Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Basi tuongelee hii ya miaka 10Tunaacha kuongea miezi 3 ya vita now tuzungumzie kuhusu phase 2 😂😂😂😂😂
Kafe tu hako kabibi kachawi...“The Queen will miss a speech in Parliament for the first time in 69 years. This is the first step to leaving": The British media are concerned about a serious issue - it seems that Elizabeth II, "experiencing episodic mobility problems," really decided to transfer the throne to her son. And the English will have King Charles.
Kifupi hiyo tabia USA hawezi Acha. Na Russia was next target through Ukraine.Mi sijachagua upande. Hata us akiua watu kisa kumaintain usuper power sio haki na una takiwa kupingwa.
Lakini sasa tuongelee ya sasa ivi.
Ukraine imerejesha Jimbo gani?Hasira za nn waandamanaji wakati UKRAINE anarejesha majimbo yake huko DON BASS
yani sio rangi hata wamuue kabisaa sio kwamba kichapo kitasimama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa la Putin nililoliona ni kutokwenda na wakati. Wakati wa sasa kiongozi mkubwa anatakiwa kusalimia vivuliJe, ulitaka aongee kwa dakika ngapi...?
Waulize ujerumani wanavyo filisika tokea imeanza vita
View attachment 2218681
[emoji91][emoji91][emoji91]The T-shirt with the Z depopulated all over the world from Italy to Europe to America urraaaa[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji91][emoji91][emoji91]
We all are already dying and we will be dead for too long. Au unahisi wewe hutokufa!?Hivi kama NATO walikuwa na plan ya kuivamia rusia, kwa nini hawajaivamia sasa hata kwa kuwatumia ukraine kama proxy? hivi kuna wakati mzuri wa kufanya uhuni kama huu?
Actions za Putin hazina tofauti na late Mugabe, he is a dying man. He fears democracy wants to pull him down
Sema Putin! Tumia P kubwaKweli, propaganda ya marafiki wa putin bila data, bila kuonyesha chanzo ni upupu.
Bwana Putin anatawala tangu miaka 20. Hadi leo hajaleta sheria inayopiga marufuku matendo ya kishoga ambayo so marufuku Urusi. Tafadhali tusitangaze mambo yasiyo na msingi.Kosa lake ni kuukataa ushoga nchini kwake ndio kisa cha povu lote hilo!?
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Je una msingi wowote kwamba NATO inataja kuvamia Urusi? Kwa shabaha gani??We all are already dying and we will be dead for too long. Au unahisi wewe hutokufa!?
NATO wanataka kuivamia Urusi ila hawawezi na hawatoweza. Couple of cowards bunching up won't scare the Bear
Kyiv independent [emoji1][emoji1][emoji1]Mshahara imepungua kwa asilimia 11 Kwa wafanyakazi,
Ni mwezi wa pili wamelipwa Robo Tatu,
Account za pesa za Urusi nje zimekuwa seized
Wa shirika wake kibiashara wameathirika zaidi na kusitisha baadhi ya biashara na Urusi
Hawategemei kutoa ajira mpya Kwa miezi 36 ijayo wataajiri Kwa vitengo maalumu tu!
Bloomberg: Russia’s economy deals with the worst recession in three decades.
Bloomberg cited an internal forecast by Russia's Finance Ministry.
Britanicca
20 yrs, Trillion of dollars, thousand of casualties just to replace Taliban with TalibanBasi tuongelee hii ya miaka 10
War in Afghanistan With USA and Allies
Oct 7, 2001 – Aug 30, 2021
The War in Afghanistan was a conflict that took place from 2001 to 2021 in the South-Central Asian country of Afghanistan. It began when the United States and its allies invaded Afghanistan and toppled the Taliban-ruled Islamic Emirate.
Una msingi wowote wa kwanini NATO wanataka kutia maguu Ukraine!? Is it for justice!? Ni kwamba wanaipenda sana Ukraine au!?Je una msingi wowote kwamba NATO inataja kuvamia Urusi? Kwa shabaha gani??
Tafadhali tusilete hapa mambo yasiyo na msingi.
Picha si kweli. Haionyeshi meals huu. Hakuna mgeni rasmi aliyefika kwa paredi. Menginevyo ninaombea Urusi hali yake isiwe vibaya jinsi ilivyo Korea Kaskazini.View attachment 2218682
🇷🇺 🇰🇵 Kim Jong-un congratulated Vladimir Putin on Victory Day, and also expressed "strong solidarity" to the cause of the Russian people.