okay zinatumika!! ndio ligi sasa kutumika au kutokutumika? okay zimeleta effect gan adi sasa ? hizo linkall za kuchaji? hiv unajua serekal tola 2014 ilikua inaua raiya wale yenywee kulle donbas?Hii ndio inaitwa bampa to bampa sio unaambiwa ivi unaleta ngonjera.
Well done
Unyama mwingi sana
Naomba uelezee kidogo wengi wetu tulipitwa na hii issue.Kichapo alichopata ukraine baada ya kujaribu kukikomboa kisiwa cha snake kilikuwa cha aina yak!e
Ulienda ukachukua Mariupol,💪🇷🇺Hivi Ule msafara wa kilometa 64 wa vifaru vya Urusi uliokuwa ukienda Kyiv umeishia wapi?
Asante Morogoro Kaskazini nimekwisha isoma hapa.
Habari nazozipenda mimi hizi, yaani nasoma huku nasisimkwa na machozi ya furaha yakinidondoka.
🙌🙌🙌 Nisamehe nimekosa mm nisamehe....okay zinatumika!! ndio ligi sasa kutumika au kutokutumika? okay zimeleta effect gan adi sasa ? hizo linkall za kuchaji? hiv unajua serekal tola 2014 ilikua inaua raiya wale yenywee kulle donbas?
Alafu kuna mtu anasema Ukraine atarudisha majimbo yote yalitwaliwa na Russia,huu ndio uwe mfano🇷🇺🇷🇺Kichapo alichopata ukraine baada ya kujaribu kukikomboa kisiwa cha snake kilikuwa cha aina yak!e
Kwa hiyo Urusi iliwapiga marekani, Ukraine na Uingereza !!? 🇷🇺😆
Angalau hatuteseki na T-14 Armata, kifaru bora ya paredi duniani.Mnateseka Sana aisee😁