Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Soma hapa, then niambie NATO alifanikisha jambo lake lini, Kama kweli kichwani uko vizuri[emoji16]Jibu swali mbona unakwepa kijana...
NATO wametumia mda gani Afghanistan tangu waivamie wakidai kuna magaidi?
Jibu swali kama lilivo, sijauliza kuhusu nguvu zilizotumika nimeuliza mda uliotumika.
Stick to the Question plz
Jibu kile ulicho ulizwa, au umeishiwa hoja ndugu yetu tukusaidie. Wametumia miaka 20, haya mjibuni swali lake la pili kuhusu hiyo Time frame ya Operation ya Russia kama mnayo ambayo mnaitumia kutoa reference kua Russia kashindwa Operation yake.Swali lako linategemea na nguvu ama ukubwa wa operation/vita.
It's different kwenye hizo operation,
Wajiandae zaidi kabla hawajafilisika ..Wanapita kama hawaoni
Unawalisha maneno Warusi ni wapi na lini wamewahi kusema atakayepeleka silaha cha moto atakiona!?
Putin alisema atakayeingilia meaning kupeleka jeshi lake ukraine atapigwa na kitu kizito sio uk wala us aliyethubutu kupeleka jeshi likapambane. Kupeleka silaha tena silaha zenyewe changa na za zamani sio kuingilia (military interference). Kama unataka kujua kuingilia ni kukoje tizama urusi alivyoingia Syria kule ndio kuingilia sasa. Au american intervention ya korean war. Hapo ukraine mpaka ss hakuna aliyeingilia
Us Uk wana silaha za kisasa na zenye nguvu kubwa kama kweli wana nia ya kutoa msaada kwa Zelensky kwa nini wasipeleke silaha hizo ukraine!? Air defense systems eg. Patriot, THHAD. fighter jets F16 F18 F22 F35. cruise missiles kama matom hawk nk black hawk helicopters wapeleke mpaka manowari au nyambizi strategic bombers etc unapeleka javelin wakati nchi inapigwa makombora ya iskander na mahypersonic ndio zitasaidia nini!?
UK kwa Urusi ni mchumba tu hamuwezi kivyovyote sio majini ardhini angani popote pale ni kama comoro kwa tanzania. Ndani ya sk 200 tu urusi anaweza shusha kitu kizito hapo london ikabaki historia
US hapigani vita vya kipuuzi kama vya SyriaNAKAZIA baada ya Russia kuingia syria US na vibaraka wake walikimbia.
Soma hapa uelewe, kwenye hiyo miaka 20 wamefanikisha Jambo lao ama vipi? Na kwa muda gani walifanikisha?Jibu kile ulicho ulizwa, au umeishiwa hoja ndugu yetu tukusaidie. Wametumia miaka 20, haya mjibuni swali lake la pili kuhusu hiyo Time frame ya Operation ya Russia kama mnayo ambayo mnaitumia kutoa reference kua Russia kashindwa Operation yake.
Mkikosa majibu mnaanza kejeli, rudi kwenye swali, sijakuuliza kuhusu objectives... nimekuuliza wametumia mda gani Afghanistan... toa jibu la number tu as short as possible... maelezo mengi ya nini jombaSoma hapa, then niambie NATO alifanikisha jambo lake lini, Kama kweli kichwani uko vizuri[emoji16]
Maana inawezekana hata huelewi kwanini walienda Afghanistan, na hujui walifanikisha malengo ama vipi,View attachment 2221435
urusi uwezo wa kumpiga uk hana kashindwa kuimaliza ukraine mwezi wa tatu huu itakuwa uk ambaye ameshawahi kutawala robo tatu ya dunia? na ambaye ana ugunduzi mwingi duniani tena wa kutisha tunaousoma toka primary? mbona silaha za uk za msaada zinaharibu vifaru vya urusi na hana la kufanya, halafu urusi anatishia nyuklia as if anayo yeye wakati uk us na canada kupitia manhattan project walishakuwa na hizo kitu kitambo tu na live test ikafanyika japan na urusi mwenyewe kapata ujuzi wa nyuklia kwa wizi wa taarifa from us.
Kabla hata vita havijaanza Nato walishasema hawatopeleka majeshi yao ukraine kwa kuwa hiyo itakuwa ni direct confrotation na russia na kwa kuwa tupo kwenye civilized world hawataki hilo litoekee.
Hivi huyo urusi si meli yake maaufu imelipuliwa na kyev si katimuliwa?
Russia kama ana ubavu avamie NATO members
Huko syria mpaka sasa us yupo ananyonya tu oil
Hawana majibu, wanaanza kejeli eti soma hapa kama una akili, is that what I Asked? Na huyu ndie aliyekimbia kuku'qoute jana ati Pro Russia tuna Matusi.Jibu kile ulicho ulizwa, au umeishiwa hoja ndugu yetu tukusaidie. Wametumia miaka 20, haya mjibuni swali lake la pili kuhusu hiyo Time frame ya Operation ya Russia kama mnayo ambayo mnaitumia kutoa reference kua Russia kashindwa Operation yake.
Kuna muda unajiuliza US amewapa limbwata gani hao watu wa EU, nchi kama Germany ilikua inakua vzr kiuchumi pale ulaya, lakini from no where wanagombanishwa na urusi ambaye ni supplier wa bidhaa muhimu ya mishati kwenye uchumi wa Germany. Sio kwamba Germany hawajui, wanajua sana kinachoendelea ila wanatii maaamuzi ya US... hii ulaya ya saizi ni ya mchongo.
Medved alisema last month kua, ulaya watalazimika kuishi na makombora ya nyukilia mlangoni ikiwa Finland na Sweden watajiunga Nato, Russia wanaona kua ili wawe salama ni lazima nao wasogeze adui mlangoni kwao kama wao wanavyosogezewa. Natamani hatua kama hizi US azipate kama ilivyokua kwa Cuba miaka ya 1960s..
Russia aanze kufund vikundi vya wahuni pale mexco, Venezuela na cuba.. nna uhakika watakaa meza moja tu ku bargain.
Sasa hujaona majibu kwenye hiyo article bro.. acha masihara[emoji1787]Mkikosa majibu mnaanza kejeli, rudi kwenye swali, sijakuuliza kuhusu objectives... nimekuuliza wametumia mda gani Afghanistan... toa jibu la number tu as short as possible... maelezo mengi ya nini jomba
mwezi wa tatu huu mambo ndo kwanza yapo fire na hii ngoma haiishi leo wala kesho na misaada kama yote kwa ukraine, urusi kyeiv keshakimbia, meli zake zinalipuliwa, vikwazo vya uchumi vinaongezeka, china, india, brazili wawana msaada wowote wa maana india mjanja sana huyu kanunua mafuta ya russia kwa bei ya promotion yaan ndo utajua kweli india means business wakati mwenzie ana shida kapiga hapo hapo kwenye mshono, makampuni ya china nayo yananza kujiondoa russia aisee kuna mtu anatema bungo muda si mrefu.
Sijakutukana ndugu.. I do believe kichwani uko vizuri so unataka kunifanya nikuone ndivyo sivyo kwa kushindwa kuelewa hiyo article, imeeleza vyemaHawana majibu, wanaanza kejeli eti soma hapa kama una akili, is that what I Asked? Na huyu ndie aliyekimbia kuku'qoute jana ati Pro Russia tuna Matusi.
Toa hoja kwa lugha safi tukuone umestaarabika. We all know it zaidi ya vile unavojaribu kupindisha uhalisia.Soma hapa, then niambie NATO alifanikisha jambo lake lini, Kama kweli kichwani uko vizuri[emoji16]
Maana inawezekana hata huelewi kwanini walienda Afghanistan, na hujui walifanikisha malengo ama vipi,View attachment 2221435
Tunachosema sisi ni kwamba, Russia objectives zake kafanikisha ama bado? Kwanza sidhani hata Kama mnajua malengo yaoToa hoja kwa lugha safi tukuone umestaarabika. We all know it zaidi ya vile unavojaribu kupindisha uhalisia.
View attachment 2221449
Rejea kwenye maswali yaliyoulizwa uyajibu kama yalivyoulizwa.
The Ruble or sometimes Rouble sio Fiat currency mkuu ndio maana,and it will continue to do better.Soma hii 👇mkuu,utapata a very good picture of what is happening with the Russian Ruble/Rouble.Mtandao wa Yahoo News watoa ripoti yake kuhusu pesa ya Russia...Mtandao huo wasema pesa ya Russia (Ruble) ndio sarafu inayofanya vizuri zaidi dhidi ya dola ya kimarekani kuliko pesa za nchi zoote Duniani, kwa sasa, pamoja na kuwa Russia imewekewa vikwazo kedekede
View attachment 2221425