Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Halafu mwana mimi huwa situkani mtu. Hakuna sehemu yoyote niliyokutukana.usipaniki, hamna haja ya kutukanana. relux and compose yourself, we are not at war my friend, i believe we are all worried about what is going on in Ukraine, no vex.
back to point.
wewe umedai Rusia kaishambulia Ukraine sababu hapo Ukraine kuna maabala, ndo nakuuliza anawatishia Finland na Sweden NA WAO WANAMAABALA.
Haya mambo uliyoandika hapa, conspiracies, zote hizo huwa wanahusishwa nazo The Rockfeller Family, hivi karibuni masikini mzee watu Bill Gates nae kahusishwa nazo sana mpaka majuzi akalalamika masikini, na Wayahudi wanahusishwa nazo pia.Issue hiyo nimeiongelea long time. Au unataka tuendelee kuongelea kitu hicho hicho!?
Nimekueleza:-
1. USA wanaleta demokrasia kwa matakwa yao na mambo ya ushoga. Na Ukraine ndiyo ilikuwa kituo cha kutengeneza uovu wa kila aina hapa dunia kwa kufadhiliwa na USA.
2. USA walimuua Gadaffi ambaye alikuwa akipgania umoja wa africa. Waliharibu Libya, kwa sababu hakuna wa kuwakemea. Lakini kukiwepo na bipolar, security duniani na Africs itakuwa imara.
3. Marekani anatengeneza biological decease. Majaribio ya magonjwa hayo ni Africa. Au mwenzagu unaona sawa!?
4. Ni wao wanaopanga uchumi uweje. Kwasababu ya petrodollar. Lakini kukiwa na balance of power africa na dunia tutapumua.
Sasa hapa wewe unakuja na ngonjera. Unataka tuongelee suala hilo hilo kila wakati.
Ndio maana ninasema you are slow learner. Activity your Brain.
Putun nowAliekwambia vifaru ni 14 ni nani?
Vifaru ni zaidi ya 70-100. Uzuri wa Ukraine wakipiga wanatoa picha kibao mpaka mwenyewe unaridhika.
View attachment 2223437View attachment 2223439View attachment 2223444View attachment 2223440View attachment 2223445
View attachment 2223442
Kaka unapenda historia. Utapenda kusikia: Mwaka 1776 Urusi ilikuwa mbali na milenia yake ya kwanza. Warusi wenyewe wanapenda kuanza historia mnamo mwaka 998, wakati mtawala ya Kyiv alibatizwa na kuamuru watu wake wote wabatizwe pia.Kwanza nikurekebishe kiswahili kidogo japo mimi siyo mwalimu wa kiswahili.
Badala ya kuandika nazani hebu andika nadhani.
Back to topic:-
Nimejaribu kukueleza mambo mengi ili kidogo upate ABC za Russia.
USA huwa wanasherehekea uhuru wao waliopata mwaka 1776. Kipindi hicho Urusi ipo na imekula Millennium na inaelekea kula ya pili.
USA ni kikundi cha wafanya biashara kadha wa kadha. Wapo hapo kwaajili ya maslahi yao wenyewe. Huku Russia ipo pale kama taifa lenye historia yake na utamaduni wake. USA haina utamaduni wake. Is a big tent.
Huyo huyo USA tulimpatia nafasi kujipima ubavu wake huko Vietnam nadhani unakumbuka namna alivyoangukia pua.
Basi tusiongelee masuala ya Vietnam tuongelee tu issue za miaka ya 2000s. Juzi kati tu. Sujui issue ya Afghanistan ilipovamiwa na USA ulikuwa na umri wa miaka mingapi. Lakini nakupatia ndo ndo ndo tu. USA mpaka leo wanahaha hawajui cha kufanya.
Nisiende mbali sana, kuna nchi ya Waajemi inaitwa Iran hao USA kila siku wanabweka tu na sanctions kibao. Wamefanya nini!?
Nikikuambia huyu USA kwa Russia ni mchumba uwe unaelewa. Achana na movie za akina Rambo watazififisha akili zako. Unatakiwa ujue hizo ni movie zinatengenezwa kwenye computer are not real.
Nimejaribu kukupatia conflict iliyopo arctic ocean Russia anawaburuza USA na washirika wake. Wamebaki kupiga kelele tu kwenye media.
Kama unataka tujadili hebu leta hoja zito zenye mashiko utuoneshe ni wapi USA anaweza kupambana na Russia.
Hapo sikupingi, nia yako ni nzuri kwamba unaona utalii utainuka.Hizi n mechi za BIG BOYS......(wapambanaji,mariski teka,wenye uthubutu) ngoja nikujibu kwa mfano...M n mdau wa utalii ivyo basii kutokana na huu mtanganange naona soko la east likiamka ivyo kuacha kutegemea west west kma nikiwa na visent vya kutosha ntatafuta wataalam wa kufundisha vijana kichina,kirusi kutokana na demand inapoelekea hence will make money na nchi yangu pia itapata kipato kupitia uthubutu wangu.
Wapi nimeandika Rockefeller Family!? Wapi nimeandika Bill Gate.Haya mambo uliyoandika hapa, conspiracies, zote hizo huwa wanahusishwa nazo The Rockfeller Family, hivi karibuni masikini mzee watu Bill Gates nae kahusishwa nazo sana mpaka majuzi akalalamika masikini, na Wayahudi wanahusishwa nazo pia.
WEWE LEO UNADAI WAHUSIKA NI UKRAINE, AISEE.
Mkuu mwanzo upi una hizo Maabala?Halafu mwana mimi huwa situkani mtu. Hakuna sehemu yoyote niliyokutukana.
Pili tunaendelea kuongelea kitu kile kile mpaka thread hii itafika mwisho. Issue ni kwamba nyie pro USA mnataka kujiaminisha vitu ambavyo havipo.
Kuhusu maabala za kibiolojia ni moja ya sababu nyingi zilizopelekea Russia kufanya operation ya kijeshi ndani ya Ukraine.
Nakushauri fuatilia kuanzia mwanzo wa operation hii kisha uje points za kujadiliana.
Je, propaganda za BBC, CNN, Al Jazeera, Sky News nk zimewafikisha wapi!?
HeheeeeBei ya sarafu ya Urusi hupangwa na Serikali. Sio soko
Urusi wameioandisha ili walipwe Ruble nyingi kwa mauzo ya gesi na mafuta!!
read between za contexts , au na wewe ni mfano wa ma MA BOTS wanaosababisha Musk anataka kuachana na mpango wa kununua twitter, you can just type and post, you can't read and respond reasonably?Wapi nimeandika Rockefeller Family!? Wapi nimeandika Bill Gate.
Halafu mwamba hebu acha basi kuharibu mada yetu. Kama ukiendelea hivi mimi nitaacha kukujibu. Halafu unamwita Bill Gates maskini!? Are you serous!?
UKIENDELEA NA ISSUE HIZI ZA KITOTO HUTANIONA NA QUOTE COMMENTS ZAKO. Nitaendelea kuelimisha watu kwa namna yangu.
Narudia tena usichokielewa kipi!!?Bosi, huyo bosi mwenzako kadai hiyo vita inayoendelea huko ni sababu Ukraine kuna Maabala, sio hayo mambo ya kujiunga NATO, ndo naamuliza na hivyo vitisho wanavyopewa Finland na Sweden ni sababu nako kuna maabala au nini?
mbona swali liko wazi sana?
Urusi anapigwa na Ukraine.Sasa mzee mbona kama unaleta ujinga tena. Umeongelea issue ya Sweden na Finland. Nakuuliza huko Finland na Sweden ni maabala gani.
Wewe leta kitu wazi tujadili kama watu wenye akili.
Mdogo wangu huwa sipendi watu wanaoandika uongo:-Kaka unapenda historia. Utapenda kusikia: Mwaka 1776 Urusi ilikuwa mbali na milenia yake ya kwanza. Warusi wenyewe wanapenda kuanza historia mnamo mwaka 998, wakati mtawala ya Kyiv alibatizwa na kuamuru watu wake wote wabatizwe pia. Waukraine wanaihesabu kama kuzaliwa kwa Ukraine. sehemu zilizoendelea kuwa Urusi zilikuwa mkoa wa kando wa Kyiv wakati ule.
Urusi yenyewe ilianzishwa kama utemi wa Moscow kuanzia mnamo 1263, wakati ule nchi ndogo chini ya utawala wa Wamongolia.
Sasa Urusi kuburuza Marekani kwenye Aktiki?? Tutaona. Kwa historia itoshe kujua kwamba Alaska ilikuwa koloni ya Urusi, ikauzwa na Urusi na Marekani ilinunua mwaka 1867 kwa dolar 7,200,000.
Maana tayari wakati ule Urusi ilikuwa kubwa lakini dhaifu kiuchumi, ilhali Marekani ilisogea mbele.
Nakubali kabisa kwamba Rambo, superman na Captain America ni mambo ya kitoto na Marekani inaonekana imepita kilele chake.
Ila kuhusu Marekani kukosa utamaduni??
Hmmm, mbona Warusi wanapenda kuvaa Blue Jeans, wamekopi musiki wa Jazz (wakiwa na bendi nzuri sana ya aina hiyo) na bado wakati wa ukomunisti waliomba Cola ije kwao. Baada ya mwisho wa ukomunisti, walipanga foleni kuonja chakula kile (cha ajabu) cha Hamburger (ambayo mimi sipendi) . Mwaka 2021 kulikuwa na vituo 847 za MacDonald's nchini Urusi.
Hii itoshe kukumbuka udhaifu wa utamaduni wa Marekani nchini Urusi.
wakimaliza wanatengeneza sinema za uongo za kina ramboNafahamu. Ndio maana alikimbia Somalia. Pia aliwahi kukimbia Vietnam na juzi kambia yeye na mashoga zake Afghanistan. Mengine yote ni visingizio asionekane kakimbia
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Mangi hauoni kua ndio mwanzo wa mwisho wa dolla yao sikufichi kwenye hii dunia kila binadamu anapenda kuspend as long as ana surplus...hao waingereza, wamarekani wanaenda kua kama warumi wagiriki au persians ivyo n vyema kujianda hii dunia n ya first in first out.Hapo sikupingi, nia yako ni nzuri kwamba unaona utalii utainuka.
Ila nakupa angalizo kwa mfano. Mm ni mdau wa siasa, uchumi na utalii wako ukiwepo ndani, na nakuambia hakuna wateja wazuri wa utalii kama wamarekani, canada, ufaransa. Uwezo wao wa matumizi ni mkubwa kuliko wachina hivyo hatuitaji watalii tu tunahitaji watalii wenye uwezo wa kufanya matumizi na bara la ulaya linakidhi vigezo.
Nimekueleza, utoto kwa kweli mimi sipendi. Kama unataka tujadili njoo tujadili. Yaanj unakuja unamwita Bill Gates maskini. Are you serious.read between za contexts , au na wewe ni mfano wa ma MA BOTS wanaosababisha Musk anataka kuachana na mpango wa kununua twitter, you can just type and post, you can't read and respond reasonably?
Bado nanyie mnaolaani RUSSIA nawakati huo huo hamlaani kupelekwa SILAHA hapo UKRAINE kunapofanywa na USWapenzi wa Urusi. Kulaani upumbavu wa putin kuipiga mabomu Ukraine haimaanishi kuwa kila alilowahi kufanya, au atakalofanya urusi ni ovu. USA kuisaidia Ukraine haimaanishi kuwa kila analofanya USA ni jema.
Msilazimishe misimamo isiyoyumba. USA na URUSI wenyewe bado wanafanya biashara halafu wewe unajifanya una msimamo usiopinda.
I pronounce. Haujielewi and am done with you.Nimekueleza, utoto kwa kweli mimi sipendi. Kama unataka tujadili njoo tujadili. Yaanj unakuja unamwita Bill Gates maskini. Are you serious.
UNATAKIWA TUOMBE MSAMAHA WANA JF.