Binadamu tunahitaji common enemy ili haya mawazo ya vita vya kuua binadamu ili kuwe na furaha yatutoke. Labda gonjwa fulani hivi hatari sana, Au AI errors kama kwenye movies za utotoni za terminator au Alliens anything cha kutuunganisha Wazaramo na wa North korea.Kuishi duniani haitakiwi kupingana na uhalisia, Maisha yanakuwa matamu ukiukubali
uhalisia na kuukabili bila kinyongo.
Vitu vyote unavyoona sijui mataifa kupambana kuwa na technology kubwa, kuwa na uchumi
mkubwa kuwa, kuwa na elimu kubwa mwisho ili washinde vita na si ili tuishi kwa raha mstarehe.
So maisha ni vita.
Kuna matatizo ambavyo toka dunia ianze hayajawahi kukwepeka.Binadamu tunahitaji common enemy ili haya mawazo ya vita vya kuua binadamu ili kuwe na furaha yatutoke. Labda gonjwa fulani hivi hatari sana, Au AI errors kama kwenye movies za utotoni za terminator au Alliens anything cha kutuunganisha Wazaramo na wa North korea.
Dunia inafurahisha[emoji81][emoji81][emoji81]nmecheka sana.warusi wame telekeza vifaru vingi sanaView attachment 2133760
Ni kweli. Lakini pia binadamu hatujawahi kuwa na common enemy wa muda mrefu ndio maana adui wa binadamu anabaki kuwa binadamu.Kuna matatizo ambavyo toka dunia ianze hayajawahi kukwepeka.
Vita, umasikini na maradhi.
Kumbe sasa kwanini walikuwa wanaficha ukweli muda wote huo“Since the launch of the operation, [Russian military] has destroyed 254 tanks and other armored combat vehicles, 31 aircraft on the ground, 46 multiple launch rocket systems, 103 pieces of artillery and mortars, 164 pieces of special military vehicles,” -Konashenkov stated( Russian defense ministry spokesman).
:- yesterday
You are already disappointedSina mashaka na Vladimir Putin.
He knows what he is doing and I trust he isn’t going to disappoint me.
UN inazo siasa za kihuni. Hiki kinachofanyika na Russia kina tofauti gani na kilichofanyika na USA nchi nyingi tu na hawajachukuliwa hatua yeyoteHuko hamna siasa za kikanjanja ni uhalisia..
Russia angekuwa UN bila hata kuwepo kwake soviet, kama china, France na mataifa mengine.
Kumbe sasa kwanini walikuwa wanaficha ukweli mu
UN ni njia ya kubalance power kwa wakubwa ndio hiyo kura ya veto kulinda maslahi yao.UN inazo siasa za kihuni. Hiki kinachofanyika na Russia kina tofauti gani na kilichofanyika na USA nchi nyingi tu na hawajachukuliwa hatua yeyote
mkuu uweunatupiamo na link ya habari au attachmentMagazeti ya leo Pakstan na Indonesia.
Mataifa ya magharibi na NATO wahaha wakosa usingizi, Ukraine wasaga meno Urusi Apeta
Umeelewa??Kumbe sasa kwanini walikuwa wanaficha ukweli muda wote huo
Mnaenda mbele na kurudi nyuma au[emoji81]izo miles zina panda na kushukaFoleni ya umbali wa maili 3 ya magari ya Jeshi la Urusi yanaelekea Kiev
Hali inazidi kuwa mbaya huku
Binafsi naona bora Urusi amalizane na Ukraine ashindwe mapema au ashinde mapema.Foleni ya umbali wa maili 3 ya magari ya Jeshi la Urusi yanaelekea Kiev
Hali inazidi kuwa mbaya huku