Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sisi ni kuwaletea taarifa tu, haijalishi mnapotezea, hampotezei lazima habari tulete hapa watu wanataka kuhabarika
 
Ninacho wakubali wa Ukraine wanapigana huku wanahesabu maiti za askari wa Russia wapo vizuri sana.

Propaganda nyingine hata kwa akili ya kawaida............
 
na bado anachkua service fee yake kila mwez yan wanapigana ila anachkua malipo ya hiro mbomba kupita hapo.
yaan nimekaa zang ngamu huku dongobesh ila naendelea kupata zang kodi
800M dollar kwa mwezi...

So kutoka February tangu hii OP ianze hadi April... Yes Feb hadi April kwasabab May haijaisha. Ameweka kibindoni 2.4Billion Dollar kama Transit fee kwenye hilo bomba, hizo ni karibu Trillion 5.6 za kitanzania kutoka Russia anayepigana nae.
 
Leo nimeona reporter mmoja anaonesha mili ya askari wa urusi ikiwa imeoza, inaumiza sana kama askari umetumwa kwenye operation mbovi kama hii askari wanapigana bila morale. " Without a fighting morale the battle field become diserster’'
Russia alipeleka Wanajeshi wengi, ndo maana kapoteza wengi pia
 
Ninacho wakubali wa Ukraine wanapigana huku wanahesabu maiti za askari wa Russia wapo vizuri sana.

Propaganda nyingine hata kwa akili ya kawaida............
Lazima wahesabiwe hiyo inasaidia kujua adui amebakiza Wanajeshi wangap na kupanga mipango mpya ya mapambano
 
Ingekua picha tupu bila maelezo, wangedai ni za Russia.

Russia are starving 😂...

Hio kauli anayozungumza jamaa ingezungumzwa na mswahili hapa angeulizwa kwa hiyo wewe ndio unajua kuliko wao? Wewe ndio unajua ila hao think tank wa US na Eurupe kwa ujumla hawalioni hilo?

Na mengine mengi ya kejeli 🙌
 
Sisi ni kuwaletea taarifa tu, haijalishi mnapotezea, hampotezei lazima habari tulete hapa watu wanataka kuhabarika
Si useme ulweli tu kama unawajejea[emoji23][emoji23], watakuchoka mapema, maana hali halisi ni tofauti
 
Jeshi la Urusi kwny battle field limekaa kizembe sana. Kwa sasa malengo ya Ukraine yamebadilika n kukomboa maeneo yote yaliyovamiwa na Urusi.
Aibu yake sijui ataificha wapi maana uwezo wa vikosi vyake kusonga mbele unaonekana nimdogo licha ya kupiga makombola mengi na ndege lakini bado wamekosa control.
 
@britanicca
 
Uvamizi wa Urusi Ukraine umehamasisha Finland kujiunga na NATO . Asilimia 76 ya raia wameafiki nchi kujinga na NATO haraka iwezekanavyo.

Finnish support for joining NATO has jumped to a record 76% in the latest poll as Russia’s invasion of Ukraine pushes the non-aligned Nordic nation closer to the defense pact.
Support for the North Atlantic Treaty Organization is up from 62% in March and from 53% in February, according to a poll published by Finland’s public broadcaster YLE. The survey of 1,270 respondents showed that 12% of Finns oppose NATO membership, down from 16% in March and 28% in February.
 
Wakijoin NATO muje mututag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…