Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kitakacho fanyika Ukraine ni ile wanasema ukiwa unampiga paka ndani ya nyumba acha upenyo kidogo mlangoni ili paka apite hapo kukimbia. Maana ukifunga milango yote huku ukimtwanga na rungu huyo paka anaweza kukujeruhi. Wataalam wa mambo ya migogoro ya kimataifa pekee ndio wanao weza kuelewa hili nililo andika.

Maadam Magharibi wameingia bila kificho kumsaidia Ukraine kamwe Russia hawezi kushinda vita hii, Putin mwenyewe anajua. Kitakacho fanyika ni kutafuta namna Russia atoke Ukraine bila kudharilika sana, vinginevyo Putin hatakubali.
 
Kweli aseee ...Urusi kapoteza Kharkiv .... Yaani wamechapika vibayaaa mnooo .....
 
Finland na Sweden zitajiunga na NATO tena mapema Zaid...

Erdogan emekataa kwa sababu zake binafsi
Edorgan yupo Istanbul anasema hawatajiunga na yeye ana kura ya veto kuzuia hilo

Wewe hapa msambichaka unasema watajiunga na kura yako ya veto inakupa kiburi si ndio?

Hii vita ya Omary na Edorgan huko NATO inavutia.
[emoji1787]
 
Sasa wewe na biibiisiii nani wakuaminiwa zaidi MKUU
maana biibiisii mmetangaza majeshi 1000 mmewakata vichwa
Ila hongera zenu[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa unawapinga sana wenzako PRONATOAMERICA ..... Tunachowaaambia wanakataaa unakuja kuwapapasa na kuwachua vizuriiii kuwa hali halisi ikoje.......
 

Putin hana muda mrefu wa kuendelea kuwa madarakani.....soon kuna mabadiliko ya utawala yatatokea na Kiongozi mpya atakayeingia hawezi kuwa na siasa kali kama za Putin maana russia ipo hoi kwa sasa ili kuwaplease wananchi kiongozi atakayeingia atajikuta hana budi kukubaliana na masharti kadhaa ya jumuia za kimataifa.

Kwa kifupi upo sahihi Putin hii vita hashindi hata afanyeje. Kadiri muda unavyokwenda ndivyo russia anazidi kupoteza Kyiev alishafurushwa, leo Kharkiv kafurushwa jana platoon yake nzima wamekufa kifo kibaya yaan ni majanga baada ya majanga.

Yaan muda unavyozidi kwenda hakuna advancement yoyote ya maana Putin anayofanikiwa na ni kama vile kategewa kadiri muda unavyoenda ndivyo anavyozidi kupewa kichapo taratiibu na anajikuta hana namna lazima arudi nyuma.
 
Nonsense
 
Sasa wewe na biibiisiii nani wakuaminiwa zaidi MKUU
maana biibiisii mmetangaza majeshi 1000 mmewakata vichwa
Ila hongera zenu[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una inquisitive mind na umetake side sio vibaya ukatuonesha weledi wa jeshi la urusi huko ukraine. Kuna watu tunapenda mambo ya vita ( fond of war story ).
 
Hii kauli ya FSB kuhusu majeshi buku kuuliwa niyamuhimu sanaa
RTI achana na propaganda za hao wapuuzi wapuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naeka kituo hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay. Unaweza kunitajia tangu USA iwepo kwenye uso wa dunia imewahi kushida vita gani!? Nami nitakutajia vita iliyoshida Russia.
Sijaelewa bado nia yako mlokoz, unataka mm niwe upande wa USA na wewe uwe upande wa Urusi halafu tubishane au?
 
Vifaru 73 Yani wanapiga vifaru 6 wanakuambia 73
 
Hii vita itamshinda Urusi, wapambe wamekuwa wengi sana. Tuachane na hiyo operation ya kijeshi Ukraine.

Turudi zetu Moscow, kwa fundisho tuliompa Ukraine mpaka sasa sidhani kama atajaribu tena kujiunga NATO.

Mrusi akikubali hili ujue akubali sera za marekani. Akubali kuwa kibarakq kama Japan na hataweza jiunga na NATO.

Halafu UN kuna issue wanapotezea kama uchunguzi wa Bioweapons utapotea itakuwa sio issue tena na AZOV watafanya watakayo ulaya mashariki.

Kuna mambo mengi nyuma ya hii vita.
 
Sijaelewa bado nia yako mlokoz, unataka mm niwe upande wa USA na wewe uwe upande wa Urusi halafu tubishane au?
Rejea comment yako ya mwanzo uliyo ni quote.
Wewe kifupi weka orodha ya vita ambazo USA alishinda yeye kama yeye.

Hapa ni discussion ukiulizwa swali lijibu.
Tunataka kuonesha with evidences Russia vs USA
 
Toka vita imeanza urusi alitangaza vifo sehemu gani kama sio kutangaza vifa vya jumla
Kama hawatangazi unatumia chanzo kipi kuwapinga wanaotangaza kuwa ni waongo? (Sijasema wanaotangaza wamesema ukweli, napima uhalali wako wa kuhalalisha uongo wao)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…