babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,949
- 6,754
Eti taifa teule[emoji28]View attachment 2223301
Polisi Israel wanawapiga waombolezaji wanapemda kumzika Mwandishi wa habari aliyeuliwa Kwa risasi na polisi wa Israel .... Lakini dunia IPO kimya tu.
Dunia ipo kimya as if hilo tukio limetokea mbinguni. Kuna watu wanadai hawana upande humu wanakemea uonevu haijalishi nani kafanya. Lakini hadi sasa sijamskia hata mmoja wao kukemea. Huo tunaita ni unafiki mkubwa.
So they want us to stand with Ukraine, je Palestine and other Victim duniani kote sio watu? Don't they need our attention? Ukiwa mbaguzi ukubali kubaguliwa.
For those who weren't aware why Middle east wote are standing with Russia hivi sasa we bet majibu mnayo.
Na wenzako wanasema estimates wewe unakuja kusema actual nyie mna kamasi kichwani .sio ubongo huo .... Ubongo hauwezi kufikiri hivyo mfikiriavyo....Akili yako fupi. Majeshi huwa hufanya upelelezi kabla ya kushambulia (Kujua aina ya silaha, idadi ya Askari, idadi ya silaha nk) na hizo information hukusanywa kwa njia mbalimbali (informer, spy drones, nk) sasa unapopewa data kama hizo wala usishangae sababu ni jambo la kawaida sana
Wanajiamini kipitiliza.Russia hana uchumi mzuri usimlaumu mkuu wa jeshi la anga. Russia anategemea mikwara na kupigana vita za kina Syria na Libya ila mataifa makubwa yanamtoa jasho. Wala wasiwasi wangu juu ya uwezo wake haujaanza vita hii, ule upinzani wa Uturuki waliouonesha pale Libya, Syria na Azerbaijan dhidi ya Russia nilianza kuwa na wasiwasi na silaha za Urusi.
Mkuu si unakumbuka Ukraine ilienda mbio kununua hizo Bayraktar TB2 baada ya kuona kila zinakokutana na silaha za Mrusi zinapiga. Uzuri wenzetu wanafanya analysis hawasikilizi propaganda, Urusi miaka yote huwa inalaumu wale iliowauzia silaha kwamba hawafanyi training vizuri na maintenance ndio maana wanafeli ila hii hapa yenyewe inashindwa kuzitumia effectively.
Russian airforce zile fighters zao walizifunga electronic jamming pods ila zikawa zinadondoshwa kama kawaida. Technology yao sio kubwa sana
Hivi Marekani kweli atatoa huduma zote hizi kwa nchi za ulaya, naona ulaya akipigwa na kitu kizitoRussia yaikatia umeme Finland leo hii jumamosi...ni baada ya Finland kutolipia umeme wa mwezi huu May hadi sasa
Mwaka huu tutafahamu ukweli mwingi kuhusu Russia, kumbe Russia ni TANESCO ya nchi nyingi tena za maana huko Ulaya
View attachment 2223731View attachment 2223732
Mpaka nitakapo pata taarifa from independent sources,to me this will remain fake news for now.Urusi imepoteza magar na vifaru vyote vilivyokua vikiingia Donetsk, hali ni mbaya haijabainika ni wanajeshi wangap wa Russia wamepoteza maisha ,ila lilikua shabulio baya
- Russian battalion lost almost all of its armoured vehicles in a failed attempt to cross a river near Severodonetsk in eastern Ukraine, the UK says
- Images from the scene show dozens of burnt-out tanks after Ukrainian forces shelled pontoon bridges across the Siversky Donets in Luhansk region
- The UK's Ministry of Defence says the incident reveals the pressure Russian commanders are under to make progress
- It isn't clear how many soldiers were killed in the battle, but Moscow's forces appear to be making gains elsewhere in the area
Inakadiriwa Zaid ya wanajeshi 1000 wa Russia wameuwawa kwenye shabulio hilo
Source BBC,aljezer
Urusi wametangaza wamekufa wangapi?Ilo eneo linamilikiwa na warusi.ili ujue watu elfu 1 wamekufa ni lazima uwepo eneo usika.sasa ukraine amejuaje kama wamekufa elfu 1 wakati ajaenda hata eneo la tukio.
Big propaganda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Russia keshadundwa huko kharkiv mpaka kaiachia kala kipigo cha mbwa koko yaan ni mwendo wa kutema viazi vya moto huku wanapigwa ambush za kufa mtu kweli urusi supachawa tena wa mchongo.Resources zote za Russia zitaguswa safari hii,Hadi kufikia December Putin atazidi kuchoka kwasababu nchi yake hivisasa IPO busy na vita, hujuma ndani ya nchi yake, vikwazo vya uchumi na ugonjwa wake WA cancer....
Kwa kifupi huyu Fala kuingia choo cha kike bila kujua
Sasa hiyo idadi ya wanajeshi buku mmeitoa wapi .... Bora akili zimeanza kukukaa MAHALA sahihiHakuna anayejua wanajeshi wangapi waliuawa kwenye madaraja hayo. Ila kutokana na picha nilizoona ni dhahiri battle group hiyo iliharibika, idadi ya vifaru na magari ni kubwa mno.
Kuhusu makosa ya kijinga - hapo Urusi imeshaleta mifano kibao.
Ninahisi yako pia upande wa Ukraine , ila wako wazuri zaidi kutangaza mafanikio yao.
Wanakulana vichwa pole poleWamarekani wa humu JF wanajua aliyekufa ni muarabu muislamu. Hivyo wanashabikia. Ukweli aliyekufa ni muarabu mkristo. Baada ya kulijua hilo,wamejikuta kwenye tahayari,taifa wanaloamini kwao ni takatifu ndio linawaua
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Hawa jamaa bwana .....wanaongea hiki ukiwabana wanahama wanabadili stori ....Mkiona idadi haieleweki mnajifanya hakuna anayejua idadi, enhe hawa BBC waneitoa wapi View attachment 2223556
Ushenzi sana. Si mara ya kwanza Israel kuua. Huwa wanaua.
alisikika bektatu mmoja wa Gongo la mboto akipayukaRussia keshadundwa huko kharkiv mpaka kaiachia kala kipigo cha mbwa koko yaan ni mwendo wa kutema viazi vya moto huku wanapigwa ambush za kufa mtu kweli urusi supachawa tena wa mchongo.
Kaa kwa kutulia vita wewe mshikaji vita ina ethics zake ambazo zingine zinaibuliwa ndani ya uwanja wa medani ( battle field ).Unaposema "US mwenyewe" unataka kutuaminisha kuwa USA ni bora sana!!!?
Ikiwa umejiaminisha hivyo,itakuwa movie za kimarekani zinakuhadaa sana. Marekani popote anapokwenda anakuwa na mabaunsa wake. NATO.
Akisogeza pua peke yake,na asitumie silaha za maangamizi basi hata JWTz wanawakalisha. Kama wasomali walivyowafanya.
Ndio sababu hataki nchi zingine ziwe na silaha za maangamizi,kwani ubabe wake utatamatika. Na kutokana na unyama na wizi aliowafanyia wengine,wangemfuta kwenye ramani ya dunia
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Sidhani Kama kuna kuchezeana akili hapo.
Me nadhani Urusi bado anatumia tactics za Ww2 kwenye hii vita akisahau Kama Ukraine walikua wakipatiwa mafunzo na NATO toka alipoichukua Crimea.
Hivi unakumbuka ule msafara wa Urusi wa 64km uliokua ukielekea Kiev?! Unatumaje msafara mrefu vile bila kua na air cover?! Hatima yake ni nini?! Si ule msafara wote uliharibiwa na Ukraine Kwa Javellin na NLAW za Ukraine alizopewa na Marekani na Uingereza,had warusi wakachanganyikiwa ikabidi wabadili mawazo waachane na Kiev waende kule South ambako walikua wapo kabla hata ya Vita kuanza.
Sasa Leo tena wamejirundika hapo na mavifaa kibao bila hata air cover matokeo yake battalion nzima imeliwa kichwa. Na sasa hivi Ukraine imepewa hizo artillery na nyingine ziko njiani sitashangaa nikiona warusi wakifurushwa mpaka hayo maeneo waliyoteka,mfano ni Kharkiv kule Ukraine wamewarudisha warusi karibu kabisa na mpaka wao (mpaka wa Russia) na wamechukua maeneo na vijiji kadhaa ambavyo vilikua chini ya Urusi na bado wanasonga mbele.
Amani ikitafutwa unaita wanayoitafuta wanyonge. Ww hutaki turudi kwenye maisha ya kawaida yasiyohusisha kisingizio cha vita vya Ukraine?MAREKANI YAKUBALI UNYONGE KWA RUSSIA.
Wizara ya Ulinzi ya marekani, imefanya mazungumzo na waziri wa Ulinzi wa russia hivi leo.
Waziri wa Ulinzi wa russia hakutaka kuipokea simu hiyo na baadae watu wa karibu yake wakamshauri aipokee na sikilize marekani inataka nini.
Waziri wa Ulinzi wa Marekani alimuomba waziri wa Ulinzi wa russia kusitisha vita na kufanya mazungumzo.
Mazungumzo haya ni mara ya kwanza kufanyika yaliyochukua muda ya lisaa limoja.
Marekani inafanya hivyo kuepusha mapigano kati yake na russia huku ukizingatia nchi zote mbili zina miliki nuclear.
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Kaka jamaa alitumia sarcasm kuwajibu PRONATOAMERICA ..... kama vile anawakubalia upumbavu wao Kwa kuwaauliza maswali wanayokubaliana nayo kama ni kweli ama la.Samahani KUNA TANK inachukua hata askari 10?? Achilia mbali hao 72 vp Gari linaweza beba hao watu kwa pamoja.