Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mambo ya Expendables eeenh ...punguza kuangalia movies wewe....
 
@Tsh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 2224164
Kama kalinigrad mpaka leo wameshindwa ichukua kwa Mrussi sijui wataweza nini hao NATO. Hapo ni somo tosha kuonesha udhaifu wao.
Yes yes. Watu wengi wakiangalia na kutazama movies za expendables na Movie za Captain America wanadhani USA ni mbambe. Akili za vijana wengi zimejazwa na fictitious information. Hawataki kukabiliana na ukweli.

Vijana hao wapo kwenye fantasy world. Wanaishi kwenye duara kubwa la ndoto. Huku ndoto hizo zikiwa na watunzi kutoka ulaya. Hawataki kabisa kufanya mambo yao kwa free mind.

Anyways, hawa NATO ni midomo midomo mireeefu kwenye media. Vita vya midomo kama wadada wa kizaramo. Ukweli ni kwamba hawa wanaiogopa Urusi kuliko kitu chochote duniani.

Ulaya wakisikia urusi wanatetemeka. Hiki kinachoendelea ni mzimu wa woga wao. Hawajiamini kila siku ni kujishitukia tu.

Unajua mzee mwoga akiwa anatoka kunywa pombe usiku. Njia nzima anapita anaimba na kuongea maneno maneno mengi. Panya akipita tu anapiga kelele unataka kuniua, huniwezi mimi. Hiyo ni jamii ya watu wa ulaya magharibi na Marekani.

Yaani wangekuwa kweli wanaubavu, basi tungewaona wanajaribu hata kurusha mchanga kwenye kakipande hako kanako milkiwa na urusi.
 
Acha kulia lia kitoto apa leta mafanikio ya Russia kwenye hii operation yake ili na sisis tuyajue tofauti na apo utakuwa unampigia mbuzi gitaa yaani wewe tuwekee mafanikio ambayo Russia kayapata kutokana na huu uvamizi wake

Mafanikio ya Ukraine wamechukua Luhansk, Donesk, Kharson, Kharkiv, Mariupol na sasa wanaelekea Moscow.

Urusi wamefurushwa ... Wamemaliza silaha ma chakula pia wanajeshi wamegoma Amri ya kupigana vita..... Hureeeeeeee hureeeeee hureeeeee Ukraine.
 
Mlokoz, mm sina tatizo na yote unayoyaeleza isipokuwa sijataka tu yawe sehemu ya mjadala kwa sababu historia, nia, maono na upana wa sababu za matukio yanayotokea ni mapana sana kuyaunganisha na tukio la Urusi na Ukraine katika umoja wake.
 
Tactical retreat ni lugha ambayo majenerali wote walipende kutumia wakati wa kukimbia. Nikisoma taarifa ya Vita kuu ya Pili, jeshi la Hitler lilifanya tactical retreat kuanzia Moscow hadi Berlin . . . .
 
Hii vita itamshinda Urusi, wapambe wamekuwa wengi sana. Tuachane na hiyo operation ya kijeshi Ukraine.

Turudi zetu Moscow, kwa fundisho tuliompa Ukraine mpaka sasa sidhani kama atajaribu tena kujiunga NATO.
Tunapiga mtu na shosti zake
Tuupe muda wakati MKUU yaani malengo lazima yafikiwe!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Poland alisema anaingia west ukraine kwa ajili ya operation yake amefikia wapi??
 
Kama una inquisitive mind na umetake side sio vibaya ukatuonesha weledi wa jeshi la urusi huko ukraine. Kuna watu tunapenda mambo ya vita ( fond of war story ).
Nimekuuliza wewe na biibiisii nani aaminiwe!!?
Mbna mnapenda kujitoa ufahamu ewe pro NATO
ukipingana na biibiisii kwamba hawajafa majeshi elfu moja.

Itakua unaungana na sisi tusioamini kabisa habari za biibiisii na hao MSM wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…