Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1545][emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alitembezewa kichapo Kikali ambacho huku longido tunaita "Masaka"
Unajua ni maridhiano gani Ukraine na Russia waliridhiana wakati operation inaendelea ukrein.na moja ya masharti ilikuwa ni russia kuondoa/ kupunguza mashambulizi katika Kyiv na Russia wenyewe wakaondoka Kyiv wakamia mashariki mwa ukraine baada ya Ukraine kusema haitajiunga na NATO. ambalo hili lilikuwa moja ya sharti la Russia kabla ya kuanzisha operation ndani ya nchi ya Ukraine
 
Jitahidi kushiriki kila unapoguswa na Mada flani na ujue namna nzuri na bora ya kuwasilisha Mada/Nyuzi (Threads) zenye Akili na Mashiko ili wadau waweze kushiriki vizuri kwa kutoa michango yao.

In no time; Utajikuta Kileleni umeketi na Wakuu.

Try hard and be a Great Thinker. It is possible.

Watch, Learn, Discuss & Enjoy! 😊
 
Nimefurahi; Haya ndiyo Maswali ya Msingi:

1. Kwa wale wazoefu, hizi trophy points ni kitu gani?

2. Na ni kipi kinachopelekea kuongezeka kwa hizo trophy points?

Naomba kuongezea...

3. Ikiwezekana naomba kujuzwa kwanini zikishafikia na kutimia 2,000 haziongezeki?

4. Je, zinaweza kupungua? Kama ni ndiyo, nini member atakachofanya kitakachopelekea kupungua?

Naomba kuwasilisha, Ahsante.
 
Utajikuta kileleni.
 
Vile vikamikaze drone uchafu tupu
 
Sweden atapigwa na uingereza hatafanya chochote zaidi ya kelele shoga hana nguvu
 
Lakini nikiangalia hapo kwenye ramani naona ni nchi zilizokuwa shirikisho la urusi tu, sijaona ulaya ikiguswa labda kama kwenye ramani wameamua kufupisha mchoro wa bomba
Lakini nikiangalia hapo kwenye ramani naona ni nchi zilizokuwa shirikisho la urusi tu, sijaona ulaya ikiguswa labda kama kwenye ramani wameamua kufupisha mchoro wa bomba
 
Mrusi zaidi wewe ,ulaya wameanza kutafuta altenative. Unafikiri ulaya ni Tz .Mnasubiri akili za waziri wenu which has no long term solution. Mafuta yakipanda nao wanalialia kama mimi
Hapo unajiona mzungu hadi unaidharau nchi yako. Unajua ni vikwazo kiasi gani wanakumbana navyo viongozi wetu kutoka kwa hao mabwana zako unaowashabikia?

Huwa wanauwawa,kupinduliwa na kudhalilishwa pale wanapokwenda kinyume na matakwa yao. Rejea yaliyotokea karibuni huko Africa magharibi. Ufaransa wakiwa vinara wa mapinduzi. Lakini alipoingia Mrusi umesikia tena mapinduzi?

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…