Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Dadeki so poa, kwamba
[emoji95] Ukitoka ndani Zima Taa
[emoji95] Usijaze birika la Kuchemshia Maji "Kettle" hadi Juu.
[emoji95] Nguo zifuliwe kwenye machine kwa joto ridi dogo la maji.
[emoji95] Kuoga haraka ama chap when using hot water [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

EU taratibu wanakuwa kama wamama wa Tandale wakiwakanya watoto wao kwenye matumizi ya umeme "LUKU"imepanda bei [emoji41]

Ase si huwa tunatangaziwa hawa watu matajiri sana kulikoni kujibana bana as if wana mkopo wa VICOBA.

Duh Tutashuhudia mengi sana mwaka huu.
 
Unamaanisha tushukuru kwa ushindi wa Wayahudi dhidi ya Wakristo wahafidhina (Orthodox Christians)?
Hakuna Mkristo aweza vamia wayahudi kwa lipi ? wayahudi hawakuua Yesu.

Mkristo yeyote popote alipo awe Russia au nchi yeyote au mshika dini dhehebu lolote la Kikristo ambako hiyo nchi yupo Raisi myahudi hawezi vamia nchi yenye Raisi myahudi awe orthodox Or whatever.

Wayahudi wengi sio wakristo lakini heshima toka kwa wakristo iko pale pale ndugu yao Yesu myahudi ndio alitupa ukristo

Putin kafiri
 
Kwa kifupi wewe mtoa mada leo hii ni Mkristo kwasababu Wayahudi walimkataa Yesu, ukachukua nafasi yao. Sasa naposkia watu wana funga na kuomba kwaajiri ya Israeli, sjui wayahudi nasikitika mnoo!
Wayahudi Kukataa Yesu sio kesi watamalizana na Mungu ila hawakumuua Yesu Bwana wangu aliuawa na warumi

Mimi myahudi mtanzania ngozi nyeusi kwa kupitia Ibrahim baba yangu wa Imani ndio maana nimeleta mada sio kesi ukitaka kushukuru Mungu sawa usipotaka sawa tuachie wayahudi watoto wa Ibrahim kwa Imani ufanye hilo.
 
Yule Sniper bora kabisa kutoka NATO nzima, aliyeenda Ukraine kwa mbwembwe, alishaaga dunia kitambo.
Sniper Wali bado yupo... hajafa kuna video moja nimeiona jana akizungumza.

Namnukuu baadhi ya maneno yake anavoelezea huko the eastern front as hell. Most of the day is spent collecting dead bodies of Ukraine Soldiers. Video ina Mb 270 kui'upload ngumu. Ila jamaa hajafa yupo

Anasema β€œThere was an explosion nearby. I was knocked out for a while. When I came to, I realized that I was lying on the ground. Bullets whistle around me. It was very scary from the understanding that this is the first fight.”

β€œThere was a tank regiment behind the landing. My friend and I only had one Javelin. We were in position when a Russian tank hit us. I was concussed for a while. When I came to, my friend was lying next to me. He had no legs, he was bleeding."


Anadai kua many foreigners involved in the conflict are simply shocked by the horrors they face. Walifikiri wanaenda studio kutengeeza Movie hawa viumbe.
 
Kituuuuuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Mkuu naiamin sana intelligence ya Russia hakuna kitu kama hiko na wakitaka nuclear itumike wafanye huo ujinga. Hakuna hata nzi wa kugusa hio parade
Binafsi naona intelligence ya Russia ilikuwa overrated. Wangekuwa na intelligence makini yasingetokea haya ya kuzamishwa kwa Meli zao mbili. Jamani kuzamishwa meli sio tukio dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…