Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tatizo washabiki wa mapenzi ya jinsia moja baada ya kuona Zele anakula kichapo bila majibu,mmeona mumshauri kwa njia hii.
Tatizo madhara ya njia hiyo ni makubwa kwa mabwana zake kuliko kwa Russia. We unadhani Zele angekuwa na uwezo huo alivyo na kiherehere si angekuwa ameshafanya hivyo!!!

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Mbinu baba ,Zelensky kaamua kama iwe mbwa na iwe wote watashangaa kupigana na comedy. Maana mpaka Tz inashangaa mafuta juu na hatupigani na shangaa kwa nini hatutafuti Rubi kulipa ya Urusi mweee dunia ngumu hii wala simlaumu Zelensky
Ninacho maanisha ni kwamba kufunga mabomba ya gesi ya Urusi yanayo kwenda ulaya ni sawa na Ukraine kujitia kidole.

Maana hiyo gesi ndio inategemewa na mataifa ya magharibi kuendesha viwanda vya silaha ambazo Ukraine ndo anazitegemea kupambana na Urusi.


Alafu kingine umetuletea habari ya kupotosha, Ukraine haijatangaza kufunga mabomba ya gesi kwa ajili ya kuikomoa Urusi,
bali imetangaza kufunga bomba moja tu la gesi kwasababu sehemu linapo pita mbomba hilo ni eneo kwenye mkoa wa Luhansk ambapo kuna mapigano makali ili kuepusha maafa, lakini mabomba mengine yanaendelea kufanya kazi.
 
Nikiangalia michango yako - kuna mengi ambayo hujui, hata ukiendelea kuyajadili...
Ndiyo maana nimesema inawezekana there is something serious we don't know....mtu mzima unatumia muda mwingi kuangalia michango au comments za watu humu JF haiwezekani iwe hivi hivi tu...haya endeleeni kufanya mnalofanya...but one thing is for sure..
Ukraine inapigwa Sana thousands and thousands of Ukrainians are dying for nothing but kwa maslahi ya NATO in their doomed mission to contain Russia...
Baada ya vita hii kwisha debates zitazuka namna the west ilivyofanya hadaa na kusababisha vifo vya mamilioni ya Waukraine.. inatisha na kusikitisha...
Russia imejiandaa for a long war which means Ukraine itaharibiwa zaidi na zaidi...
 
Haya ni maoni yako. Nadhani mtu wa kawaida anaona huyu anayeshambulia na kuanza kupiga ni mkosoaji.
Wewe unajaribu kugeuza mambo: kumbe yule anayeshambuliwa na kujitetea ana kosa.

Inanikumbusha kuhusu lugha: eti wanawake wanaobakwa wana kosa, kwa nini wasivae tofauti, au wakae nyumbani, au wasitembee peke yao.
Hali halisi ni kama mantiki ya Taliban . . . .
 
Ndio mbinu zenyewe ujue vita ni vita tu hata kukifinga golf dakika ya 90 bado utahesabiwa mshindi hawasemi tena sijui ball possession nk.
 
Hapo atapigwa vibaya sana Ukraine
Yeye hataki bomba lipite kwake. Russia watafute njia mbadala ya kuhudumia wateja wake,kumbe makelele mengi na bomba kapitisha kwa jirani yake.Zelensiky ng'oa hilo Bomba,kila mtu ashinde mechi zake.
 
Hiyohiyo gesi ya Urusi ndio inaendesha viwanda vya silaha vya nchi za magharibi ambazo anazipokea ili aweze kupambana na Urusi.
Ukraine anayajua yote hayo lakini ndiyo keshaamua Russia atoe bomba lake .
 
Hakuna anayeweza kumuondoa Putin
Urusi wana mapokeo ya kitaifa: akishindwa vitani, mtawala anaondolewa baada ya muda mfupi. Warusi wanatunza mapokeo ya kitaifa sana!
Na putin anaelekea kushindwa, hii ni dhahiri. Kyiv alipaswa kukimbua, Donbas anakwama . . . . manowari zake zinapungua, roketi zake pia . . .
 
Upupu mtupu unamwaga
 
Hawana huu uwezo
Ikiwa official uje utuambie hapa
 
Mimi siamini mpaka nione, kalitoa hilo bomba maana itakuwa ni anguko la EU, urusi kashapata mbadala wa gas aliyokuwa anauza ulaya atauza china, swali bado sijaona mbadala wa gas ulaya
 
Putin ndio wanakazana kumwua au kumwondoa Mark my word. Najua washabiki wa Putin hawataki kusikia.
Mashabiki wake wanafura kwa hasira kila siku,mbaya zaidi siku ya May 9 walijua atakuja na mbwembwe za hotuba kali,matokeo yake mwanzo mwisho Mzee analia na NATO
 
Hapo akifanya hivyo atawauzi Hadi washirika wake maana atakua Kama kawawekea vikwazo vya gas na oil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…