ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,860
Una akili za kitoto! uko too lowPutin ni kama mwanamke, alikuwa anapiga kelele eti nato isijipanue zaidi eastern europe na kwamba waondoe majeshi yao, wakati huo sweden na finland walikuwa hawataki kujiunga nao,
leo, eastern europe is the most militarized region in the world,
finland and sweden will soon be nato members.
an opposite of what putin wanted.
Story za konyagiWalijua wameharibu mfumo wa SU 300 Kumbe mfumo uliotumika hauko pale kisiwani wamepoteza bayktar drone 30 usiku mmoja ndege tatu helikopta mbili boat 3 askari 50
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Nato won't expand towards east hata kwa hatua moja zaidi. Nobody wants to be ukraine.Putin ni kama mwanamke, alikuwa anapiga kelele eti nato isijipanue zaidi eastern europe na kwamba waondoe majeshi yao, wakati huo sweden na finland walikuwa hawataki kujiunga nao,
leo, eastern europe is the most militarized region in the world,
finland and sweden will soon be nato members.
an opposite of what putin wanted.
T-14 Armata - kifaru cha paredi
Wakati wa paredi ya 9 Mei mjini Moscow tuliweza kuona tena vifaru 3 vya aina T-14 Armata.
Kifaru hiki kilitangazwa na kusifiwa tangu kilipoonyeshwa mara kwa kwanza mwaka 2015.
Lakini hakikuonekana vitani.
Wakati ilipotangazwa viongozi wa kijeshi wa NATO walionyesha hofu kuwa kifaru hicho kitakuwa tatizo yaani data zake zilionyesha ina faida juu ya Abrams ya Marekani na Leopard II ya Ujerumani.
Sasa hofu hizo zimepotea - kwa sababu hali halisi T-14 Armata haipo. Au tuseme: inapatikana mara 20 hivi, si zaidi.
Urusi imeshindwa kukitengeneza. Kwa nini?
Baada ya mashambulio ya kwanza mwaka 2014 (Luhansk, Donetsk na Krim) nchi za magharibi zilianzisha vikwazo vya kwanza dhidi ya Urusi.
T-14 Armata iliundwa kwa tekinlojia ya kisasa kabisa - ambayo haipo Urusi penyewe, walinunua sehemu muhimu Marekani au EU. Vipuli hivi havipatikani tena kwa Urusi.
Basi nakala 20 zimepatikana - hakuna nyongeza.
Kifaru cha paredi.
Kweli Urusi si Zimbabwe!
URUSI KWA HASIRA......Kwa huu ukilaza wako nenda jukwaa la mapenzi huku hukuwezi.
Walijua wameharibu mfumo wa SU 300 Kumbe mfumo uliotumika hauko pale kisiwani wamepoteza bayktar drone 30 usiku mmoja ndege tatu helikopta mbili boat 3 askari 50
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Kitu kimetulia safiLaptop zetu sasa hivi ni ZBook.
View attachment 2219813
Waging WW3 [emoji23]
Fanya utafiti bomu la kufuta Ulaya litakuwa na side effect gani kisha wala hata usinijibu.Side effect akiwawahi basi atakosa hela alizokuwa akiwauzia mafuta tuu
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Cha ajabu ni made in western countriesLaptop zetu sasa hivi ni ZBook.
View attachment 2219813
Unatusumbua na simu za €20.00
View attachment 2219831
Daaah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣T-14 Armata - kifaru cha paredi
Wakati wa paredi ya 9 Mei mjini Moscow tuliweza kuona tena vifaru 3 vya aina T-14 Armata.
Kifaru hiki kilitangazwa na kusifiwa tangu kilipoonyeshwa mara kwa kwanza mwaka 2015.
Lakini hakikuonekana vitani.
Wakati ilipotangazwa viongozi wa kijeshi wa NATO walionyesha hofu kuwa kifaru hicho kitakuwa tatizo yaani data zake zilionyesha ina faida juu ya Abrams ya Marekani na Leopard II ya Ujerumani.
Sasa hofu hizo zimepotea - kwa sababu hali halisi T-14 Armata haipo. Au tuseme: inapatikana mara 20 hivi, si zaidi.
Urusi imeshindwa kukitengeneza. Kwa nini?
Baada ya mashambulio ya kwanza mwaka 2014 (Luhansk, Donetsk na Krim) nchi za magharibi zilianzisha vikwazo vya kwanza dhidi ya Urusi.
T-14 Armata iliundwa kwa tekinlojia ya kisasa kabisa - ambayo haipo Urusi penyewe, walinunua sehemu muhimu Marekani au EU. Vipuli hivi havipatikani tena kwa Urusi.
Basi nakala 20 zimepatikana - hakuna nyongeza.
Kifaru cha paredi.
Kweli Urusi si Zimbabwe!
Hebu muache mwenzio ndipo furaha yake ilipo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hili jamaa Siyo Zima kichwani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnateseka Sana aisee😁T-14 Armata - kifaru cha paredi
Wakati wa paredi ya 9 Mei mjini Moscow tuliweza kuona tena vifaru 3 vya aina T-14 Armata.
Kifaru hiki kilitangazwa na kusifiwa tangu kilipoonyeshwa mara kwa kwanza mwaka 2015.
Lakini hakikuonekana vitani.
Wakati ilipotangazwa viongozi wa kijeshi wa NATO walionyesha hofu kuwa kifaru hicho kitakuwa tatizo yaani data zake zilionyesha ina faida juu ya Abrams ya Marekani na Leopard II ya Ujerumani.
Sasa hofu hizo zimepotea - kwa sababu hali halisi T-14 Armata haipo. Au tuseme: inapatikana mara 20 hivi, si zaidi.
Urusi imeshindwa kukitengeneza. Kwa nini?
Baada ya mashambulio ya kwanza mwaka 2014 (Luhansk, Donetsk na Krim) nchi za magharibi zilianzisha vikwazo vya kwanza dhidi ya Urusi.
T-14 Armata iliundwa kwa tekinlojia ya kisasa kabisa - ambayo haipo Urusi penyewe, walinunua sehemu muhimu Marekani au EU. Vipuli hivi havipatikani tena kwa Urusi.
Basi nakala 20 zimepatikana - hakuna nyongeza.
Kifaru cha paredi.
Kweli Urusi si Zimbabwe!
Zele anajua....hataki hata kusikia Hilo kwa sasaHivi Ule msafara wa kilometa 64 wa vifaru vya Urusi uliokuwa ukienda Kyiv umeishia wapi?
Hazina kazi Russia walisumbuka kidogo mwanzo saizi wanazianguaHizo drones walikua wanazisifia sana ila pale Ukraine zinadondoshwa kama nazi mtini. Uturuki washapoteza soko. NATO kweli ni vilaza unapoteza zana zote huo ndani ya usiku 1??
Russia endelea kuwatia aibu hawa mamluki