Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Akiri za kiambiwa changanya na zako
Twenty European natural gas buyers have opened accounts with Gazprombank so they can pay in rubles, a person close to Kremlin-controlled energy giant Gazprom told Bloomberg.
Kuna Nchi 44 Europe na kati ya hizo 27 ni EU members. Kati ya hao Eu members 21 ni wanachama wa NATO. Sasa tutajie hizo 20 ni zipi kuna kitu nataka kuona.
 
Ok...vipi kuhusu hoja nyingine tukiachana na Hilo la lab..
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 umeona vile nilivyo kushika eeh!? Tukiingia kwa hoja ya Nazis, hivi unajua wako wengi Russia kuliko Ukraine. Tukiingia kwa Crimea,, unajua hilo eneo historically lilikua la Crimean Tatars ambao waliondoka kwa awamu mbili.

~Kwanza wakati Russian empire ilipo annexe sehemu hio kutoka Turkish empire
~Pili 1945 wakati Joseph Stalin alipowafukuza
 
Hilo la UN acha...ni chombo ambacho kinatumika tu ..
Hata hata Kama huko Dinbass hawajafa warusi tu hiyo haiondoi ukweli kuwa warusi wengi walikufa
UN ni chombo Cha hovyo tu kiko biased
 
Katika hoja zote hakuna hata moja uliyonishika ikiwemo hiyo ya lab...nitarudi baadaye ngoja nimalizie shughuli yangu kwanza
 
Nimekua nikipitia mijadala ya hapa na kule sehem tofauti tofauti, nilichogundua kuna makundi ma4.

1. Kuna kundi la kwanza Mahaba niue kwa Western,

2. Kuna kundi la pili Mahaba niue kwa Russia na wenzake kutoka Mashariki.

3. Kuna kundi ambalo halipendezwi na matendo ya US na vibaraka wake, hawa wakizungumza huelekezwa upande wa Russia.

4. Kuna kundi ambalo halipendi ugonvi, kwao wao anayepigana hafai.

Hili kundi hujikita kukemea upande mmoja wakijikuta wanaegemea upande wa mnyonyaji mwingine hivo kuonekana kama wapo kundi la kwanza nililolitaja.

Tofauti ya mitizamo katika haya hayapo hapa JF pekee, I think ni duniani kote. Japo kiubinadam mihemko ipo huwa tunateleza hapa na pale ila tusiache kujitahidi kutumia ulaini wa maneno tunapojadiliana.

What's interesting me much ni kua baadhi ya kundi la 3 wanapatikana magharibi. Also kuna kundi la kwanza pia lipo mashariki katika nchi lengwa kama Russia na China.

Why am saying this?, Someni hii comment chini kutoka kwa wachangiaji wa mada kama hii huko Quora Kama maaandishi madogo nitayaandika.

Wa kwanza alisema kua yupo tayari kushindia uji but sio kutumia bidhaa kutoka Russia zilizofunikwa na dam ya Ukrainians.

Aliyemjibu kamjibu maelezo which I think nikiyafasiri yatapoteza mvuto. So I will write it as its Yet you had no problem eating Ukrainian cheese while Nazi Kiev murdered over 14000 Russian Ukrainians in the Donbas. You don't leave the EU when France and the UK along the US turned Libya, which had the highest standard of living in Africa into a country with open air slave markets. You stood by the EU when it bombed Serbia into the ground. You did nothing as West murders and help murder Syrians, Yemen, Afghanis, Iraqis, I could go on. Nazi sympathizing, brainwashed, racist bigots like yourself make me sick.

From his words I can understand why majority fell in Third category. Mfano, Hadi sasa mauaji kwa Palestinians yanaendelea Dunia ipo kimya as if nothing going on.

Ni juzi kuna mwandishi wa al Jazeera kapigwa Risasi ya kichwa hapo Israel akichukua matukio but Large MEDIA don't mentioning that.

Those two Guy are all from Germany, kama kuna wadau wanatumia Quora Platform humu JF, mnaweza fatilia mijadala nje ya hizi social network tulizozizoea.

To sum up, Naona ni kua tunatofautiana understanding of the situation sio geopolitical location.

Catg1... Can't receive any info against their beloved Westerners.

Catg2... Can't receive any info against Russia.

Catg3... These are true to themselves, Open minded unfortunately they are viewed as Pro Russia since they do not support Ukraine.

Catg4... These are hypocrites, I think its okay for them not to support Russia but siding with another aggressors is another problem. A kind special hypocrisy in demand [emoji3]

Nawasilisha.
 
Hilo la UN acha...ni chombo ambacho kinatumika tu ..
Hata hata Kama huko Dinbass hawajafa warusi tu hiyo haiondoi ukweli kuwa warusi wengi walikufa
UN ni chombo Cha hovyo tu kiko biased
Kaka wale waliokufa Donbas sio warusi bali Ukrainians wenye asili ya Russia. Mfano kwetu hapa Tanzania Zanzibar ijitenge, then kule Zanzibar waanze mauaji ya watu wenye asili ya huku bara.

Linyanyuke jeshi la Tanzania kwenda kuwatetea, Kenya Uganda na nchi zingine zote Africa ziingie Zanzibar kupigana na sisi huku bara.

What most people don't understand, Western sio kwamba hawajui Ukraine kuna Nazis, they know it but its Russia whom they after. So we can see they are ok calling Azov as far right not Neo-Nazis as they were used before.

In my view, this is not about Ukraine but an attempt by west to destroy Russia.

I can't force anyone to think or have same perspective like me. We are free creatures, every one can take a side He/She desires.

NB: Even evils gotta soms people among us to defend. Kila kundi halikosi wafuasi no matter liko sawa au si sawa.
 
Nikisoma vema, bado Uswisi inazuia € bilioni 6 kutoka bilioni 9 walizozuia awali. Angalau 2/3. Warusi wakiendelea kushinda kwa matokeo hayo . . .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…