Kwa sasa ni mapema kusema ni mwisho wa dola. Na itakapofika mwisho tutapokea hao wenye nguvu. Sisi ni marafiki wa China, Russia, USA, Ulaya as long as jambo wanalofanya lina maslahi kwetu.Mangi hauoni kua ndio mwanzo wa mwisho wa dolla yao sikufichi kwenye hii dunia kila binadamu anapenda kuspend as long as ana surplus...hao waingereza,wamarekani wanaenda kua kama warumi wagiriki au persians ivyo n vyema kujianda hii dunia n ya first in first out.
Yaaan mtu anakua ana ratiba za kutafuta hela ya ugali na kujenga uchumi wa nchi ake awaze kuja kutalii hapana wenye kisu kipindi hicho ndio watakaokua wanaitaji izo huduma ivyo n suala la kujibrand na kuandaa mazingira ili kuendana na hao.
GDP ya Urusi itashuka mwaka huu Kwa 12% tena hiyo ni Kwa mujibu wa serikali ya Urusi yenyewe.Sasa wewe ni nani mpaka ubishe?!Walitegemea GDP ingeshuka maana walitegemea vikwazo vinge sababisha sarafu yake kuporomoka lakini matokeo yamekuwa tofauti kabisa.
Nadhani hata nchi za magharibi zinashangazwa na uimara wa sarafu ya Urusi.
Mimi nimekupuuza muda mrefu. Yaani unamwita Bill Gates maskini?I pronounce. Haujielewi and am done with you.
Mimi na ww hatuwezi kushuudia totall collapse ila kama taifa tujiandae ili kizazi chetu kikute maandalizi wasije kusema mbona bibi na babu zetu walikuwepo mwanzoni wamefanya nn kutuandalia sisi ili na sisi tuandae kesho ya wajukuu zetu.Kwa sasa ni mapema kusema ni mwisho wa dola. Na itakapofika mwisho tutapokea hao wenye nguvu. Sisi ni marafiki wa China, Russia, USA, Ulaya as long as jambo wanalofanya lina maslahi kwetu.
Mfano: China ana miradi na sisi, Urusi katupa salamu juzi na tunabiashara naye mpaka silaha, USA ana ufadhili mkubwa tu nchini kwenye mambo mengi.
Uko obsessed na maisha yako ya Ufukara, yaani unachojua wewe juu ya neno MASIKINI ni UFUKARA tu. umenisikitisha sana, yaani siamini kuna watu wana access na internet na bado ni maignorant.Mimi nimekupuuza muda mrefu baada ya kumwita Bill Gates maskini.
TUOMBE MSAMAHA WAJF ndio utakuwa na uhalali wa kujadili.
Jeshi za kijamaa huwa zimejaa ufisadiInteresting.. Nikisoma majenerali wa Marekani wanashangaa kwa nini Warusi hawakujifunza kutumia jeshi la anga kwa namna ya kisasa... Maana siku ya kwanza walishindwa kumaliza roketi zote za SAM na baadaye walidungwa na Javelin, hivyo hatuoni tena ndegevita za Urusi katikati na maghribi mwa Ukraine. Kinyume chake ndege za Ukraine bado ziko, kama juzi walishambulia hadi Kisiwa cha Nyoka, ingawa ndegevita za Ukraine si za kisasa....
Bwana Utam Urusi anatakiwa aondoke Ukraine, Ukraine anatakiwa kuwa na uwezo wa kujilinda na maadui zake na Urusi inapaswa kujilinda na maadui zake. Kama Urusi na Ukraine ni maadui na USA na Urusi ni maadui Ukraine ana haki ya kupokea silaha kutoka kwa adui wa adui yake.Bado nanyie mnaolaani RUSSIA nawakati huo huo hamlaani kupelekwa SILAHA hapo UKRAINE kunapofanywa na US
Mnajiona mpo sahihi kwanini hamjalaani US kupeleka silaha badala ya kutaka diplomasia
Jamaa walijitoa mpaka KIEV kupitia diplomasia
Mkaja hapa kama jamaa wameshindwa wamekimbia
Ishu nikwamba jamaa wa RUSSIA wakitumia diplomasia mnawaona wadhaifu wakitoa dozi mnawaona waonevu hamueleweki
Hata kabla UKRAINE hajala kipigo RUSSIA alieka diplomasia mbele UKRAINE US EU nashost zake wakampuuza sasa hv wanalia lia kama jamaa anaua watu
UKRAINE acha avune alichokipanda MKUU hakuna namna!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hao jamaa ni wajeshi wa mtandao wanavyofanya ni kumdhoofisha mmoja mmoja. Andaa nondo tuwaache na propaganda zao then tuje tuwashushie nondoNimekueleza, utoto kwa kweli mimi sipendi. Kama unataka tujadili njoo tujadili. Yaanj unakuja unamwita Bill Gates maskini. Are you serious.
UNATAKIWA TUOMBE MSAMAHA WANA JF.
Mkuu, sera zetu zipo kinafiki sana kwa nchi nyingine kwa maslahi ya Jamhuri.Mimi na ww hatuwezi kushuudia totall collapse ila kama taifa tujiandae ili kizazi chetu kikute maandalizi wasije kusema mbona bibi na babu zetu walikuwepo mwanzoni wamefanya nn kutuandalia sisi ili na sisi tuandae kesho ya wajukuu zetu.
Kati ya PUT IN na ELENSKY nani kawa UMBWA KOKOHii vita ya ajabu sana, aliyevamiwa, Zelensky sijui hata analala saa ngapi muda wote yuko active, mara anapokea wageni, mara anakagua madhara ya mashambulizi, mara sijui anaongea na senet, mara anaongea na house of commons, mara anashauri nini sijui, yaani as if nothing is happening,
Anayeshambulia sasa, yaani kawa kama mbwa koko, KaPutin kamekuwa ka mtu kakujificha ficha na kuji isolate.
Kama kama dogo wa North Korea.
Bwana Utam Urusi anatakiwa aondoke Ukraine, Ukraine anatakiwa kuwa na uwezo wa kujilinda na maadui zake na Urusi inapaswa kujilinda na maadui zake. Kama Urusi na Ukraine ni maadui na USA na Urusi ni maadui Ukraine ana haki ya kupokea silaha kutoka kwa adui wa adui yake.
Hata hivyo, mm nina wasiwasi na uadui wa Urusi na USA kwa sababu wote wana tabia ya kutumia nchi nyimgine kama battle ground huku nchi zao zikiwa salama na mwishowe kunakuwa na win win situation baina yao.
Wee jamaa banaPutin needs to come out and explain about this war, haiwezekani awaachie hii kazi wapambe.
hivi yule waziri wake wa mambo ya nje kaenda wapi? Lavlov sijui toka atoe uharo wa Mayudi na Manazi sijamsikia wala kumuona tena.
Sasa victory day mtu anaongea DAKIKA NANE, DAKINA NANE, SIKU YA USHINDI NA HAPO HAP TAIFA LIKO VITANI LINASHAMBULIWA NA NATO ANAONGEA DAKIKA NANI?Kati ya PUT IN na ELENSKY nani kawa UMBWA KOKO
Juzi hapa hata wewe uliongea kwamba PUT IN hakuongea saana kwenye hotuba alotua may 9
Leo hii unasema kama UMBWA KOKO yaani nyie watu bana
Mwisho😛UT IN hawez kua muongeaji sana maana anajua kama kashikilia mpini nyie mmeshikilia makali juzi kansel wa GER kampigia PUT IN jana waziri wa ulinzi kama sijakosea wa US kampigia PUT IN yaani nisuala la muda tu kabla viongozi wenu wa EU hawajaanza kupishana MOSCOW kwenda kulia lia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii picha inatoa ujumbe gani?.View attachment 2224494
Hii ni Picha ya Leo, leo tarehe 14/05/2022, Mwenye Picha kapiga Putin leo, au jana atupie hapa.
ndo nauliza Lav rov yuko wapi, toka aseme Wahudi ndio walikuwa wanauwa wayahudi siku ile kwenye TV sijamsikia tena, namsikia medvedev sijui na mambo yake ya Nukrea war.Wee jamaa bana
Sasa kazi ya waziri na wizara yake ya ulinzi nini MKUU
PUT IN anakazi zake nahuyo LAV ROV anakazi zake
Hakuna kipindi ambacho SHOIGU kafanya majukumu yake inavyotakiwa kama hiki sababu ndio kazi yake
Unataka aje PUT IN ajichoshe kwamba karipua hapa karipua pale hem kua siriaz MKUU hata kidogo!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo kaibuka,analaani Finland kutaka kujiunga NATOPutin needs to come out and explain about this war, haiwezekani awaachie hii kazi wapambe.
hivi yule waziri wake wa mambo ya nje kaenda wapi? Lavlov sijui toka atoe uharo wa Mayudi na Manazi sijamsikia wala kumuona tena.
Wewe umesema n mdau wa siasa andaeni viongozi wazalendo kama uko kwenye nafasi ya kutunga sheria onyesha ushawishi Tanzania itakukumbuka daima kwa ujasiri, uthubutu na ushujaa wako.Mkuu, sera zetu zipo kinafiki sana kwa nchi nyingine kwa maslahi ya Jamhuri.