Jibu hoja zake acha kejeri.Mkulungwa nimekupa ushauri wa bure kama elder jikite kuokota habari na kupachika humu, mambo ya International relations wewe ni layman.
Unauliza swali hapo hapo unanyoonya mikono kuwa You are done. Unataka ujibiwe au uachwe uendelee na mambo mengine?Izo laana au sifa zako zinafaida ganii kwenye hii dunia ya wababe
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌Am done.
Sio kila mtuu anastahili kujibiwa, huyo jamaa sio mgeni kwangu, siwezi haribu mda wangu kwa lofa.Jibu hoja zake acha kejeri.
Mdogo mdogo tu utaelewa mwanangu.Unashabikia Urusi sababu umechoka na vitisho vya USA kwa nchi yako na Africa na una mambo mengine mengi unayoyataja. Sawa.
Unaamini Ukraine atakaposhindwa utakua umefanikiwa kwa kiwango gani kukwamisha huo ubabe? Tuanze na hili la unabe kisha tutaamia kwenye mengine meengi unayoyazungumza.
Hakuna imotion wala sypmth inayoletwa hapa, Unachukua mambo meeeeengi ya duniani na kuyaweka kwenye jambo moja la Ukraine na Urusi na kufanya kujadiliana na wewe iwe ngumu sababu unakuja na tendo na kulipachika kwenye nchi nzima na matendo yake yote hata yale ambayo sina tatizo nayo.
Huo mchanganyo ndo ninaoukwepa kwa muda sasa ila hunielewi. Sasa twende, naomba unipe jibu la swali nililokuuliza ili nikulete nipotaka usimame. Nataka nikufanye uzungumze hoja moja baada ya jingine. Kisha utakuta kuna mambo nayasapoti kutoka kwako na kuna mambo nitayapinga.
Uchumi wa Urusi uliporomoka baada ya sarafu yake kushuka thamani mwaka 2014 ila kwa sasa sarafu yake imeimarika mno ina maana kwa sasa GDP yake itaimarika.russia mwenyewe amekung'utwa (kashindwa vita) na Duchy of poland, sweden Lituania, France, Turky, Britain, Japan, Latvia, Estonia, Georgia, Ukraine, na unaona kabisa kuna nchi nimezilist hapo baada ya kushindwa vita hizo nchi zikawa huru, aliisaidia ethiopia kivita ili eritrea isijitenge akapigwa eritrea ikajitenga, na serikali ya kikomunist ya ethipoia ikaanguka, Afghanistan palimshinda (na ni sababu mojawapo iliyopelekea ussr kuvunjika na kwenye vita hii afghanistan alisadiwa na USA) Chechen urusi kala kichapo, russia ni nchi ambayo ni matokea ya kuvunjika kwa soviet union na USA alikuwa nyuma ya kuvunjika huko.
Russia ni muumin wa ujamaa ambao ulishamshinda na imebidi tu afuate ubepari na ndipo maliogarch walipogawana keki ya taifa na watu akina Abhamovich kuibuka-wizi wa mali za taifa huo. Warusi wanapiga hela za michongo kwao na kuwekeza western. Huo ujamaa wa russia hakuna popote ulipoonyesha kufanikiwa na ndiyo maana hata Tz ipo hapa ilipo. China ilibadili gia angani baada ya kuona ujamaa haulipi na ndiyo maana china trading partner wake mkubwa ni US. Russia kiuchumi (GDP) hata top ten haipo inashindwa na nchi kama india, brazil.
Unaongea mambo meeengi kwa wakati mmoja. Nimekuambia twende na sababu yako ya USA kukandamiza Africa na kuilazimisha mambo. Tukimaliza hilo tutaamia kwenye jingine.Mdogo mdogo tu utaelewa mwanangu.
Najaribu kutafuta ni sehemu gani umeuliza swali. Nabaki nashangaa tu.
Kwanza nimekuambia mambo:-
1. Issue ya Ukraine siyo kwamba imeanza mwaka huu au mwaka jana. Ni issue ya muda mrefu. Labda mwenzangu hujui. Nimejaribu kukiwekea kwa codes ili kuujaribu uelewa wako kumbe hola.
Ngoja nikutafunie kabisa kitu kitu kiwe laini.
Huko Ukraine karibu na mpaka wa Urusi kulikuwa na Biological Labs. Hizo labs kazi zake ni kutengeneza magonjwa kwajili ya kuathili wanadamu. Tayari kuna majaribu na evidences zipo kuhusu magonjwa hayo yaliyotengenezwa kwenye labs hizo. Moja ya nchi zilizofanyiwa tests za magonjwa hayo ni Congo DRC na Madagascar nchi za kiafrica.
Sasa kama huelewi Urusi anafanya nini huko Ukraine, ndio maana sisi wenye akili tunaendelea kukushangaa na kuwaita ninyi washabiki wa Ukraine na Nato kuwa ni waajabu.
Je hilo suala la Labs za magonjwa unaliona sahihi!? Russia alishawaambia muda mrefu waachane na process hiyo lakini hawataki. Wewe ukiwa kama wewe utafanya nini!?.
Ndio maana ninakuambia upo too emotional badala ya kutafuta ukweli.
Nchi ya Ukraine ili kuwa ndi center ya kila aina ya maovu duniani. Ushoga, Kufanya recruitment ya magaidi, ujambazi nk.
Nakusihi hebu tafuta ukweli achana na emotions.
Ndio tatizo lenu matusi.Sio kila mtuu anastahili kujibiwa, huyo jamaa sio mgeni kwangu, siwezi haribu mda wangu kwa lofa.
Sasa mwanangu unataka nikuambie vitu unavyo vipenda wewe!?Unaongea mambo meeengi kwa wakati mmoja. Nimekuambia twende na la USA kukandamiza Africa na kuilazimisha mambo. Tukimaliza hilo tutaamia kwenye jingine.
Unataka unipe msururu wa matukio ili nisapoti Urusi? Hilo haliwezekani. Hapa ni mwendo wa tukio baada ya tukio ndo utaelewa ninachomaanisha ninaposema sisapoti nchi nasapoti au kulaani kinachotendwa na hiyo nchi, tunaanza na tukio la USA kuikandamiza Africa.
Leta hoja zako kuhusu hili. Usiruke ruke mwenye mambo mengine mpaka hili tulimalize
Ndio maaaana !!!!!!Kwa mujibu wa taarifa toka Ukraine wanasema kuwa Urusi inarefusha maksudi vita ili vifike majira ya baridi muda ambao wanaamini kuwa mataifa ya ulaya yatake yasitake yatalazimika kuzungumza na Urusi tu.
Sources nyingi sana zinasema kwa mwaka 2022 GDP yake itashuka kutoka ilipokuwa 2021 na hii ni fact wala haihitaji kujua uchumi kwa vikwazo alivyowekewa, gharama za kugharamia vita inayoendelea, uzalishaji wa huduma na bidhaa ambazo tayari ushapigwa dafrau hiyo GDP inapandanje kwa mfano?Uchumi wa Urusi uliporomoka baada ya sarafu yake kushuka thamani mwaka 2014 ila kwa sasa sarafu yake imeimarika mno ina maana kwa sasa GDP yake itaimarika.
Huyo gasho mpelekee motoPunguza genye hizo dogo... Kaa kwa utulivu usikurupukie watu.
Aisee!!Mimi ni gasho nipelekee moto
haya ni kama maoni tu, hakuna evidence umeweka.Mdogo mdogo tu utaelewa mwanangu.
Najaribu kutafuta ni sehemu gani umeuliza swali. Nabaki nashangaa tu.
Kwanza nimekuambia mambo:-
1. Issue ya Ukraine siyo kwamba imeanza mwaka huu au mwaka jana. Ni issue ya muda mrefu. Labda mwenzangu hujui. Nimejaribu kukiwekea kwa codes ili kuujaribu uelewa wako kumbe hola.
Ngoja nikutafunie kabisa kitu kitu kiwe laini.
Huko Ukraine karibu na mpaka wa Urusi kulikuwa na Biological Labs. Hizo labs kazi zake ni kutengeneza magonjwa kwajili ya kuathili wanadamu. Tayari kuna majaribu na evidences zipo kuhusu magonjwa hayo yaliyotengenezwa kwenye labs hizo. Moja ya nchi zilizofanyiwa tests za magonjwa hayo ni Congo DRC na Madagascar nchi za kiafrica.
Sasa kama huelewi Urusi anafanya nini huko Ukraine, ndio maana sisi wenye akili tunaendelea kukushangaa na kuwaita ninyi washabiki wa Ukraine na Nato kuwa ni waajabu.
Je hilo suala la Labs za magonjwa unaliona sahihi!? Russia alishawaambia muda mrefu waachane na process hiyo lakini hawataki. Wewe ukiwa kama wewe utafanya nini!?.
Ndio maana ninakuambia upo too emotional badala ya kutafuta ukweli.
Nchi ya Ukraine ili kuwa ndio center ya kila aina ya maovu duniani. Ushoga, Kufanya recruitment ya magaidi, ujambazi nk.
Nakusihi hebu tafuta ukweli achana na emotions.
Acha ushamba wa kikenya ku edit comments za watu. Hiyo ni inferiority complexAisee!!
Bei ya sarafu ya Urusi hupangwa na Serikali. Sio sokoUchumi wa Urusi uliporomoka baada ya sarafu yake kushuka thamani mwaka 2014 ila kwa sasa sarafu yake imeimarika mno ina maana kwa sasa GDP yake itaimarika.
Oh!! Unataka nikuletee ushahidi wa Biological Labs za Ukraine!? Unataka nizibebe hizo Labs niweke hapa JF!?haya ni kama maoni tu, hakuna evidence umeweka.
Pili, zaidi ya malalamiko yasiyo na ushahidi juu ya maabala, Sababu alizosisema Rusia za kuivamia Ukraine haipo hata moja inayohusiana na hayo mambo ya maabala?
Leo Rusia wanadai Finland na Sweden wakijiunga NATO itareact, nako wana hizo maabala?
Huenda akawa yeye ndo ame edit post yake baada ya kumshtukiaAcha ushamba wa kikenya ku edit comments za watu. Hiyo ni inferiority complex
View attachment 2224428
Kaambiwa nini? afunge maabala?Oh!! Unataka nikuletee ushahidi wa Biological Labs za Ukraine!? Unataka nizibebe hizo Labs niweke hapa JF!?
Unataka ushahidi gani!?
Kuhusu Finland na Sweden. Leo leo tu Rais wa Finland kapiga simu kwenda Rusia unajua ameambiwaje!?