaka muda huu
Hivi VIKWAZO kama linaekewa taifa jengine hpo EU fasta linakua taifa lahovyo mnooo
RUSSIA kunakitu kaionyesha DUNIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…