Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

China: G7 Should Mind its own Business


China has responded to the G7’s request that Beijing cease support for Russia, stating that the country decides its own position and policy based on the “merits of the matter itself,” and that the seven member nations should focus on their own issues instead of intervening in other countries' internal affairs.


The statement came after the G7 FMs asked Beijing to “resolutely” urge Russia to stop the war in Ukraine and refrain from providing economic and military assistance to the Kremlin.


During a press conference on Monday, Chinese Foreign Ministry spox Zhao Lijian slammed the demands:


"We call on the G7 countries to truly focus on peace and development throughout the world, to stop applying double or even multiple standards, to stop sending military aircraft and ships to the borders of other countries with or without reason to demonstrate their strength," Zhao told reporters.
 
Taasisi zingine za kimakuzi mno, Umechaguliwa na wananchi wako kwenye kaeneo uliopo. Unaanza kuingilia maamuzi ya Nchi nyingine zisizowahusu. Huo ni upuuzi.

Wamewajibu vizuri mno... Wafanye yao mda wa kupangiana nini cha kufanya ushapitwa na wakati watulie tu...

Wao hata wakiamua kujinyonga ili waisaidie Ukraine kamba tutawapa wala hawatozuiliwa na mtu.

Kwani wakati wanatuma silaha zao na wakizidi kujiapiza kuendelea kuzituma huko ndiko kutafuta amani? Hawa jamaa "Senene"sana kila penye mwanga wanasogea kuruka ruka wakikamatwa wakaliwa wasilalamike [emoji23]
 
Hata Russia mwenyewe hua hamwamini Uturuki kihivyo,yule Ni Kama Popo tu.
Mwaka 2016 kulikuwa na jaribio la kuipindua serikali ya Uturuki lililofeli. Kwa mujibu wa Uturuki wenyewe walidai jaribio hilo lilipangwa na kutekelezwa na wafuasi wa harakati za Gülen. 'Gülen movement' ni harakati zilizoasisiwa na msomi na mfanya biashara wa Uturuki aishie Pennsylvania Marekani. Ndie mmiliki wa shule za fedha kama sikosei. Hili kundi linatambulika kama harakati za kigaidi na serikali ya Istanbul.

Erdogan aliituhumu Us kwa kuhusika/kushirikiana na waliopanga mapinduzi hayo

"President Recep Tayyip Erdoğan said the head of United States Central Command, chief General Joseph Votel, was "siding with coup plotters"

Nchi wanachama wa NATO ujerumani na uk walipinga uhusika wa gulen movement kwenye hayo mapinduzi.

Unganisha dots
Jaribio la Mapinduzi limefanyika dhidi ya serikali ya Uturuki. Intelijensia ya Uturuki inasema Gulen movement ndio wanaohusika. Muasisi na mfadhili wa hiyo movement anaishi uhamishoni USA. Wafuasi wa hii harakati walioko turkey waliodaiwa kuhusika wakawekwa chini ya ulinzi. Marekani ikapinga (kukamatwa kwao) pamoja na ujerumani na uk (nato).

Alafu sasa unaambiwa hata hao nato members hawakuguswa kwa jambo lililotaka kumkumba member mwenzao kivile
"Russia's President Vladimir Putin called Erdoğan out of solidarity before all NATO member countries’ heads following the coup attempt."

Hapo NATO turkey yupo kimachale sana. Yupo kama hayupo vile. Wakati NATO wanapeleka silaha ukr Erdoğan alikuwa busy kusimamia mazungumzo.
 
Nimekuwa naziruka mada zinazohusu vita ya Libya na Iraq au hizi zinazotokana na Internal conflicts.

Tuanze na Iraq... First thing Vita ya Iraq haikuanzishwa tu Marekani ila chimbuko lake ni Sects tofauti ambazo zilikuwa zinamtazamo tofauti kati yao, Kuazia Ukabila, Hadi Udini, Hadi Marekani anaiondoa Serikali ya Sadam kabla yake Sadam alikuwa anaendesha vita za kipuuzi Kama za Putin anazowafanyia majerani zake Na watu wanaotofautiana na hata kufikia hatua ya Kutumia Silaha za sumu.

Tuje kwenye Vita ya Libya, hili halitaki hata uwe na PhD Kujua Ghadhafi aliondolewa na Walibya wenyewe (Usilete hoja za kipuuzi ukasema, Mamluki walipandikizwa) Hawa wao waliomba msaada wa NATO.

Vita ya Syria the same Watu wengi ndani ya Syria hawataki Utawala wa kifamilia na wanataka Uhuru wa kuchagua kiongozi wanayemtaka...

The same thing could happen hata huku Tanzania Watanzania na Vyama vya Siasa vinaweza kuamua kuitoa CCM, kwa sababu CCM wanajeshi, Watanzania wanaweza kuomba msaada hata wa kijeshi kokote wanakoona watapata.
 
Kitu kama hiki hiki ndicho kama sababu ya MBS kuzichunia simu za Ikulu ya Marekani.

Hawa jamaa ni wanafiki sana hawachelewi kufanya ukiwapa kisogo.

Hii operation itabadilisha mengi sana kwenye mahusiano ya kimataifa. Hivi sasa nchi za kiarabu hapo kati zinazidi kuimarisha mahusiano yao. Iran na UAE wanazidi kua Pa1... Syria nae aliyekuwa kama katengwa uhusiano na wenzao unarudi kwa kasi.

Jana hapo ikasemwa kuhusu Cuba na Iran,
Huko Asia vile vile walimgomea Biden kuilaani Russia kwenye maadhimisho yao ya hivi juzi kama sikosei, mbali zaidi Nchi za Amerika kusini nako hivo hivo hapa kasoro Afrika tu kawaida yetu sie wa mwisho kwa kila jambo.
 
Kate huko ustaarabu ulitumika si ndio. Nchi hizo zimestaraabika sasa
 
Haya kaka mwenye akili kubwa ujifariji tu.
Erdogan anatafuta biashara ya kisiasa tuone anafika wapi.
Ukimwona kama rafiki wa Putin, basi umeshamsamehe kwamba anauzia Ukraine droni za Bayraktar zilizosaidia kufukuza jeshi la Putin huko Kyiv.
Kuhusu swali kama Putin ni smart au la (ninaelekea upande wa pili) tusigombane.
 
Hivi nyie mnaosema Putin anaumwa mmempima?? Kuumwa Cancer kumeanza juzi?? WALISEMA hata Parade haitakuepo na hatakuja anaumwa watu waongo sana...
 
Chief hio story ya Gullen naifahamu vyema,na mwaka huo huo wa 2016 balozi wa Russia nchini Uturuki Andrei Karlov,
alipigwa risasi na off-duty police wa Turkey na akafa,video ya huyo balozi akipigwa risasi iko Mitandaoni mpk leo.

Na kabla ya hapo mwaka 2015 Turkey iliitungua ndege(SU-24) ya Urussi, hio ndege ikiwa imeenda kupambana Kule Syria ilikua karibu na mpaka wa Syria na Turkey.Russia wakasema hio ni "stabbing them in the back."

kipindi hicho Russia ikim-support Assad wkt Turkey iki-support wapinzani wa Assad.Baada ya tukio Hilo Erdogan akajaribu kumpigia Simu Putin akakataa kuongea nae,Waziri wa mambo ya Nje wa Turkey akajaribu kuweka kikao baina yao Russia wakakataa na Muda huo nchi zote za NATO zikawa zina-support alichokifanya Turkey kwa Russia.

Baada ya tukio Hilo Russia ikatangaza sanctions kwa turkey,zikihusisha imports kutoka Turkey, Makampuni ya Turkey yanayofanya kazi Russia na mturuki yoyote yule anaefanya kazi kwny Makampuni ya warussi.

So Usimuamimi Sana Turkey, hua Ni Popo na hata Putin anajua hilo vzr.Hua anaenda nao kwa akili Sana.
 
Kiustaarabu kwa mujibu wa fikra zako.
Internal conflicts zinatatuliwa kwa kuwauwa viongozi hadharani. Kuua watu wasio wanajeshi kuweka vikwazo vinavyoumiza wananchi.
Ustaarabu ni kutaka narration zako zikubaliwe na kila nchi mfano Vietnam na communism.
Ustaarabu ni kuweka vikwazo kwa nchi kama Zimbabwe.
Ustaarabu ni kupeleka siraha sio kuchagisha mazungumzo
 
Sadam alinyongwa na Wairaq, Ghadaffi aliuawa na Walibya wenzake..

Sasa wewe mwizi akuvamie bila sababu alafu useme unazungumza nae kabla ya kumdhibiti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…