Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

N
Ndeeefu lakini hamna kitu
 

Naomba hizo video za chencheny ambazo unadai ni propaganda.
 
Pumba. Hujui kuchambua aisee.
 
Tutakutumia phone number ya putin umuulize lengo ni nini? Maana alipotangaza kuanza kwa operation ulivaa miwani ya mbao, na ulijivika uziwi.
 
Naomba hizo video za chencheny ambazo unadai ni propaganda.
Kijana askari ndio maana wanaitwa watch dogs of the country, kama kweli wewe nimuelewa huwezi kutenganisha vita na propaganda. Operation za kijeshi zina matukio ya kutisha na kuvunja moyo hivyo propaganda hutumika kama kinga ya kuficha ukweli. Ingia tik Tok utakutana na wachecheny kibao wanamwaga njugu kwelikweli, kuna video humu ya propaganda ya wachecheny wanashanalia ushindi wa mariupol. Ili kupata morale victory propaganda haipukiki na hapa ukraine amewini maana nchi nzima iko vitani si mtoto wala mkubwa wote wako full morale kupambana na adui
 
Leo kasema kwamba watu wa Magharibi wanataka kumletea chochochoko, ila leo kaongea na adabu kidogo. 😂 😂
 
Mimi nimejiuliza hayo maswali sana kwa sababu malengo yake kila siku anavadilisha mara NATO ,mara kuundoa wahuni wanaongoza Ukraine ,mara majimbo mawili ya Ukraine mara sijui
 
Mimi nimejiuliza hayo maswali sana kwa sababu malengo yake kila siku anavadilisha mara NATO ,mara kuundoa wahuni wanaongoza Ukraine ,mara majimbo mawili ya Ukraine mara sijui
😂 😂 😂
 
Umemuona mrusi wa Urusi kwenye gwaride la V day leo hii!? Wagema ulimbo wa Gaykrania wamebaki macho kodo!
Vipi maeneo hayo mko pos mkuu? Nalog off Z
Macho kodo kwa sababu we thought for now ana EU yote kokononi mwake kumbe bure kabisa hata majimbo mawili hajapata .Sasa kama Ukraine inamwendesha puta .Yeye na USA bure kabisa (Maana nisipoweka USA kuna watu wangeniambia US walishindwa sijui wapi) Putin naye kaput tu kusumbua tu watu.
 
Ni kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walijunga lini. kwa kura ipi ya maoni na lini..
The official result from the Autonomous Republic of Crimea was a 97 percent vote for integration of the region into the Russian Federation with an 83 percent voter turnout and within the local government of Sevastopol there was also a 97 percent vote for integration of the region into the Russian Federation with an 89 percent voter turnout.

This happened during the Crimean status referendum of 2014 , the referendum was held on March 16, 2014.
===
Leta swali lingine, Ingawa wewe unatakiwa ujibu swali la sheria ipi ilikiukwa wakati Crimea na Sevastopol wanajiunga na Shirikisho la Russia.
 
Safi saana yani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…