Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Injinia wa hichi kipigo ana akili saana nasikia pia alipitia TANZANIA MILITARY ACADEMY mwaka 2013
 
Hayo makucha mbona hakuyaonesha kwa Vietnam ambapo alipata kipigo cha mbwa koko akakimbia kwa aibu?
 

Personally napenda ku appreciate maoni ya watu coz one head can't contain all intellectuals.

Nashukulu kuna direct nijielimishe niwazo zuri ila napenda kukushauri nawewe ujifunze namna bora ya kufanya analysis.

Analytical mind sio kama wewe hauna objective information umechukua upande tayari umekosa scientific credibility.
 
Kuna training zinaendelea Poland na USA mwezi ujao utasikia vilio
 
Kuna training zinaendelea Poland na USA mwezi ujao utasikia vilio
 
Sikia ndugu yangu wa urusi vyanzo vingi vinakinzana lakini kwenye open source intelligence inakabiliwa battalion nzima iliteketea. Personally, siwezi kudhibitisha kutokana kuwa na propaganda nyingi kwenye hii inaitwa special military operation.
 
Wacha weeee....
Mimi nazani kwa Sasa Urusi ajipime na Ukraine ndie kipimo chake cha sasa. Kwa USA tuache kwanza
 
Artillery shells in Ukraine. "Revenge for MH17" - the commercial airliner carrying 193 Dutch passengers that was shot down by Russia in 2014 - written on the shell in Dutch.

 
Ni kwel
 
Hakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Russia focused on Kharkiv withdrawal - Ukraine​

In its daily update, the Ukrainian military said that Russian troops are focused on withdrawing troops from the city of Kharkiv.

Efforts focused on maintaining occupied positions and supply routes, the general staff of the armed forces said.

Russia's "main goal is to establish full control over the territory of Donetsk, Luhansk and Kherson oblasts and ensure the stability of the land corridor with the temporarily occupied Ukrainian Crimea," it said on Facebook.
Article share tools
 
Uongo ni kama saa mbovu,Kuna siku husema ukweli.
 
Sikia ndugu yangu wa urusi vyanzo vingi vinakinzana lakini kwenye open source intelligence inakabiliwa battalion nzima iliteketea. Personally, siwezi kudhibitisha kutokana kuwa na propaganda nyingi kwenye hii inaitwa special military operation.

Unaona
Wala sijakupa ripoti toka RT CTGN au SPUTNIK
Nimenukuu tokea hapo BIIBIISII nanaendelea tena kukuuliza
Kati ya wewe na biibiisii wanaosema wamekufa watu elf moja nani wakuaminiwa!!?
Ama unapingana na biibiisii kwamba hawajafa watu elf moja !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…