britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Unadhani Putin atakwambia ukweli? Kama Kwa week 2 alikiri kupoteza 1500 je Sasa Hivi week ya 10 ni wangapi hahaPutin mwezi march alikiri kupoteza askar 1,500. Najua hii figure sio ya kweli, na hata hiyo alotoa Ukraine sio ya kweli. Ila ninachofahamu ni hiki, Russia aliingiza zaidi ya askari 150,000 ktk hii operation, walipofika kyiv kikosi kizima kilirudi nyuma kwa kasi ya ajabu mno. Askari 1,500 ni aslimia 1 tu ya kikosi kilichoingia ktk hii operation, sasa asilimia 1 ndo ikufanye urudi nyuma kwa kasi? Hapo ndipo naamini Russia ilipoteza askari wengi saana kiasi ikaona tishio, ikaamua irudi nyuma tu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ee nakumbuka kisha Miss flan hivi wa Kenya babe baby, akadai me najikuta mjuaji.
Hizo rate ziko hivo US ila EU ndio balaa zaidi. Raia wanadanganywa na Viongozi wao eti yote kayasababisha Putin.
Sasa Putin huko US anahusika vipi, kwani Putin ashawah kugombea Uraisi huko Washington?
Kinachofurahisha hapa aliyezungumza hivo ni "mwakilishi wa Raia".. ila hapa kuna Pro US ambae matembezi yake marefu zaidi alowahi fanya maishani mwake ni pale kwenye picha ya Askari kule Posta atapinga kila kitu huku akitoa reference za "Marvels Movies" [emoji847]
Ukorofi huo Mwamba 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kinachofurahisha hapa aliyezungumza hivo ni "mwakilishi wa Raia".. ila hapa kuna Pro US ambae matembezi yake marefu zaidi alowahi fanya maishani mwake ni pale kwenye picha ya Askari kule Posta atapinga kila kitu huku akitoa reference za "Marvels Movies
Ushiriki wako ndani ya JFHabari wanajamvi,
Katika uchunguzi nilioufanya wa nyuzi zipi huwekwa kwenye timeline ya jamii forums App na kuonekana kwa watu wengi zaidi, nimegundua issue ya Trophy points
Kwa sababu members wenye trophy points 2000 kama vile wakina Bujibuji Simba Nyamaume ,Smart911 ,Mshana Jr ,Invisible na wengine wengi, nyuzi wanazozitengeneza zimekuwa zikipata replies nyingi zaidi na kuonwa na watu wengi pia ukilinganisha na members wenye trophy points chache kama mimi ambao nyuzi zetu huonwa na kuchangiwa na watu wachache!
Kwa wale wazoefu, hizi trophy points ni kitu gani? Na ni kipi kinachopelekea kuongezeka kwa hizo trophy points?
Umenifurahisha kwa aya hiyo Mkuu wangu.👏👏👏Ukorofi huo Mwamba 😂
Asante kwa jibu. Kama mambo yangekuwa jinsi unavyosema, ingekuwa rahisi zaidi kumaliza mgogoro. Ila upande wa Ukraine si Marekani au EU wenye mamlaka, ni siasa ya Ukraine penyewe.Pale Mwanzo nilikuwa naamini hivyo but now kaka ni vita ya Marekani ,NATO ,uulaya Vs Russia.
Ukraine ni mhanga tu kwasasa,hii ilikuwa inakuja tu ilionekana since Putin alivyochukua kijiti cha uraisi .
Mwisho ya hii vita haitakuwa na mshindi Kati ya Russia Na USA ila Ukraine ndio hataweza tena kusimama atakuwa kama Iraq, Libya na Silia
Je ulijaribu kuchangia kwa Kiingereza au kwa lugha gani???[emoji1099]=son's of bitch
Onyesha chanzo kamili (URL). Jinsi ilivyo inaonekana kama propaganda tupu.Someni hadi mwisho... From Ukrainian Channel. Inatia huruma mno.
#Inside
Our source reports that the "new" Minister of Agrarian Policy and Food, the ex-people's deputy from the Servant of the People, Nikolai Solsky exports agricultural products abroad.
This year, the sowing campaign will fail, and by the autumn Ukraine will face a food crisis. But instead of keeping the goods inside the country, wagons with food are exported.
And it's not just about paying for American Lend-Lease products, but also about the criminal desire to make money during the war.
Mykola Solsky and the agricultural enterprises controlled by the official are in the TOP-100 latifundists of Ukraine.
The official-businessman manages companies in 4 regions of the country, owns elevators, and most importantly, the transport railway company Promvagontrans, which has 400 grain carriers at its disposal.
While still a deputy, Solsky became one of the developers of the "Law on lifting the moratorium on the purchase of state lands." In fact, the law allows Ukrainian fertile lands to be auctioned off.
According to our information, the ministry is already preparing amendments that will allow foreign investors to buy fertile land.
As a result, Ukraine will finally turn into a raw material appendage of Europe with the tacit consent of the country's leadership.
Naomba tuache lugha ya ushabiki bila akili. Ukraine haiwezi kufika Moscow kamwe. Ni lugha ya kitoto. Inatosha kama marafiki wa Putin wanatuletea hapa mambo ya kitoto, inatosha kabisa.Kweli kabisa mkuu na mpk Sasa Ukraine ineshachukua maeneo mengi Sana ndani ya nchi ya Urusi,Jana Putin ameshinda anampigia simu Zelensky akimuomba asiende kuikamata Moscow.
Slava ukraine Slava ukraine Slava ukraine.