Hujui kitu kaa kimyaSidhani wamepewa na NATO. Walitumia mbinu huohuo wakati walipozamisha manowari ya Moscow: walituma kwanza droni upande wa mbali wa nchi, manowari ilianza kufyatulia risasi dhidi ya droni. Halafu ilipigwa kwa roketi kutoka nchi kavu.
Nilimsikia jenerali wa NATO aliyesema Ukraine walibuni njia nzuri kutumia vifaa vichache walivyo navyo.
Hili jamaa Siyo Zima kichwani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]T-14 Armata - kifaru cha paredi
Wakati wa paredi ya 9 Mei mjini Moscow tuliweza kuona tena vifaru 3 vya aina T-14 Armata.
Kifaru hiki kilitangazwa na kusifiwa tangu kilipoonyeshwa mara kwa kwanza mwaka 2015.
Lakini hakikuonekana vitani.
Wakati ilipotangazwa viongozi wa kijeshi wa NATO walionyesha hofu kuwa kifaru hicho kitakuwa tatizo yaani data zake zilionyesha ina faida juu ya Abrams ya Marekani na Leopard II ya Ujerumani.
Sasa hofu hizo zimepotea - kwa sababu hali halisi T-14 Armata haipo. Au tuseme: inapatikana mara 20 hivi, si zaidi.
Urusi imeshindwa kukitengeneza. Kwa nini?
Baada ya mashambulio ya kwanza mwaka 2014 (Luhansk, Donetsk na Krim) nchi za magharibi zilianzisha vikwazo vya kwanza dhidi ya Urusi.
T-14 Armata iliundwa kwa tekinlojia ya kisasa kabisa - ambayo haipo Urusi penyewe, walinunua sehemu muhimu Marekani au EU. Vipuli hivi havipatikani tena kwa Urusi.
Basi nakala 20 zimepatikana - hakuna nyongeza.
Kifaru cha paredi.
Kweli Urusi si Zimbabwe!
Walijua wameharibu mfumo wa SU 300 Kumbe mfumo uliotumika hauko pale kisiwani wamepoteza bayktar drone 30 usiku mmoja ndege tatu helikopta mbili boat 3 askari 50Alafu hiyo mbinu wamepewa na NATO .niliona sehemu nikacheka sana [emoji28]
Ripoti inasema wataalamu wa uingereza na Marekani ndio walitoa plani ya uvamizi na idhini ilitolewa na zelensky mwenyeweHujui kitu kaa kimya
Basi nisaidie tupe hekima yako (ukitaja vyanzo tafadhali)Hujui kitu kaa kimya
Tena: lete hekima yako kuhusu pikipiki za kijeshi! (usisahau kuaja vyanzo)Hujui kabisa hata kuchambua
You are naiveHuyu bwana anajua hawezi kutumia silaha za nyuklia kwa sababu kufanya vile itakuwa ni mwisho wa nchi yake Urusi. Matishio ya aina hii ninaita kitoto; ni tabia ya mtoto kutumia maneno makubwa bila msingi.
Silaha zinalengwa zilipo sasa ukiweka military HQ guest houses au nursery school zitafumuliwa humohumo habari ya utamaduni na uhifadhi tunawaachia Nato.You are naive
What?United Nations wana kasoro zao, lakini kwa jumla wanafanya kazi vizuri bila kupendelea upande wowote!
Acha wivu mkongwe, hautaki hata wenzako wapewe like?'Hii ndo Mara yangu ya kwanza kuskia pikipiki vitani' alafu kuna kina Bwana Utam watakuja kulike hii post alafu waseme urussi imebarikiwa na wachambuzi. Jf imejaa wajuaji sana. View attachment 2219269View attachment 2219272
View attachment 2219261
Pole sana mkongwe!!!Kumbe wanatumia hypersonic kuharibu miundombinu wa utalii wa Odessa??? Kweli??
Unajua kama hamjui taktik za vita Bora mnyamaze, target ya Mrusi ilikuwa kuteka miji ya east Ukraine. Ile msafara ulikuwa ni kutia pressure Wana target ya kuivamia Kyeiv lakini Nia ya Mrusi ilikuwa sio Kyeiv na angeitaka angeibeba Kuna sehemu Ukraine alijipanga kama Malurpol mbona kaiteka.Hivi Ule msafara wa kilometa 64 wa vifaru vya Urusi uliokuwa ukienda Kyiv umeishia wapi?